Kwa nini wanawake hawaipendi chadema?

Sio kweli.
Mimi ni mwanamke na naipenda sana CHADEMA. Yaan iko kwenye damu. Peoplezzzzz!.... Power. Asikwambie mtu bana. Ukombozi uko njiani.

we mrembo nakushauri usianze kumfukuza mwehu muache akimbie peke yake,ccm washachizi hao!
 
Mkuu huko ni kuchanganyikiwa au?
kila mtu anaongea lake na hii ndio style yako yakutokea
 
wewe wewe embu acha hayo maneno..
we wanawake unaowamgelea ni wale
unae waona kwenye TV tu au huo mkoa
unaoishi ... Fanya utafiti vizuri acha
kuropoka ropoka kama uji wa ugali ......
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kuna haja ya kutoa ushauri wa bure na pia naomba uwe makini kwa huu ushauri,ewe mtoa mada ningekuomba uende mwenyewe hosp ukapimwe akili maana hauko sawa na usilazimishe mpaka uje kufungwa kamba ndo ukubali,hiyo kauli yako ya rafiki wa muhuni ni wahuni is nonsense bangi ndo inakuharibu.
 
Lakini Juni 20, mwaka huu, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (CCM) Taifa, Sophia Simba, ambaye ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala Bora), aliwataka wanawake wa jumuiya hiyo wanaoishi na wanaume ambao si wanachama wa CCM kuwanyima waume wao unyumba kwa lengo la kuwakomesha. “Ninyi wanawake wenzangu ambao waume zenu wapo katika vyama pinzani na mnajua wazi kuwa hawawapi ushirikiano wowote katika siasa ya CCM wanyimeni ‘nonino’, muone kama hawatarejea katika chama tawala, nonino nikiwa na maana ya tendo la ndoa,” alisema Sophia huku akishangiliwa na wanawake wote kuonyesha kuwa alilolisema limewagusa.
Endelea ...
 
Ndugu Tolowski,

Ahsante kwa takwimu zako ambazo bila shaka umezifanyia kazi vizuri. Hongera sana kwa hilo. Basi kwa ujuzi wako huo haitakuwa vibaya ukatujuza takwimu zaidi kwa vigezo mbalmbali na kwa vyama vingi zaidi ili tuweze kulinganisha vyama vya siasa vya TZ, kwa kuanzia fanya kwa vyama vyenye wabunge tu. Mfano wa makundi yakufanyia takwimu zako ni kama hizi: wafuasi wa vyama miongoni mwa wanawake; wanaume; vijana wa chini; vijana wa kati; wazee; wakristo, waislam, wasomi; wafanayakazi; wafanyabiashara; machinga; kwa mikoa; kanda, wapiga kura (waliojiandikisha kwa kuonesha vitamburisho). Hii utavisaidia vyama vya siasa kujua maeneo wanamotakiwa kuongeza nguvu. Kwa njia hii taarifa zako zitakuwa na nguvu. Vinginevyo usije na hisia zako na kusema iko hivi au vile.
 
Wanawake wa kiswahili wanaopenda vya bure .5000 za mafisadi kwao milioni
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom