raisi wa tanzania huwa ni mgeni mwalikwa tu!siku ya uhuru wa zanzibar, rais wa tanzania huwa na nguvu kama siku ya leo au huwa mgeni mwalikwa....
Yaani umenichekesha sana mkuuhuwa nasikia mchungaji mtikila huwa anapeperusha bendera ya Tanganyika nyumbani kwake ninaomba wachina watutengenezee bendera za tanganyika za kutosha hapo ndio utakuwa mwaanzo wasie tuliozaliwa baada ya muungano kuiona bendera yetu vizuri
kwa vyovyote vile katiba ndiyo suruhisho ya haya yote maana sijui nina kichwa ngumu sielewi rais wa Tanzania ndiyo rais wa Tanganyika...wao wana bendera, wimbo wa taifa,wana rais wao wana serikali yao sisi hatuna matatizo yetu yanatatuliwa kimuungano...chetu - chao, chao - chao noooooooooraisi wa tanzania huwa ni mgeni mwalikwa tu!
ni bora muungano ufe-kuliko tanganyika kupotea,mana kupoteza tanganyika ni kupoteza identity yetumazingira tuliyokuzwa kati ya miaka ya '60 mpaka '90 ilionekana dhambi kutaja tanganyika. Wengi wetu tukahusisha tanganyika na ushamba! Mahali kulikosahaulika tukakuita tanganyika. Kumbe hiyo ilikuwa sumu maalumu ya kuhakikisha kwamba mwisho wa siku tutakuwa radhi kujikana wenyewe.
ni wazi kwamba kama baada ya muungano tungeendelea kujivunia tanganyika, huu muungano ungekuwa kwenye vitabu vya historia tu sasa hivi.
NIPO NAFATILIA SHEREHE ZA UHURU WA TANGANYIKA,ILA NIMEANGLIA ITV,MTANGAZAJI HUKO NAONA ANASEMA SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA BARA(japokuwa ni sawa,ila hakuna nchi inayoitwa Tanzania bara)nimejaribu kuangalia TBC1 NAO NASIKIA MANENO NI YALE YALE,UHURU WA TANZANIA BARA,SOMETIME ANASEMA UHURU WA TANGANYIKA,NIMEJIULIZA NI KWA NINI WANASHINDWA KUSEMA UHURU WA TANGANYIKA MOJA KWA MOJA NA KUACHA NENO TANZANIA BARA JAPO KWA SIKU YA LEO TU,NIMESHNDWA KUELEWA
kweli bora iwe hivyotulicho fanyiwa ni usanii wa kisaikoloji yaaani mpaka viongozi ambao ni watanganyika wanaona kinyaa kutaja jina tanganyika kumbuka tulikubaliana tuuwe mama zetu mwenzetu mama yake hakumuua bali kamficha nilipo gundua kuwa mama yake yupo hai nikamwambia basi nami namfufua mama yangu au nimuue mamako jibu nililo pata la ajabu kwamba aliye kufa kafa na marufuku kutaja jina lake tena asifufuliwe na marufuku kuua mama yangu nami nikaridhika nikasema ndio mzeee! Ni aibu kwa watanganyika kuondoa ujinga huu ni kumfufua mama yetu tanganyika kuua zanziba wote tuwe wakiwa la haliwezekani kivyao mimi namfufua mama yangu tanganyika habari ndio hiyo!....
NIPO NAFATILIA SHEREHE ZA UHURU WA TANGANYIKA,ILA NIMEANGLIA ITV,MTANGAZAJI HUKO NAONA ANASEMA SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA BARA(japokuwa ni sawa,ila hakuna nchi inayoitwa Tanzania bara)nimejaribu kuangalia TBC1 NAO NASIKIA MANENO NI YALE YALE,UHURU WA TANZANIA BARA,SOMETIME ANASEMA UHURU WA TANGANYIKA,NIMEJIULIZA NI KWA NINI WANASHINDWA KUSEMA UHURU WA TANGANYIKA MOJA KWA MOJA NA KUACHA NENO TANZANIA BARA JAPO KWA SIKU YA LEO TU,NIMESHNDWA KUELEWA
Tanganyika haijafa, kwani sisi wadanganyika tumefumbuka macho tutaidai no matter for how long.
hawa wanahabari pia wanazidi kuwalisha wananchi ujinga kwa kuzidi kupoteza neno tanganyika kwenye maskio yaohao watangazaji wa itv na tbc1 ndio wamerogwa.....mimi natambua kuwa leo ni siku ya kusheherekea uhuru wa tanganyika, hakuna mtu atakae nibadilisha msimamo wangu.
Hao watangazaji wa ITV na TBC1 ndio wamerogwa.....mimi natambua kuwa leo ni siku ya kusheherekea uhuru wa Tanganyika, hakuna mtu atakae nibadilisha msimamo wangu.
hawa wanahabari pia wanazidi kuwalisha wananchi ujinga kwa kuzidi kupoteza neno tanganyika kwenye maskio yao
Kama Tanganyika iliwakosea si waisamehe, na kuirudishia hadhi yake?
tanganyika iliyokuwa inajumuisha rwanda na burundi ni ya zamani kidogo,ambapo tanganyika ilikuwa under german rule,lakin baada ya ww1 tanganyika ikakbiziwa kwa british,na rwanda na burundi wakawa under belgium control,so just after ww1 tanganyika hii yetu ikawa tanganyika without rwanda&burundi-thus hakuna haja ya kuwahusisha warandwa au waburundi hapaoriginally tanganyika ilijumuisha ruanda na burundi, ungependa tuwaambie warundi na wanyarwanda kuwa washerehekee uhuru wa tanganyika?