Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
Hahahaaaa hapana,ukiona wanaitana ujue hao wamevaa nguo za kiume ila wao ni wanawake, hakuna mwanaume anayeweza ita hivyo,kwanza akiniita hivyo namtukana hapohapo.Wanaitana sana.

Mkubwa mbona tuna majina yetu kibao tu! Mfano ni haya,Wasichana/Wanawake huwa wanapenda kuitana dear, sweet, mpenzi na mengne mengi.
Kwa nini wanaume hatuitani hivi!?