Kwa nini wanawake huwa katili kwa watoto au ndugu wasio wao?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,888
Na hii sio kwa binadamu tu ni hata wanyama. Utakuta kuku anadonoa watoto wa wengine tu wa kwake hata siku moja. Kuna documentary inaitwa chimpanzee 2012 . kisokwe kilifiwa na mamayake kikawa kinaenda kwa mamaza wengine wanakifukuza mpaka kikawa kinalelewa na sokwe dume.

Ukienda kuishi kwa ndugu bora uwe ni ndugu wa mwanamke ukiwa wa mwanaume utabaguliwa au kunyanyaswa sana hili mi mwenyewe nimewahi experience. Pia baba wakambo anaweza kukuta analea watoto wote kwa usawa lakini mama wa kambo huwa katili sana.

Ni kwanini wanawake au wanyama jike huwa hivi?
 
Ngoja nijibu kitaalam kidogo.

mwanamke ameumbwa na ushetani mwingi sana, na hili ni swala la kimaumbile.

Mwanamke anaenda period kila mwezi kwa hiyo ile damu ambayo ina asili ya uchafu inavutia viumbe wabaya kama mapepo wachafu na majini kujificha kwenye mwili wa mwanamke.

Ndio maana ata makanisani wakikemea wanaoangaika zaidi ni wanawake.

Nafikiri mmeipata kidogo elimu hapa.
 
mh! hii kali, unataka kusema wamekuwa programmed hivyo?. mbona matetea hayaendi period lakini yanaact the same?
 
duuuuh!! kuna ukweli hapa japo sio wote jamani, ila wanawake kwakweli tu viumbe wa ajabu sn
 
Hata Maofisini,maboss wanaume tuko poa sana issue kwa wanawake.Tene ukute hajaolewa au ni tasa.........hali ni mbaya
 
Hata Maofisini,maboss wanaume tuko poa sana issue kwa wanawake.Tene ukute hajaolewa au ni tasa.........hali ni mbaya

Ukute traffic wa kike kapewa mshtakiwa wa kike hivo atakavompeleka puta hatupendan sisi hatupendani ugomvi kidogo mnuno mwaka wanaume wakigombana.hata round hawachukui tayar washawekana.sawa sie kina amina mama we tuna.roho za husda chuki fitna uhasama
 
mh! hii kali, unataka kusema wamekuwa programmed hivyo?. mbona matetea hayaendi period lakini yanaact the same?

Ndio hivyo mkuu, hii kitu mimi nilifanyia tafiti ya kitaalam kabisa mwishoni tukapata hii results.

Unajua mwanamke ana roho mbaya sana akikosa wa kumchukia anajichukia mpaka mwenyewe.
 
Ukute traffic wa kike kapewa mshtakiwa wa kike hivo atakavompeleka puta hatupendan sisi hatupendani ugomvi kidogo mnuno mwaka wanaume wakigombana.hata round hawachukui tayar washawekana.sawa sie kina amina mama we tuna.roho za husda chuki fitna uhasama
unafikiri ni kwanini iko hivyo?
 
unafikiri ni kwanini iko hivyo?

Roho mbaya tu!! Hatuna imani kwenye mioyo yetu na asilimia kubwa ya girls tupo hivo japo s wote kama mtu s msengenyaj atakua mfitinishaji atakua mnafki ataleta uhasama uchonganishi halaf hata ulimbukeni unachangia
 
Mi nadhani binadamu hatupaswi kuishi kama wanyama. Tumeumbwa kwa namma ya kipekee ukilinganisha na wanyama. Tunapoisha kama wanyama ni sasa na kuukataa ubinadamu wetu. Wanawake badilikeni basi muishi kama binadamu na si kama wanyama.
 
Ndo maana wanasema mwanamke ni mwanamke tu,hata awe amesoma na kupata degree 20.wanawake wote 99.9% wana ubinafisi sana na IQ zao ni ndogo hata akijifanya ana uelewa mpana ktk jambo fulani machoni mwa watu mwisho wa siku lazima atarudia asili yake.
Ila wengi wanafanya hivo kutokana na mazingira aliyo lelewa na mama zao.
 
Ndo maana wanasema mwanamke ni mwanamke tu,hata awe amesoma na kupata degree 20.wanawake wote 99.9% wana ubinafisi sana na IQ zao ni ndogo hata akijifanya ana uelewa mpana ktk jambo fulani machoni mwa watu mwisho wa siku lazima atarudia asili yake.

Enh kila mtu ana mapungufu yake hatujakamilika wapo walozid tupo wenye afadhali usituunganishe kwenye msafara wa kenge sie hatumo
 
When we love, our love knows no bounds.

We protect what is ours with a passion sometimes at the cost of being deemed heartless and cruel.[JFMP3][/JFMP3]
 
Ni watu wachache sana wanaweza lea mtoto wa mwingine kama wake. Ndio maana cases za kubakwa wtt wa kambo zipo sana ila hazisemwi. Nimeona baba wa kambo wakibagua wtt wa kambo na nimeona mama wa kambo wazuri tu

Kina mama wanaonekana wana roho mbaya kwa kuwa muda mwingi wao ni walezi wanakaa na ndugu na wtt wa kambo huwezi compare na baba anayeonekana usiku tu wala hajui ni maudhi gani mke kapitia.
Binadamu wote tuna roho mbaya ndio maana madhambi ni mengi sana.
 
Back
Top Bottom