Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,658
- 20,889
Na hii sio kwa binadamu tu ni hata wanyama. Utakuta kuku anadonoa watoto wa wengine tu wa kwake hata siku moja. Kuna documentary inaitwa chimpanzee 2012 . kisokwe kilifiwa na mamayake kikawa kinaenda kwa mamaza wengine wanakifukuza mpaka kikawa kinalelewa na sokwe dume.
Ukienda kuishi kwa ndugu bora uwe ni ndugu wa mwanamke ukiwa wa mwanaume utabaguliwa au kunyanyaswa sana hili mi mwenyewe nimewahi experience. Pia baba wakambo anaweza kukuta analea watoto wote kwa usawa lakini mama wa kambo huwa katili sana.
Ni kwanini wanawake au wanyama jike huwa hivi?