Kwa nini watu wanaogopa kuita tanganyika,wanaita tanzania bara?

NICK2275

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
3,931
918
NIPO NAFATILIA SHEREHE ZA UHURU WA TANGANYIKA,ILA NIMEANGLIA ITV,MTANGAZAJI HUKO NAONA ANASEMA SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA BARA(japokuwa ni sawa,ila hakuna nchi inayoitwa Tanzania bara)nimejaribu kuangalia TBC1 NAO NASIKIA MANENO NI YALE YALE,UHURU WA TANZANIA BARA,SOMETIME ANASEMA UHURU WA TANGANYIKA,NIMEJIULIZA NI KWA NINI WANASHINDWA KUSEMA UHURU WA TANGANYIKA MOJA KWA MOJA NA KUACHA NENO TANZANIA BARA JAPO KWA SIKU YA LEO TU,NIMESHNDWA KUELEWA
 
Uhuru ni wa Tanganyika na sio wa Tanzania waache uhuni tena tungekuwa serious leo ndo ilikuwa siku ya kupeperusha bendera yetu ya Tanganyika
 
kweli,mi nimeshangaa sana,mana naona kama tunajikataa sisi wenyewe,bendera zetu leo ndo ilikuwa siku yake maalum,mbon uhuru w zanzibar hatusema uhuru wa tanzania visiwani,mana wao siku kama ya leo as far as kila kitu chao wanacho,leo ndo huimba nyimbo yao ya taifa,bendera yao n.k,nashangaa sisi inataka itushnde,neno TANZANIA leo si mahala pake,wasuburie sherehe za muungano ndo watumie hayo neno tanzania
 
DECEMBER 9th is independence day for our maimed TANGANYIKA; We must not let it be history, let it be remembered now and always. I pray the new katiba will also address serikali tatu,
 
na tunaimba wimbo wa Tanzania au wimbo wa Tanganyika hata kwenye majukwaa ya michezo wanaita timu ya kilimanjaro Stars wakati ya Zanzibar wanaita timu ya zanzibar au Zanzibar Heroes sasa kwanini sisi tusii timu ya Tanganyika aka Kilimanjaro stars....pakungangana nao hawa jamaa ni kwenye katiba ili na sisi wa Tanganyika tupate Haki yetu maana hawa wa zanzibar wakiwa nje wana sema wao wa Zanzibar hawasemi wao Watanzania inaniuzi kweli...
 
kwa sasa hiki ndicho cha kukupigania
 
iko siku tutapata rais wa Tanganyika na siyo rais wa Tanzania kutuongoza vinginevyo wazazibar nao wasiwe na rais,bendera,wimbo wa taifa nk
 
na tunaimba wimbo wa Tanzania au wimbo wa Tanganyika hata kwenye majukwaa ya michezo wanaita timu ya kilimanjaro Stars wakati ya Zanzibar wanaita timu ya zanzibar au Zanzibar Heroes sasa kwanini sisi tusii timu ya Tanganyika aka Kilimanjaro stars....pakungangana nao hawa jamaa ni kwenye katiba ili na sisi wa Tanganyika tupate Haki yetu maana hawa wa zanzibar wakiwa nje wana sema wao wa Zanzibar hawasemi wao Watanzania inaniuzi kweli...
wimbo tunaoimba ni wa tanganyika,il kwenye vitu vingine tumejikataa,na bado tunajiita wazalendo,hata mgeni rsmi leo alitakiwa kuwa raisi wa Tanganyika,si wa jamhuri ya muuungano wa Tanzania,wanadai hata watoto wa halaiki kuna wa Tanganyika na wa zanzibar,mi naona wanzibar hii sherehe si yao,wangetuacha tushereherekee uhuru wetu,wao wawe kama wageni tu
 
Wakuu bendera ya Tanganyika iko je? Tuwekeeni hapa tuione ss tusiokuwepo enzi hizo
 
Flag_of_Tanganyika..png
hii ndo bendera ya tanganyika
 
wimbo tunaoimba ni wa tanganyika,il kwenye vitu vingine tumejikataa,na bado tunajiita wazalendo,hata mgeni rsmi leo alitakiwa kuwa raisi wa Tanganyika,si wa jamhuri ya muuungano wa Tanzania,wanadai hata watoto wa halaiki kuna wa Tanganyika na wa zanzibar,mi naona wanzibar hii sherehe si yao,wangetuacha tushereherekee uhuru wetu,wao wawe kama wageni tu
Mungu ibariki Tanzania au Mungu ibariki Tanganyika?
 
Siku ya uhuru wa Zanzibar, rais wa Tanzania huwa na nguvu kama siku ya leo au huwa mgeni mwalikwa....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom