Shomoro
Senior Member
- Aug 22, 2010
- 111
- 26
View attachment 18208
hii ndo bendera ya tanganyika
classic
View attachment 18208
hii ndo bendera ya tanganyika
tanganyika iliyokuwa inajumuisha rwanda na burundi ni ya zamani kidogo,ambapo tanganyika ilikuwa under german rule,lakin baada ya ww1 tanganyika ikakbiziwa kwa british,na rwanda na burundi wakawa under belgium control,so just after ww1 tanganyika hii yetu ikawa tanganyika without rwanda&burundi-thus hakuna haja ya kuwahusisha warandwa au waburundi hapa
Buchanan akili yako ni finyu au unajilazimisha kutoelewa. Uzalendo wa kweli unaanzia na kuitambua nchi yako kwanza na kuipenda mambo mengine yanafatia. Huwezi kuwa mfia nchi wakati identity yako umeipoteza, unajisikiaje waznz wakijitambulisha kwa uznzbr wewe ukijitambulisha kama mtanzania bara, iko wapi hiyo tanzania bara kikatiba
Tuambie uhalali wa Zanziba kuwa na wimbo wa taifa,serikali,bunge,rais nk wakati sisi watanganyika hatuna, hakuna nchi ilipata uhuru inaitwa Tanzania bara labda Tanganyika ibatizweMmmmm, kwa hiyo Tanganyika "nzuri" kumbe ni ile ya Waingereza na sio nchi tuliyoitengeneza sisi yaani Tanzania? Tutaendelea kujidharau kwa mtindo huu hadi lini? Alright, suppose tukiita hiyo Tanzania Bara kwa jina la Tanganyika itatuondoleaje ufisadi na umaskini? Hiyo Tanganyika itatujengea barabara, kuwafukuza wezi wa madini yetu, kuwawezesha akina mama wajawazito kuepuka vifo wakati wa kujifungua, kuepusha vifo vya watoto chini ya miaka 5? Tuambieni "utamu" wa hilo neno Tanganyika badala ya Tanzania Bara unatokana na nini hasa?
Tuambie uhalali wa Zanziba kuwa na wimbo wa taifa,serikali,bunge,rais nk wakati sisi watanganyika hatuna, hakuna nchi ilipata uhuru inaitwa Tanzania bara labda Tanganyika ibatizwe
Nina akili pana ndio si kama yako. Tutaanza kupambana na hayo yote kwa kujitambua sisi ni nani, tuko wapi na tunaelekea wapi kama waznz wanavyojitambua. Huwezi kufananisha uzalendo wa mzanzibari na so called mtanzania bara. Pima mwenyewe
hiyo katiba pia ina matatizo,ni ya kubadili,ndo uatelewa vizuri tunachosemanani kakudanganya kuwa "sisi" hatuna rais? Soma vizuri katiba ndugu, usikurupuke! Kwani kubatiza nchi jina jingine ni dhambi au unasumbuliwa na kitu usichokijua?
Tuanze man-hunt, ya CCM puppets kuikomboa TK
hiyo katiba pia ina matatizo,ni ya kubadili,ndo uatelewa vizuri tunachosema
Mbona jaziba!?, sina uhakika kama nimekurupuka, nisaidie kunielewesha rais wa Tanganyika ni nani?Nani kakudanganya kuwa "sisi" hatuna Rais? Soma vizuri Katiba ndugu, usikurupuke! Kwani kubatiza nchi jina jingine ni dhambi au unasumbuliwa na kitu usichokijua?
Mbona jaziba!?, sina uhakika kama nimekurupuka, nisaidie kunielewesha rais wa Tanganyika ni nani?
Mmmmm, kwa hiyo Tanganyika "nzuri" kumbe ni ile ya Waingereza na sio nchi tuliyoitengeneza sisi yaani Tanzania? Tutaendelea kujidharau kwa mtindo huu hadi lini? Alright, suppose tukiita hiyo Tanzania Bara kwa jina la Tanganyika itatuondoleaje ufisadi na umaskini? Hiyo Tanganyika itatujengea barabara, kuwafukuza wezi wa madini yetu, kuwawezesha akina mama wajawazito kuepuka vifo wakati wa kujifungua, kuepusha vifo vya watoto chini ya miaka 5? Tuambieni "utamu" wa hilo neno Tanganyika badala ya Tanzania Bara unatokana na nini hasa?
Nani kakudanganya kuwa "sisi" hatuna Rais? Soma vizuri Katiba ndugu, usikurupuke! Kwani kubatiza nchi jina jingine ni dhambi au unasumbuliwa na kitu usichokijua?
View attachment 18208
hii ndo bendera ya tanganyika
Na huo uzalendo wa kizanzibari umewasaidia nini kimaendeleo?