Kwa nini wake za watu (majority) hamuwezi kukituliza

Kwa nini wake za watu (majority) hamuwezi kukituliza

ha ha ha ningekua sina ndoa na mimi ningekuwa nakemea dhambi hii, ila kwasababu niko kwenye ndoa ndo mana naielewa vizuri hii dhambi na si kazi yangu kutoa hukumu kwa yeyote maana tukisema tumulike walio kwenye ndoa utashangaa tena unaweza zimia kabisa na taasisi hii.
niko kwenye ndoa tena ni tamuuuuuuuuuuuuu
kama wote mnacheat, utamu upi unauzungumzia?
 
ha we vipi kwani nini? hata mama na baba yangu ni masweetie wangu si ninawapenda?

mambo madogo hayo baby usishangae sana

aya sweetie pie,em nidokeze husband wako mara ya mwisho kumwita sweetie ilikuwa mwaka gani vile?
 
Habari wakuu!
Hii ishu inakatisha tamaa sana especially kwa sisi ambao bado hatujaoa,kwa style hii kuoa ni ngumu sana,maofisini tunashuhudia mambo mengi sana ya kijinga,kina dada mtulie kwenye ndoa zenu yaani mtu kaolewa ndio kwanza ana 2yrs,lakini anavyokigawa utasema hajazaliwa na binadamu...hata bure unapiga mzigo...
Ndugu zangu mliooa hawa workin class gaals yaani i feel sorry for you guys,this is bullshit....

Ya ukweli mke ya mtu ni cheap kuliko singles...sjui kwa nini?
 
kama wote mnacheat, utamu upi unauzungumzia?

hamna ugomvi ndani ya nyumba kabisaaa yani huwezi amini tunawasiliana vizuri tu in the house. mipango sasa ndo inaenda maana kuna amani ndani, watoto wanakula bata na afya yangu imerudi maana nilikuwa nakonda kwa kumfuatilia mume wangu zamani. kwasasa huwa anajua atakua gesti ama la na huwa simsumbui kupigapiga cmu.

ishu ni kwamba hajui kama kuna anayenituliza hivi sasa, infact ndo ameongeza mapenzi kwangu lol.

kwahiyo ndoa ni tamuuuuuuuu
 
Acha kudanganya watu wewe.. Una uhakika na unachokisema. Usi generalize mambo mkuu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Asante kwa comment! Nimekwisha omba msamaha kwa ku-generalise, na hapo nimepaona. Ila ukweli bado uko palepale kuwa si wanawake, si wanaume, waaminifu katika ndoa ni wachache sana, let say 1/100. The number may be very small, but not negligible. Hali hii inakatisha tamaa kwa wale ambao hawako katika ndoa, wanasita kuingia, ingawa hawakwepi, wanapoingia hukutana na vituko hivyohivyo.
"TUOMBE MUNGU WA REHEMA, ATUONDOLEE TAMAA" ila wanawake wasilaumu wanaume, na wanaume wasilaumu wanawake katika jambo hilo.
 
Ya ukweli mke ya mtu ni cheap kuliko singles...sjui kwa nini?



... U hit the focal point....!! kabisaaaaaa....!!!

... Yaani mke wa mtu ni very easy kutongoza once na unakula.... tena next time buree hadi hutaki...!!

... Na sijawahi tongoza mke wa mtu hata mmoja anikatalie....!!
... Tena wamama wakubwa say 45, 40, 38, 35 yaani unabeba tu......

... Hii ni kweli.... na 65% ya waathirika ni wanandoa that's way...!!!
 
Kuna siku nilisema jambo fulani likawa gumu kueleweka kwa akili ya Kitanzania.

Kuna watu wanaamini kuwa kuna shida ya uwiano kati ya wanawake na wanaume kiasi kwamba kuna wasiwasi kwamba baadhi ya wasichana watakosa watu wa kuwaoa. Lakini kwa mimi ninavyoona, ni wanaume ndio wana wakati mgumu wa kupata wenza stahiki wa kuwaoa na sio wanawake.

