Kwa nini WABUNGE wa CCM wanaongoza kwa KUSINZIA BUNGENI?

amakyasya

JF-Expert Member
Jun 26, 2013
3,480
907
Asilimia kubwa ya wabunge wa CCM wanaongoza kwa kusinzia bungeni. Nitatoa ushahidi wa picha. Swali ni kwa nini? Je, ni kwa sababu wamebweteka na wingi wao bungeni? Je, wamesahau kuwa wametumwa kuwakilisha wananchi wao kuwasemea mambo yanayowasibu ili kuwaletea maendeleo? Au wamechoka na wamelewa madaraka? Ni kwa nini hasa?

Ushahidi wa picha mojawapo, ntaleta zingine kama mtahitaji zaidi
View attachment 125085View attachment 125244
 
...Simply because they don't give a damn
 
Hiyo ndiyo hulka ya majizi. Usiku yanahangaika kuvamia na kupora mali za watu; mchana yanasinzia!
 
Kama linaloongelewa tayari limeshaamuliwa na kumbe limeletwa kuwavugha wadanganyika; nasikiliza nini? Alowance si tayari ipo mfukoni?
2015 tutawang'oa hata kwa ndumba
 
Unamaanisha wanaosinzia bungeni watang'olewa 2015?
 
Hii picha ya zilipendwa wala haina Mashiko, usidhani tutadanganyika kumchukia Wassira kwa kipicha cha zamani.

Lazima mtafanya hivyo tu kwakuwa Tyson alibashiri na kutahadharisha kuwa chama chenu kitakufa kama ilivyo sasa.

Wassira ataendelea kuwanyima usingizi mpaka 2015.
 
Asilimia kubwa ya wabunge wa CCM wanaongoza kwa kusinzia bungeni. Nitatoa ushahidi wa picha. Swali ni kwa nini? