Kwa nini wake za watu (majority) hamuwezi kukituliza

Kama mke wa mtu katoka nje ya ndoa na mme wa mtu, nani alaumiwe kati ya mwanamke na mwanamme????? Hii ndiyo hali halisi ya ndoa, Hakuna mwanaume anayeweza kuapa kuwa mke wake hatoki nje, ila tu uombe usione, ila amini kila mwenye mke, mke wake anatoka nje ya ndoa. kama hili unaona halifai, acha kabisa kuoa, kwani ukioa tu, vidume lazima vionje mpiko. Mbaya zaidi, mwanamke kamwe hawezi kumsahau mwanaume aliyemtoa usichana. Hivyo kila wakikutana, lazima wakumbushie, hata kama ni mke wa mkuu wa kaya.
"BADO UPO UPO KWANZA?????????????"
 
Haya wenye tabia muache jamani mnawakwaza mwenzenu. haya wadada tubadilike sie ndio mabingwa wa kulalamika kuwa waoaji hakuna kumbe wapo. Ila wanakatishwa tamaa na mijitabia yetu mibaya.
Ni kweli kabisa yaani personally im very much dissapointed,i dont even think abt getting married
ntatafuta mtoto tu
 
Kama mke wa mtu katoka nje ya ndoa na mme wa mtu, nani alaumiwe kati ya mwanamke na mwanamme????? Hii ndiyo hali halisi ya ndoa, Hakuna mwanaume anayeweza kuapa kuwa mke wake hatoki nje, ila tu uombe usione, ila amini kila mwenye mke, mke wake anatoka nje ya ndoa. kama hili unaona halifai, acha kabisa kuoa, kwani ukioa tu, vidume lazima vionje mpiko. Mbaya zaidi, mwanamke kamwe hawezi kumsahau mwanaume aliyemtoa usichana. Hivyo kila wakikutana, lazima wakumbushie, hata kama ni mke wa mkuu wa kaya.
"BADO UPO UPO KWANZA?????????????"

duh unazidi kupigilia msumari mkuu
 
should we say wrong marriages or wrong reasons for marriage
 
hahahaha cant be serious

y not? single ladies got needs too...so see urself as a man rendering service to ladies that need kugegedwa

trust me wasingukupa kama wangekuwa hawataki kugegedana
 
Habari wakuu!
Hii ishu inakatisha tamaa sana especially kwa sisi ambao bado hatujaoa,kwa style hii kuoa ni ngumu sana,maofisini tunashuhudia mambo mengi sana ya kijinga,kina dada mtulie kwenye ndoa zenu yaani mtu kaolewa ndio kwanza ana 2yrs,lakini anavyokigawa utasema hajazaliwa na binadamu...hata bure unapiga mzigo...
Ndugu zangu mliooa hawa workin class gaals yaani i feel sorry for you guys,this is bullshit....

Sasa unawashaurije? Wewe unafikiri wao hawalijui tatizo? Halafu hao wake za watu wanawagaia nani, sio waume za watu au ni nyie single? Sasa na nyie single kwanini mnakula hao wake za watu au kwa kuwa wanawapa bure?
 
Kama mke wa mtu katoka nje ya ndoa na mme wa mtu, nani alaumiwe kati ya mwanamke na mwanamme????? Hii ndiyo hali halisi ya ndoa, Hakuna mwanaume anayeweza kuapa kuwa mke wake hatoki nje, ila tu uombe usione, ila amini kila mwenye mke, mke wake anatoka nje ya ndoa. kama hili unaona halifai, acha kabisa kuoa, kwani ukioa tu, vidume lazima vionje mpiko. Mbaya zaidi, mwanamke kamwe hawezi kumsahau mwanaume aliyemtoa usichana. Hivyo kila wakikutana, lazima wakumbushie, hata kama ni mke wa mkuu wa kaya.
"BADO UPO UPO KWANZA?????????????"

Mkuu nadhani siyo sahihi kusema hivyo, ni kweli wanawake wengi wadhaifu katika suala la uaminifu ili la kusema kila mwanamke yuko hivyo siyo kweli. Kuna wanawake ambao wametulia na ndoa zao na wanaziheshimu.
 
Sasa unawashaurije? Wewe unafikiri wao hawalijui tatizo? Halafu hao wake za watu wanawagaia nani, sio waume za watu au ni nyie single? Sasa na nyie single kwanini mnakula hao wake za watu au kwa kuwa wanawapa bure?

Vijana wanaamini kua mke wa mtu haitaji kumlipia nyumba, bili ya umeme, maji, nk. tofauti na hawa walio single ambao wanahitaji kufanyiwa hayo yote.
 
Mkuu nadhani siyo sahihi kusema hivyo, ni kweli wanawake wengi wadhaifu katika suala la uaminifu ili la kusema kila mwanamke yuko hivyo siyo kweli. Kuna wanawake ambao wametulia na ndoa zao na wanaziheshimu.
Nakubaliana na wewe kabisa, ila kutokana na dunia kuoza, na jinsi pepo la ngono lilivyo tawala dunia, nani atakayesalimika????? Ingawa kweli wapo wateule wachache. Big up mkuu, nashukuru kwa comment hiyo, na nakubali si haki ku-generalise.
 
Habari wakuu!
Hii ishu inakatisha tamaa sana especially kwa sisi ambao bado hatujaoa,kwa style hii kuoa ni ngumu sana,maofisini tunashuhudia mambo mengi sana ya kijinga,kina dada mtulie kwenye ndoa zenu yaani mtu kaolewa ndio kwanza ana 2yrs,lakini anavyokigawa utasema hajazaliwa na binadamu...hata bure unapiga mzigo...
Ndugu zangu mliooa hawa workin class gaals yaani i feel sorry for you guys,this is bullshit....

Kwani si wanagawa kwa waume za wtu jamani? i dont see a problem kabisa. kama mume yupo ofisini anapewa k na mke wa mtu basi na mie nitagawa kwa mume wa mtu. tunabadilishana tu. tatizo lako nini kwani wake hao ni wako?
acha umbea
 
sasa Mkuu unaanza kuleta ligi ya kizombie, kama hujafanya utafiti kaa kimya endelea kutoa taarifa za ofisini kwako.
Unaelewa maana ya statistics,unahisi kila kitu kinafanyiwa data analysis mkuu
 
Kwani si wanagawa kwa waume za wtu jamani? i dont see a problem kabisa. kama mume yupo ofisini anapewa k na mke wa mtu basi na mie nitagawa kwa mume wa mtu. tunabadilishana tu. tatizo lako nini kwani wake hao ni wako?
acha umbea
we una matatizo ya akili,unashabikia ujinga ndio walewale
 
Kwani si wanagawa kwa waume za wtu jamani? i dont see a problem kabisa. kama mume yupo ofisini anapewa k na mke wa mtu basi na mie nitagawa kwa mume wa mtu. tunabadilishana tu. tatizo lako nini kwani wake hao ni wako?
acha umbea
wewe ayanda, utakuwa mliwaji wewe, acha hizo tabia za kishenzi, hata hufananii bana. Muone kwanza unatetea upuuzi, shenzy type
 
sasa Mkuu unaanza kuleta ligi ya kizombie, kama hujafanya utafiti kaa kimya endelea kutoa taarifa za ofisini kwako.

Dont strive to make ur presence noticed mkuu,aya tumeshatambua uwepo wako
 
Back
Top Bottom