Kilichopo mtaani ni wingi wa watu wenye 'holes' katikati ya mapaja na si wanawake. Si kila mvaa sjeti anafaa kuolewa. Majority ni viruka njia. Sasa kwa kutokuwa makini na hawa virukanjia, utakuta mtu kajichukulia kimojawapo (mfano wa hivi vinavyojinadi hata hapa kuwa vinatafuta waume) na kukiweka ndani.

Bwana asikwambie mtu, kicheche hakiachi asili. Kuolewa kwao imekuwa ni ada tu, lkn vina dhamira chafu mioyoni mfano wake hakuna. Ukituona na visuti vyao kwenye vituo vya daladala utadhani binadamu, lkn kiukweli ni sperm-bins, kila mwenye shahawa anatupia humo. Na hivi ni vijitabia wanatokanavyo vyuoni zaidi.

Tumgeukie Mungu kama tunataka kunusurika

Hapo umekomesha ndugu yangu .... vyuoni ni noma .....
 
... U hit the focal point....!! kabisaaaaaa....!!!

... Yaani mke wa mtu ni very easy kutongoza once na unakula.... tena next time buree hadi hutaki...!!

... Na sijawahi tongoza mke wa mtu hata mmoja anikatalie....!!
... Tena wamama wakubwa say 45, 40, 38, 35 yaani unabeba tu......


... Hii ni kweli.... na 65% ya waathirika ni wanandoa that's way...!!!

Niliwahi kuandika hapa kuwa vijana / wanaume 30's up to 40's years tuko katika wakati mgumu sana. Wanawake under 20's wanatumindi, under 30's ndo usiseme, under 40 and over hao ni kama kusukuma mlevi
 
ikiwa hiyo ndio sababu ya wewe kuogopa kuoa, anza kwanza kuogopa kupanda baiskeli, bodaboda, bajaji, gari, ndege, meli na treni kwa kuhofia ajali kwani kila siku zinasikika ajali kutoka kwenye hivyo vyombo. ikiwa unajua kuwa vyombo hivyo vinapata ajali na bado una ujasiri kupanda kimojawapo kati ya hivyo basi ujasiri huohuo uutumie kumchagua mdada mmoja na kumuoa. usimwonee huruma mkazi wa mabondeni wakati na wewe unakaa mabondeni.
 
Mmmhh! Unaposema majority inategemea na mahali ulipo. Kwa mfano mimi nimeona wamama wengi wanaheshimu ndoa zao no matter what na wachache sana nimeona sio waaminfu wachache mno. Ndio maana nasema inategemea unaishi wapi na unaongelea wamama wa age ipi. Nakumbuka zamani kidogo wanaume wengi hata wale wasio tulia walitafuta wanawake decent wa kuoa tofauti na siku hizi. Vijana wengi huwa hawaangalii wa kuoa ili mradi tu wanashindana na wakati. Sasa hao wanaooa bila kuwa na vision ndio hao wake zao wanajigawa kama karanga. Lakini I encourage you that there are still decent women out there just put more time in searching utawaona wapo.

Kwa bhati mbaya Wengi suala la ndoa hatulipi umuhimu wake kama zamani ndio maana uaminifu unadrop siku hadi siku. Bado nasema wanawake waaminifu kwenye ndoa zao ni wengi fanya tena uchunguz na wanaume waaminifu kwenye ndoa zao ni wachache mno.
 
Kwa mtazamo wangu wanaume wengi wakioa wanajisahau kutekeleza ya unyumba hasa kufikisha wake zao kule cloud nine kwa maongezi bila hasira, kwa kuwa kama wakati au baada ya kumtongoza, kwa kumfanya hata kama pesa hamna mwanamke ajisikie queen wa mme. Hata kesho hawezi ogopa or fikiria ndoa yangu mbovu.

