Mkuu wakati mwingine unaongea point, sina jealous, nimekutwanga likewe una matatizo ya akili,unashabikia ujinga ndio walewale
ila wakati mwingine una kichefuchefu jombaaDont strive to make ur presence noticed mkuu,aya tumeshatambua uwepo wako
Mkuu wakati mwingine unaongea point, sina jealous, nimekutwanga like
ila wakati mwingine una kichefuchefu jombaa
we una matatizo ya akili,unashabikia ujinga ndio walewale
Dont strive to make ur presence noticed mkuu,aya tumeshatambua uwepo wako
Nimekuelwa vizuri kabisa :tea:,likewise sometimes unatoa good advice but punguza critics kidogo
otherwise tuko pamoja,back to the topic,hawa mashemeji waache haka katabia hahahaha
wewe ayanda, utakuwa mliwaji wewe, acha hizo tabia za kishenzi, hata hufananii bana. Muone kwanza unatetea upuuzi, shenzy type
Habari wakuu!
Hii ishu inakatisha tamaa sana especially kwa sisi ambao bado hatujaoa,kwa style hii kuoa ni ngumu sana,maofisini tunashuhudia mambo mengi sana ya kijinga,kina dada mtulie kwenye ndoa zenu yaani mtu kaolewa ndio kwanza ana 2yrs,lakini anavyokigawa utasema hajazaliwa na binadamu...hata bure unapiga mzigo...
Ndugu zangu mliooa hawa workin class gaals yaani i feel sorry for you guys,this is bullshit....
Mkuu NIGGA nisaidie kumjibu huyu dada ayanda, maana leo nimefungahata nisipotetea hata nikikemea, ndo ukweli. tunamegwa na waume za watu na waume zetu wanamega wake za watu. tunasaidiana jamani, ah ukiwa unakula cha mtu ujue na chako kipo somewhere chaliwa kaka
we una matatizo ya akili,unashabikia ujinga ndio walewale
Kuna siku nilisema jambo fulani likawa gumu kueleweka kwa akili ya Kitanzania.
Kuna watu wanaamini kuwa kuna shida ya uwiano kati ya wanawake na wanaume kiasi kwamba kuna wasiwasi kwamba baadhi ya wasichana watakosa watu wa kuwaoa. Lakini kwa mimi ninavyoona, ni wanaume ndio wana wakati mgumu wa kupata wenza stahiki wa kuwaoa na sio wanawake.
Kilichopo mtaani ni wingi wa watu wenye 'holes' katikati ya mapaja na si wanawake. Si kila mvaa sjeti anafaa kuolewa. Majority ni viruka njia. Sasa kwa kutokuwa makini na hawa virukanjia, utakuta mtu kajichukulia kimojawapo (mfano wa hivi vinavyojinadi hata hapa kuwa vinatafuta waume) na kukiweka ndani.
Bwana asikwambie mtu, kicheche hakiachi asili. Kuolewa kwao imekuwa ni ada tu, lkn vina dhamira chafu mioyoni mfano wake hakuna. Ukituona na visuti vyao kwenye vituo vya daladala utadhani binadamu, lkn kiukweli ni sperm-bins, kila mwenye shahawa anatupia humo. Na hivi ni vijitabia wanatokanavyo vyuoni zaidi.
Tumgeukie Mungu kama tunataka kunusurika
Mkuu NIGGA nisaidie kumjibu huyu dada ayanda, maana leo nimefunga
by the way
nahisi mume wako ayanda amekuathiri kisaikolojia sana maana naona uko serious na unayosema, ila ushauri wangu ni huu hata kama mumeo anafanya upuuzi, wacha kulipiza, kuna siku utakuja kujuta sana, am telling you na utarudi hapa JF kuomba ushauri, keep my words,
ayanda, ebu anzisha thread yako maana inaonekana una mengi zaidi unayofahamu. wanawake wakati mwingine mnakatisha tamaa sanaah wapi wanaume mnanichekesha sana. kwani nyie nyie sio mnawala hao wake za watu sasa mnachokemea nini? kuanzia leo kila mtu atulie na mkewe na gal friend wake then tutaona kama hili tatizo litakuepo. tatizo kila mmoja anaona wa mwenzie ndo mtamu. sasa mtatjibeba, wake zenu watagawa kama pipi maofisini na mitaani
Teh teh teh mkuu naona umetoa conclusion kabisaaa,good wife comes from Godah wapi wanaume mnanichekesha sana. kwani nyie nyie sio mnawala hao wake za watu sasa mnachokemea nini? kuanzia leo kila mtu atulie na mkewe na gal friend wake then tutaona kama hili tatizo litakuepo. tatizo kila mmoja anaona wa mwenzie ndo mtamu. sasa mtatjibeba, wake zenu watagawa kama pipi maofisini na mitaani
nitajutaje na nani kakwambia nina lipiza, aka babu mie nakula gud time kwa raha zangu nae ala gud time na wake za wenzie kwa raha zake. Mbona mnajifanya hamgegedi wake za wenzenu bana. nyie wanaume mlioao ndo kabisaaaaaaaaa
ukiwa ofisini unacheka vizuri na wake za wenzio, ukirudi kwa mkeo full gubu
ah tupa kule
Wewe unayepiga bure mke wa mtu, huna committed relationship? kwenda zako na umbeya.
Teh teh teh mkuu naona umetoa conclusion kabisaaa,good wife comes from God
Hakika tupige magoti tusali