Alipata division ipi/ganii!Form tu alishindwa kupata D 3 huko pHd si atapauona kama jahanam sasa
Alipata division ipi/ganii!Form tu alishindwa kupata D 3 huko pHd si atapauona kama jahanam sasa
Kuna Dr Mwigu hahahahaha yule nae ni kama nanihii tu, anyway tuishie hapaHuo udaktari wake wa kupewa, unatokana na yeye kubahatika tu kuwa Rais.
Hana uwezo wa kuwa PhD wa ukweli
Naisogeza hapa chini na wengine waione.Wahindi,waarabu na wachina... na hata wazungu ni wajanja sana. Wakisikia raia wa kiafrika anafanya ziara kwenye nchi zao huwa wanapelelezi weakness zake na kuzitumia kumfurahisha. Bila shaka wahindi wameshajua viongozi wa Tanzania wanapenda kusifiwa na kupewa degree za heshima hivyo wamaamua kutumia nafasi...
Kuna chuki au ukweli mtupu! Kuhusu kufeli f4 alisema mwenyewe hata utarishi alisema mwenyewe. Tusimlaumu lakini! |Tuwalaumu marais wanaochagua wagombea wenza vilaza ili wasipitie changamoto!Acha chuki wewe..
Ukiifatilia historia ya PhD, ilianzia kwenye zote kuwa ni za heshima, PhD baadae sana ndiyo zikaja kutolewa kwa "kusoma".
Zote msingi wake ni heshima, hakuna zaidi.
Nafahamu huu uzi lengo lake ni jaribio la "character assassination" lakini mleta mada anasahau kuwa kuna hata academically failures" wametunukiwa Honoris Causa.
Ma shaa Allah Mama Samia hana historia ya kufeli. Nanihii je?
Ma shaa Allah Mama Samia hana historia ya kufeli. Huu urongo! Huyu tarishi aliyefeli form 4 alisema mwenyewe! Kazi yake kufuata na kupanga mafaili- Tarishi cum muhudumu kuwa rais ama kweli "mashaa Alah" dodo kwenye mbigili sasa honoris causa kwa kuuza bandari na mbuga za nchi yake !!!!
Honoris causa jamani angalau uwe na kadegree kamoja jamani kha!Nyerere aliwahi kuwa na PhD ya darasani?
Ilimchukuwa Nyerere miaka mingapi ya Urais kabla ya chuo kikuu chochote duniani kumpa "Honoris causa"?
Imemchukuwa mama Samia Suluhu Hassan chini ya miaka mitatu ya Urais kupata "honoris causa" ya Kimataifa.
"naona donge mie".
Nyerere kaingiaje. Usimfananishe Mwl na vitu vya kijingaNyerere aliwahi kuwa na PhD ya darasani?
Ilimchukuwa Nyerere miaka mingapi ya Urais kabla ya chuo kikuu chochote duniani kumpa "Honoris causa"?
Imemchukuwa mama Samia Suluhu Hassan chini ya miaka mitatu ya Urais kupata "honoris causa" ya Kimataifa.
"naona donge mie".
Wewe mwenye akili una Phd ngapi za kusomea?Sina haja na kupewa heshima ya uongo.
Samia kupitia darasani hawezi kupata PhD!
Hivi keshawahi hata kuandika makala yoyote ile [hata kwa kutumia ghost writer] iliyowahi kuchapishwa hata kwenye gazeti la Nipashe?
Sina haja na kupewa heshima ya uongo.
Samia kupitia darasani hawezi kupata PhD!
Hivi keshawahi hata kuandika makala yoyote ile [hata kwa kutumia ghost writer] iliyowahi kuchapishwa hata kwenye gazeti la Nipashe?