matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,519
Ibaada sio birudani mkuu, ni wapuuzi tu wanao fanya burudani wakiwa ibaadani.MwenyeziMungu NDIYE aliyeanzisha KWAYA KWA mara ya kwanza wakati wa Mfalme na Nabii Dawood.
Mwenyezi Mungu mwenyewe anapenda sana kuimba na muimbaji...
Sefania 3:17
BWANA, Mungu wako, yuko katikati yako shujaa awezaye kuokoa; Atakushangilia... Atakufurahia kwa kuimba.
KWa nini NDUGU zetu hawana KWAYA Misikitini?
Huyo Mungu aliwafundisha ili afurahia inatakiwa uimbe kwaya au uimbaje?MwenyeziMungu NDIYE aliyeanzisha KWAYA KWA mara ya kwanza wakati wa Mfalme na Nabii Dawood.
Mwenyezi Mungu mwenyewe anapenda sana kuimba na muimbaji...
Sefania 3:17
BWANA, Mungu wako, yuko katikati yako shujaa awezaye kuokoa; Atakushangilia... Atakufurahia kwa kuimba.
KWa nini NDUGU zetu hawana KWAYA Misikitini?
kwanza sijapenda ulivyoandika Dawood badala ya Daudi. kwani kaswida siyo kwaya kwa waislam?MwenyeziMungu NDIYE aliyeanzisha KWAYA KWA mara ya kwanza wakati wa Mfalme na Nabii Dawood.
Mwenyezi Mungu mwenyewe anapenda sana kuimba na muimbaji...
Sefania 3:17
BWANA, Mungu wako, yuko katikati yako shujaa awezaye kuokoa; Atakushangilia... Atakufurahia kwa kuimba.
KWa nini NDUGU zetu hawana KWAYA Misikitini?
Kanisani kuwa na kwaya nao ni ubatilifuMwenyeziMungu NDIYE aliyeanzisha KWAYA KWA mara ya kwanza wakati wa Mfalme na Nabii Dawood.
Mwenyezi Mungu mwenyewe anapenda sana kuimba na muimbaji...
Sefania 3:17
BWANA, Mungu wako, yuko katikati yako shujaa awezaye kuokoa; Atakushangilia... Atakufurahia kwa kuimba.
KWa nini NDUGU zetu hawana KWAYA Misikitini?
Katika ibaada ya waislamu hamna kaswida au taharabu, jiyahidi kua na maalifa ya dini kwanza, kwanz hata nje ya ibaada waislamu wengi wamaopinga kama haram au bidia haifai.Kwa waislamu kuna qaswida na taarabu
Ongeza na hili kwa lugha gani?Mungu alianzisha kwaya kanisani waliimba wimbo gani?
Nipo hapa nasubiri jibu mkuuOngeza na hili kwa lugha gani?
Huo ni utamaduni wa waarabu sio sehemu ya ibaada mkuu, uislamu na uarabu ni vitu viwili tofasuti.Zipo kaswida. Zile shingo zinavyozungushwa daah
ibada kwa dini ya kiislamu imefafanuliwa kwenye kuruani,haitoki kichwani kwa mtuMwenyeziMungu NDIYE aliyeanzisha KWAYA KWA mara ya kwanza wakati wa Mfalme na Nabii Dawood.
Mwenyezi Mungu mwenyewe anapenda sana kuimba na muimbaji...
Sefania 3:17
BWANA, Mungu wako, yuko katikati yako shujaa awezaye kuokoa; Atakushangilia... Atakufurahia kwa kuimba.
KWa nini NDUGU zetu hawana KWAYA Misikitini?
Kwa hiyo wamekutoboa?Pole sanaMaostaz siku hizi wameyageuza madrassa kuwa gesti mazee dah.. Wanakesha mle wakitoboana spikaa hataree.
Vitabu vinatambua hicho kitu? Waislam wanafuata vitabu vyao vinasema nini.MwenyeziMungu NDIYE aliyeanzisha KWAYA KWA mara ya kwanza wakati wa Mfalme na Nabii Dawood.