Kwa nini wake za watu (majority) hamuwezi kukituliza

Kwa nini wake za watu (majority) hamuwezi kukituliza

nani amekwambia hatujakaa wewe? kwanza hivi una ndoa maana naona unanipa theories ambazo sio practical.

yani wabongo mnapenda sana kukaa na kuongea eh? mambo ya mapenzi huja automatically bana, hebu acha nifuate moyo unavyonipeleka.
unanichosha kiaina na theories zako

Haitoshi tu kuufuata moyo wako,lazima utumie akili alokujalia Muumba wako...utaufuata huo moyo wako mpaka lini? Tumia akili,acha uvivu wa kufikiria!
 
Back
Top Bottom