Sio kweli.
Mimi ni mwanamke na naipenda sana CHADEMA. Yaan iko kwenye damu. Peoplezzzzz!.... Power. Asikwambie mtu bana. Ukombozi uko njiani.
we mrembo nakushauri usianze kumfukuza mwehu muache akimbie peke yake,ccm washachizi hao!
Sio kweli.
Mimi ni mwanamke na naipenda sana CHADEMA. Yaan iko kwenye damu. Peoplezzzzz!.... Power. Asikwambie mtu bana. Ukombozi uko njiani.
sina mbavu...Vijana wa kiume si ndio hao osama alikuwa anawavisha mabomu wakajilipue! Siku yake ilipofika yeye akajikinga mbele ya mwanamke!mzee osama ana busara sana!alijua kifo ni noma
Endelea ...Lakini Juni 20, mwaka huu, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (CCM) Taifa, Sophia Simba, ambaye ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala Bora), aliwataka wanawake wa jumuiya hiyo wanaoishi na wanaume ambao si wanachama wa CCM kuwanyima waume wao unyumba kwa lengo la kuwakomesha. Ninyi wanawake wenzangu ambao waume zenu wapo katika vyama pinzani na mnajua wazi kuwa hawawapi ushirikiano wowote katika siasa ya CCM wanyimeni nonino, muone kama hawatarejea katika chama tawala, nonino nikiwa na maana ya tendo la ndoa, alisema Sophia huku akishangiliwa na wanawake wote kuonyesha kuwa alilolisema limewagusa.
Ndezi huyo. Ndo maana thread kama hizi huwa nasoma afu nakimya kama sikuwepo vile...