Kwa nini wanawake huwa katili kwa watoto au ndugu wasio wao?

kiasili wanawake hawana huruma wana uchungu....na biblical wanawake wametumiwa kama lango la shetani na lango la ukombozi wanahitaji usimamizi

ingekuwa wanaume wana huruma tusingeshuhudia mauaji ya kikatili yanayotokea dunuani. nikiangalia ISIS wanavyo behead watu, nikiangalia boko haram na alshabaab wanavyochinja watu, ukiangalia crime and investigation channel mauaji yanayofanywa na wanaume, ukisikia ukatili na ubakaji wa watoto huwa najiuliza kama kuna watu huwa wanamioyo.
Binadamu tuna roho katili regardless of gender kuna wanawake wenye roho nzuri na kuna wanaume wenye roho nzuri pia so kama umekutana na mwenye roho mbaya usigeneralize watu wote.
 
Hehe..mmenikumbusha ule wimbo wa professor Naaman wakati nilipokuwa shule ya msingi

 
Last edited by a moderator:
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom