kweli,mi nimeshangaa sana,mana naona kama tunajikataa sisi wenyewe,bendera zetu leo ndo ilikuwa siku yake maalum,mbon uhuru w zanzibar hatusema uhuru wa tanzania visiwani,mana wao siku kama ya leo as far as kila kitu chao wanacho,leo ndo huimba nyimbo yao ya taifa,bendera yao n.k,nashangaa sisi inataka itushnde,neno TANZANIA leo si mahala pake,wasuburie sherehe za muungano ndo watumie hayo neno tanzaniaUhuru ni wa Tanganyika na sio wa Tanzania waache uhuni tena tungekuwa serious leo ndo ilikuwa siku ya kupeperusha bendera yetu ya Tanganyika
na tunaimba wimbo wa Tanzania au wimbo wa Tanganyika hata kwenye majukwaa ya michezo wanaita timu ya kilimanjaro Stars wakati ya Zanzibar wanaita timu ya zanzibar au Zanzibar Heroes sasa kwanini sisi tusii timu ya Tanganyika aka Kilimanjaro stars....pakungangana nao hawa jamaa ni kwenye katiba ili na sisi wa Tanganyika tupate Haki yetu maana hawa wa zanzibar wakiwa nje wana sema wao wa Zanzibar hawasemi wao Watanzania inaniuzi kweli...kweli,mi nimeshangaa sana,mana naona kama tunajikataa sisi wenyewe,bendera zetu leo ndo ilikuwa siku yake maalum,mbon uhuru w zanzibar hatusema uhuru wa tanzania visiwani,mana wao siku kama ya leo as far as kila kitu chao wanacho,leo ndo huimba nyimbo yao ya taifa,bendera yao n.k,nashangaa sisi inataka itushnde,neno TANZANIA leo si mahala pake,wasuburie sherehe za muungano ndo watumie hayo neno tanzania
kwa sasa hiki ndicho cha kukupiganiaDECEMBER 9th is independence day for our maimed TANGANYIKA; We must not let it be history, let it be remembered now and always. I pray the new katiba will also address serikali tatu,
Tumejengewa uoga eti utaonekana uutakii mema muungano ukisema Tanganyika...tumelogwa mzee.
wimbo tunaoimba ni wa tanganyika,il kwenye vitu vingine tumejikataa,na bado tunajiita wazalendo,hata mgeni rsmi leo alitakiwa kuwa raisi wa Tanganyika,si wa jamhuri ya muuungano wa Tanzania,wanadai hata watoto wa halaiki kuna wa Tanganyika na wa zanzibar,mi naona wanzibar hii sherehe si yao,wangetuacha tushereherekee uhuru wetu,wao wawe kama wageni tuna tunaimba wimbo wa Tanzania au wimbo wa Tanganyika hata kwenye majukwaa ya michezo wanaita timu ya kilimanjaro Stars wakati ya Zanzibar wanaita timu ya zanzibar au Zanzibar Heroes sasa kwanini sisi tusii timu ya Tanganyika aka Kilimanjaro stars....pakungangana nao hawa jamaa ni kwenye katiba ili na sisi wa Tanganyika tupate Haki yetu maana hawa wa zanzibar wakiwa nje wana sema wao wa Zanzibar hawasemi wao Watanzania inaniuzi kweli...
Mungu ibariki Tanzania au Mungu ibariki Tanganyika?wimbo tunaoimba ni wa tanganyika,il kwenye vitu vingine tumejikataa,na bado tunajiita wazalendo,hata mgeni rsmi leo alitakiwa kuwa raisi wa Tanganyika,si wa jamhuri ya muuungano wa Tanzania,wanadai hata watoto wa halaiki kuna wa Tanganyika na wa zanzibar,mi naona wanzibar hii sherehe si yao,wangetuacha tushereherekee uhuru wetu,wao wawe kama wageni tu
View attachment 18208
hii ndo bendera ya tanganyika