Kwa nini WABUNGE wa CCM wanaongoza kwa KUSINZIA BUNGENI?

Wanachoka sana fikiria shida wanayopata kuwakilisha wananchi, huku mke anakungoja, huku nyumba ndogo halafu bado ka haki elimu kanangoja hotel!
Pumzi ndogo route ndefuuu lazima walale. Case study Komba na Kapuya! Ongezeeni na nyie

komba kwa under eighteen?!!! aogopewe kuliko ukoma
 
Kuna umuhimu wa kupewa elimu
pia kumshirikisha mtu wako wa karibu bila ya kumpa password. Kwenye form hua unajaza namba za mtu wako wa karibu so inapaswa kimjuulisha kua una account kwenye cm yko. Nahisi itasaidi ila sina uhakika ukifiKa huko utaambiwa nini:confused:
 
Usituchonganishe nao mzee, si wengine ni mashemeji zetu huwa tunawategemea sana wakijaga hapa Dodoma,
Dada zetu wakihongwa na sisi huwa tunaambulia humohumo, sasa asubuhi huamka hoi mpaka muda wa vikao huwa hang'over haijawaisha!!
 
Asilimia kubwa ya wabunge wa CCM wanaongoza kwa kusinzia bungeni. Nitatoa ushahidi wa picha. Swali ni kwa nini? Je, ni kwa sababu wamebweteka na wingi wao bungeni? Je, wamesahau kuwa wametumwa kuwakilisha wananchi wao kuwasemea mambo yanayowasibu ili kuwaletea maendeleo? Au wamechoka na wamelewa madaraka? Ni kwa nini hasa?

Ushahidi wa picha mojawapo, ntaleta zingine kama mtahitaji zaidi
View attachment 125085View attachment 125244
Komba kila siku wimbo wa maombolezo sauti hiyohiyo ya kingoni kazi kusinzia tu bungeni... Wimbo wake kuomboleza mandela unaboa kweli kweli. Sijui ni uvivu au amechoka?
 
Kwasababu hawapo kwa ajili ya wananchi wapo kwa maslahi yao wenyewe unapewa mkate au kagha ya bure uanteseka miaka 5 au 10 wachagueni tena
 
Back
Top Bottom