Kijana LOGICS
Senior Member
- Dec 16, 2023
- 140
- 525
Hua nafanya online business hasa ya electronics kama simu, computer,na laptops
before nilikua nafanyia mwanza nikahamia mbeya tangu January
Biashara mwanza ilikua ngumuh Sana wateja pasua kichwa
mwanza Ina watu wengi na Kundi kubwa la watu wanakaushamba Flani Ivi
laiti mwanza ingetambua potential ya high population kwenye business .
Tatizo liloko mwanza ni asilimia kubwa ya watu kuhisi wanaibiwa Yani waoga sana wanaishi kizamani
Nikahamia mbeya aloo mbeya wako smart sana hadi wadada
Mbeya hakuna Mteja pasua kichwa
Mbeya hawana kaushamba.