Kwa wanaume atleast,i dont kno kama ndo wanaficha makucha who knows ila
kwa wanawake mmwee
Ok so here we have to discuss about bachelors wanavyobeb ma bibi wa watu na married women wanavyobeba chukuliwa j na vijana un married, Maanayake nilipata mshitukomkuwa hawa married women wana mis behave na akina nani?Kumbe kuna vijana wasio na adabu wanawafanyizia waume wenzao .lol!I was talking abt married men NATA,mabachelors ndio wanashambulia za bure bure za hawa they so called mrs fulani
nduki wakimbilia wapi sasa, mtu mzima katoki nduki. mambo madogo haya.
Kwako kuingiziwa kila aina ya male organs ndio good time. Eeh Mungu utunusuru. Yaani na mwanamke mwenye akili za namna hii naye umeruhusu awe mke wa mtu? Mtu huyo alikukosea nini ee Maulana?
Eti we mama, kuvuliwa nguo na wanaume mara huyu mara huyu ni taratibu za dini yako au kabila lako? Samahani, maswali ni mengi: yaani, huoni vibaya wewe kuangaliwa na kila mwanaume?
Laiti mngejua ni nini wanaume huongea juu ya wake za watu waliowafanya naamini msingejidhalilisha na kuwadhalilisha waume zenu.
Sasa mnatuambia nini tusiooa,? Mbona mnatuogopesha namna hii jamani? Yani tunadiriki kuhalalisha hali hii na wqla hatuikemei? Kwa kifupi, tunaipigia makofi? Oh, God!
Tatizo, single guys wanaogopa majukumu, kwa hiyo njia rahisi ni kutembea na wake za watu... yaani hamna matumizi kwao.
Wake za watu hawahitaji usumbufu, wanatafuta kijana wa kuwatuliza kimapenzi kwa vile mara nyingi ndani ya nyumba hakujatulia, matatizo ya fedha, mahitaji ya familia yanawalemea waume zao kwa hiyo attention kwao inapungua, so wanatafuta vijana wasiokuwa na majukumu.
Lakini pia hulka ya mtu inachangia.
thread kama hizi zinakatisha tamaa saaanaa.. dada zetu ni lini mtasikia kilio chetu. inauma jamani...
Habari wakuu!
Hii ishu inakatisha tamaa sana especially kwa sisi ambao bado hatujaoa,kwa style hii kuoa ni ngumu sana,maofisini tunashuhudia mambo mengi sana ya kijinga,kina dada mtulie kwenye ndoa zenu yaani mtu kaolewa ndio kwanza ana 2yrs,lakini anavyokigawa utasema hajazaliwa na binadamu...hata bure unapiga mzigo...
Ndugu zangu mliooa hawa workin class gaals yaani i feel sorry for you guys,this is bullshit....
Dont tell me they r looking for dirty n rough sexy? KakaJambaziTatizo akiwa nyumbani, anafanyiwa mapenzi kistarabu sana, staili na tundu ni moja tu kifo cha mende.
Hapati varieties alizozoea.
hivi naomba kuuliza,sio kwamba natetea wanawake wanaotoka nje ya ndoa,la hasha! ila kwann wanaume kutoka nje ya ndoa inachukuliwa poa lkn wanawake wanaonekana ni wa ajabu na ni malaya? mimi nachofahamu wanawake wengi hata kama alikuwa kicheche kabla ya ndoa,akishaolewa wengi wao wanatulia. shida inakuja pale waume zao wanaposhindwa kuwa committed kwenye ndoa.....kumbuka wanawake nao ni wanadamu wanatofautiana jinsi ya ku-handle matatizo ya ndoa,ndo hapo wengine huamua kuondoa stress kwa kutoka nje!! kikubwa wanandoa wawe karibu na wawe wawazi tatizo linapotokea,in short mawasiliano ni muhimu sana kwny nyumba
thread kama hizi zinakatisha tamaa saaanaa.. dada zetu ni lini mtasikia kilio chetu. inauma jamani...
Well said,ila there is a big different between a man and a woman whether you like or not