BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
sababu ni zile zile zinazofanya waume za watu almost wote wacheat.......
ayanda, unanitia shaka hata kama una ndoa
ayanda, ebu anzisha thread yako maana inaonekana una mengi zaidi unayofahamu. wanawake wakati mwingine mnakatisha tamaa sana
Well said mkuu,unajua wakati mwingine mpaka unahisi hiki kizazi chetu alietuloga kafa
maana wengine tunajifunza through hizi couple ambazo zimetutangulia,lakini matokeo yake ni
balaa tupu khaaa,binafsi naogopa sana kuoa
Kuna siku nilisema jambo fulani likawa gumu kueleweka kwa akili ya Kitanzania.
Kuna watu wanaamini kuwa kuna shida ya uwiano kati ya wanawake na wanaume kiasi kwamba kuna wasiwasi kwamba baadhi ya wasichana watakosa watu wa kuwaoa. Lakini kwa mimi ninavyoona, ni wanaume ndio wana wakati mgumu wa kupata wenza stahiki wa kuwaoa na sio wanawake.
Kilichopo mtaani ni wingi wa watu wenye 'holes' katikati ya mapaja na si wanawake. Si kila mvaa sjeti anafaa kuolewa. Majority ni viruka njia. Sasa kwa kutokuwa makini na hawa virukanjia, utakuta mtu kajichukulia kimojawapo (mfano wa hivi vinavyojinadi hata hapa kuwa vinatafuta waume) na kukiweka ndani.
Bwana asikwambie mtu, kicheche hakiachi asili. Kuolewa kwao imekuwa ni ada tu, lkn vina dhamira chafu mioyoni mfano wake hakuna. Ukituona na visuti vyao kwenye vituo vya daladala utadhani binadamu, lkn kiukweli ni sperm-bins, kila mwenye shahawa anatupia humo. Na hivi ni vijitabia wanatokanavyo vyuoni zaidi.
Tumgeukie Mungu kama tunataka kunusurika
neggirl thanks for ur wise words,ila tukiangalia the other side of the coin(married men) same sh.it happens pia,yaani balaa balaaNIGGA nimesikia kichekoo lolz.
Usiache kuoa banaaa. Sio kila aliyeolewa anagawa ovyo.
Sishabikii kabisa ukosefu wa uaminifu BUT mshangao wangu ni kuwa wanaume kukigawa huwa wanaona sio dhambi au ni sawa but wakiona wanawake wanagawa wanahisi wanaonewa.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
wewe sasa unalalamika nini? wee nae sii ujikamatie ugegede bwana kwa raha zako.
tatizo ni kwamba most women get married for the wrong reasons....hivyo anataka status katika jamii ila anajua wala isiwe shida nitakuwa nakunwa outside nikitaka. so wewe chakufanya ni kukubaliana kwamba ndio ulimwengu wa sasa. so kama waona wanakunyima hamu ya ndoa well and gud just stay single.
Kama mke wa mtu katoka nje ya ndoa na mme wa mtu, nani alaumiwe kati ya mwanamke na mwanamme????? Hii ndiyo hali halisi ya ndoa, Hakuna mwanaume anayeweza kuapa kuwa mke wake hatoki nje, ila tu uombe usione, ila amini kila mwenye mke, mke wake anatoka nje ya ndoa. kama hili unaona halifai, acha kabisa kuoa, kwani ukioa tu, vidume lazima vionje mpiko. Mbaya zaidi, mwanamke kamwe hawezi kumsahau mwanaume aliyemtoa usichana. Hivyo kila wakikutana, lazima wakumbushie, hata kama ni mke wa mkuu wa kaya.
"BADO UPO UPO KWANZA?????????????"
Kwi kwiiiiiiiiiiii ... Hii imenichekesha sana.. " Kilichopo mtaani ni wingi wa watu wenye 'holes' katikati ya mapaja na si wanawake."
Post yako inalandana sana na jina lako lolz.
Last statement yako ndiyo nimeipenda.. Kila mtu akiwa na hofu ya mungu basi uaminifu ktk ndoa utapatikana.. As huwezi kumlinda mwenzi wako against cheating but akiwa na utu na hofu ya Mungu anaweza hata kushinda majaribu na vishawishi.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Inabidi muende kwa waganga ili wanasiane
Mie ndukiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
we si mke wa mtu??nn hiki