game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,402
- 23,326
Heri ya Mwaka mpya,
kwa kuwa leo Mjadala wa Lugha umechukua nafasi sana kwenye Jukwaa hili, na mimi naongezea hili,
Wageni toka kote duniani Huja na kuondoka Tanzania, watalii mamilioni kwa mamilioni na wafanyi biashara,
Walimu mashuleni na vyuoni Hufundisha kwa Lugha hii ya Kingereza, watanzania maelfu kwa maelfu wamesoma na wanasoma ulaya, Marekani na Asia,
Watanzania wamesambaa kote duniani, na wengi wetu nikiwepo mimi tumesafiri nchi za Ng’ambo pia,
Viongozi na wakuu wa nchi mbalimbali duniani hutembelea na kukaribishwa Kufanya mikutano Tanzania,
katika hao wote sijawahi sikia Wageni hawa wakilalamika kuwa Wamepata changamoto ya Lugha ama hawakufanikisha mambo yao kwa sababu ya Lugha,
Hii dhana ya kusema Watanzania hawajui Kingereza kwa nini ishikiliwe bango na Wakenya pekee,?
au wanataka tuzungumze kama vile wazungu wakati sisi ni Watanzania,
Hivi utumwa utatoka lini Vichwani mwa hawa majirani waingereza Weusi?