Kwa nini Wanaume Hatuitani Majina Haya??

Yaani umwite rijali mwenzio dear?utakula nakoz za kutosha mpaka ushangae.
 
........halafu nyingine ni kwa nini mwanaume hawezi kumpa busu mwanaume mwezio? Utakuta mke yupo na mumewe, mara mkakutana na rafiki ya mume.......rafiki yule anampa kiss shemejie yaani mke wa rafiki yake lakini hampi kiss rafiki yake.

NB. Busu ninalozungumzia hapa ni la paji la uso au la shavuni.
 
Nenda uarabuni uone wanavyobusiana. . .
 
Nenda uarabuni uone wanavyobusiana. . .

...........nilikuwa sizungumzii uarabuni, maana uarabuni nadhani hiyo ni tamaduni zao na sio waarabu wote......kama kwa hapa bongo wahehe walivyokuwa na tamaduni ya kubusiana mikononi wanaposalimiana haijalishi jinsia.
Nilichokuwa nazungumzia ni wanaume wengi hawana utaratibu wa kupeana busu kama ilivyokuwa kwetu wasichana/wanawake.
 
Ukimuita mwanaume mwenzio majina hayo basi juwa aidha ''waliwa'' au uko mbioni ''kuliwa'' na wanaume wenzio......kina mama huitana vile wao kwa asili ''huliwa'' na wanaume

hivi mwanaume anamkula mwanamke?au mwanamke ndo anae kula mwanaume.
 
hayo majina ni malaini,...matamtam...yakurembua rembua...yakulegezalegeza..ambpo hizo zoote sio sifa za mwanaume...niite jombaa,...chaliii angu,...mchizi wangu, kichaa wangu,..nyoka...jembe (sio lile linalotiwa mpini)...lols...na mengineyo maguuuumu!!!
anyways lets be more practical,.nambie sweetie kaeso (assuming u r a man)!!
 
ha ha ha haaah!! Hapo mwisho unaua mkuu!
 
Wasichana/Wanawake huwa wanapenda kuitana dear, sweet, mpenzi na mengne mengi.
Kwa nini wanaume hatuitani hivi!?

Ndio mnaanzaga hivi hivi, sasa nikuite sweet kwa utamu gani unaonipa? Kikwete we saini tu, kumbe Cameron ana wateja kweli tulimbeza bure
 
Nenda uarabuni uone wanavyobusiana. . .

Hana haja ya kwenda, naweza kumletea hapahapa mambo yao
ahmadinejad-Islam-sodomy-homosexual.jpg
Huyo ni Rais wa Iran Ahmadinejad akifanya hivyo mnavyotaka. Najua atatokea mfia dini wa kusema its just a simple kiss, lkn nitaomba anieleze na sababu ya kufumba macho kwa hisia namna hiyo.
 
Back
Top Bottom