tumelogwa mzee.
Tuonyeshe kwenye Katiba hiyo nchi ya Tanganyika! Kumbuka hata Zanzibar ilijulikana kama Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, lakini siku hizi inaitwa SMZ! Tuachane na mindset za kikoloni wandugu, ukimaliza ubaguzi huo utabagua hata mama yako!
Siku ya uhuru wa Zanzibar, rais wa Tanzania huwa na nguvu kama siku ya leo au huwa mgeni mwalikwa....
Originally Tanganyika ilijumuisha Ruanda na Burundi, ungependa tuwaambie warundi na wanyarwanda kuwa washerehekee uhuru wa Tanganyika?
Tuambie huo Utanganyika utatusaidiaje kuondokana na umaskini, ufisadi na wizi wa mali za umma, ukiniambia nitakuunga mkono!
Maadam muungano haukua na ridhaa si ya watnganyika wala wazanzibari, na kwa kuwa tunafuata "democrasia" ni vyema wakati wa kuunda katiba mpya kuitishwe referundum yenye vipengele vifuatavyo kuhusu muungano wa mchonga na karume: kuvunja muungano; serikali mbili; serikali tatu; nchi moja; Kisha watu tuchague...
Wanahabari wanafuata sheria, wewe unafuata propaganda!
na wewe si useme unatoka tanganyika kwani kuna ubaya gani...Wa Zanzibari kila sehemu wanayoishi abroad wanajitambulisha kuwa wao ni waZanzibaris kwa Proud ya nchi yao......... Na wanasherehekea Zanzibar independence day na Revolution day yao vile vile tunaimba wimbo wetu wa taifa la Zanzibar na kupeperusha bendera yetu ya Zanzibar na Rais wetu hukagua vikosi vya SMZ !!!!!!na tunaimba wimbo wa Tanzania au wimbo wa Tanganyika hata kwenye majukwaa ya michezo wanaita timu ya kilimanjaro Stars wakati ya Zanzibar wanaita timu ya zanzibar au Zanzibar Heroes sasa kwanini sisi tusii timu ya Tanganyika aka Kilimanjaro stars....pakungangana nao hawa jamaa ni kwenye katiba ili na sisi wa Tanganyika tupate Haki yetu maana hawa wa zanzibar wakiwa nje wana sema wao wa Zanzibar hawasemi wao Watanzania inaniuzi kweli...
Mwanangu hakuna anaye kataa umoja maana ni Nguvu lakini huwezi kulazimisha umoja hata siku Moja walio lazimishwa umoja sasa wanatengana mf ussr na walio lazimishwa kutengana wanaungana mf ujerumanh chekoslovakia....Huwezi ukachukua udongo wa mataifa mawili ukauchanganya kwenye kibuyu ukasema nimesha waunganisha hii hata ukiwaeleza wajukuu watakupa maswali mengi tu Kuhusu kuondoa kero za muungano muda kwa sasa unasema wazenj wangekuwa na nia njema na muungano kwa sasa tungekuwa wamoja zaidi kwa kuwa na serkali moja! lakini wanachofanya ni usanii na kututega Watanganyika angalia kamati za kujadili kero za muungano uwakilishi si sawia zenj inawakilishwa na kwa sababu mzenj yupo kwenye muungano lazima awakilishe tena lakini mtanganyika ndio mtanzania atawakilishwa na mtanzania kwa hiyo mzenj ana nafasi pana kuitetea zenj kweli kero zitaisha kwa haki leo wazenj wapo mawaziri mpaka wajumbe wa nyumba kumi huku Tanganyika wakati haki hiyo Mtanganyika hana zenj WATANGANYIKA HAMUONI HII DHULMAmambo ya mkanyiko katika union hayana budy kupata ufumbuzi ila pia sababu sisi ni jamaa moja na tuliingia yamini ya kuwa kitu kimoja ni vyema kuweza kuyapa kipaumbele mambo ya msingi yanayouweka muungana ,ths union ime2pa heshma kimataifa japokuwa ndani shortfalls zipo what is important to kurekebisha palipo weak unajua kuwa Tanganyika ni kweli imemezwa ndani ya neno Tanzania,kitu ambacho si halali diplomasia hii haijakaa sawa nadhani kuna haja ya kulisawazisha hili swali langu ni kuwa tufanyeje?am tryng to be liberal,na kuacha ile dhambi ya wao na sisi,Mwl.Nyerere ikiwa dhmbi hatuta ipatia ufumbuzi basi itatutafuna.
mambo ya mkanyiko katika union hayana budy kupata ufumbuzi ila pia sababu sisi ni jamaa moja na tuliingia yamini ya kuwa kitu kimoja ni vyema kuweza kuyapa kipaumbele mambo ya msingi yanayouweka muungana ,ths union ime2pa heshma kimataifa japokuwa ndani shortfalls zipo what is important to kurekebisha palipo weak unajua kuwa Tanganyika ni kweli imemezwa ndani ya neno Tanzania,kitu ambacho si halali diplomasia hii haijakaa sawa nadhani kuna haja ya kulisawazisha hili swali langu ni kuwa tufanyeje?am tryng to be liberal,na kuacha ile dhambi ya wao na sisi,Mwl.Nyerere ikiwa dhmbi hatuta ipatia ufumbuzi basi itatutafuna.