Zyamwelele
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 405
- 153
Mungu mwenyewe anatambua mapungufu makubwa waliyonayo wakina Hawa. na ndio maana maandiko yanatutahadharisha sana juu ya hawa watu.
Ana uafadhali kidogo mwanamke mwenye hofu ya Mungu'' ukimpata asiye na hofu ya Mungu ukatili wake simba jike atangoja yaani ni zaidi ya simba.