amakyasya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 3,480
- 907
Asilimia kubwa ya wabunge wa CCM wanaongoza kwa kusinzia bungeni. Nitatoa ushahidi wa picha. Swali ni kwa nini? Je, ni kwa sababu wamebweteka na wingi wao bungeni? Je, wamesahau kuwa wametumwa kuwakilisha wananchi wao kuwasemea mambo yanayowasibu ili kuwaletea maendeleo? Au wamechoka na wamelewa madaraka? Ni kwa nini hasa?
Ushahidi wa picha mojawapo, ntaleta zingine kama mtahitaji zaidi
View attachment 125085View attachment 125244
Ushahidi wa picha mojawapo, ntaleta zingine kama mtahitaji zaidi
View attachment 125085View attachment 125244