Sasa na mme anapofata makundi kwenda kuiba nje anajisahau kurudi home na kutoa mapenzi ya kufurahisha roho ya mke. Anajiona mshindi anajiona kama hashikiki tabia mbovu, kulalamika vitu vidogo kama oohh hiki kile au mbona chakula umerudia kama cha ajana huku haukusema unajisikia kula nini, hata ka sms kangesema. Mara naenda out kukutana na mdada au wa dada wa kampuni fulani ili wanisaidie nipate kazi sijui itasaidia niunganishiwe kazi fulani nilete pesa home. Ok mbona mkeo hauendi nae dinner hiyo inakuwa ya usiku kurudi saa nane tisa eti uunganishiwe mabisashara. Mmmh

Mengi mnategemea nini? Simu unabeba sijui tatu nne mara moja ni ya biashara mkeo asiipokee mnafichana nini kwenye kuleta pesa?

Haya sasa inakuja kila mke anapopata pesa yake either ya biashara au kazi unataka wewe mme uone yote imetumika na kuisha kabisa ndio furaha yako. Njoo zxako basi hata haijulikani unatumiaje hata pesa ya shopping ya ndani unavizia mamaa ndo afanye huku unachojua ni kutumbuiza sijui utumbo gani.

Mke akikaa kuhesabu pesa anakuta hata uliyoyafanya home pesa ni ndogo na hizo zingine hajui. Unadhani atafikiria nini? Why usiri? Ok kama unahudumia kwenu mkewe unamficha nini. Kama unaiba unalea ma dot com unataka afanyeje.

Haya mkija kitandani hamu ya kumridhisha mkeo inapungua unajikuta huna hamu eti sababu una enjoy vya nje, mke anakaa anawashwa anahamu ya full game toka kichwa hadi gumba wewe unaingia tu na kutoka dk 2 hata busu hutoi hata tomasa tomasa unaona anakusumbua eti unawaza ile mpya au sijui inayokuongelesha kama li baby la miezi miwili.

Je haujui ungeweka kichwa na akili kwa mkeo hiyo mchezo ungezidi kuwa mtamu zaidi kila siku?

Kha nimechoka kuandika mambo ndio hayo why asiende nje kwa mengi niliyosema juu?
 
nitajutaje na nani kakwambia nina lipiza, aka babu mie nakula gud time kwa raha zangu nae ala gud time na wake za wenzie kwa raha zake. Mbona mnajifanya hamgegedi wake za wenzenu bana. nyie wanaume mlioao ndo kabisaaaaaaaaa
ukiwa ofisini unacheka vizuri na wake za wenzio, ukirudi kwa mkeo full gubu

ah tupa kule

Kwako kuingiziwa kila aina ya male organs ndio good time. Eeh Mungu utunusuru. Yaani na mwanamke mwenye akili za namna hii naye umeruhusu awe mke wa mtu? Mtu huyo alikukosea nini ee Maulana?

Eti we mama, kuvuliwa nguo na wanaume mara huyu mara huyu ni taratibu za dini yako au kabila lako? Samahani, maswali ni mengi: yaani, huoni vibaya wewe kuangaliwa na kila mwanaume?

Laiti mngejua ni nini wanaume huongea juu ya wake za watu waliowafanya naamini msingejidhalilisha na kuwadhalilisha waume zenu.
 
Habari wakuu!
Hii ishu inakatisha tamaa sana especially kwa sisi ambao bado hatujaoa,kwa style hii kuoa ni ngumu sana,maofisini tunashuhudia mambo mengi sana ya kijinga,kina dada mtulie kwenye ndoa zenu yaani mtu kaolewa ndio kwanza ana 2yrs,lakini anavyokigawa utasema hajazaliwa na binadamu...hata bure unapiga mzigo...
Ndugu zangu mliooa hawa workin class gaals yaani i feel sorry for you guys,this is bullshit....

Naomba namba zake za zimu.
 
... U hit the focal point....!! kabisaaaaaa....!!!

... Yaani mke wa mtu ni very easy kutongoza once na unakula.... tena next time buree hadi hutaki...!!

... Na sijawahi tongoza mke wa mtu hata mmoja anikatalie....!!
... Tena wamama wakubwa say 45, 40, 38, 35 yaani unabeba tu......

... Hii ni kweli.... na 65% ya waathirika ni wanandoa that's way...!!!

Hapo kwenye red ndi haswaaa!!
Sijui hupatwa nanini!! wanaachia mno!.. anakula ugali samaki kwake, wala hahitaji kuhongwa...!
 
Back
Top Bottom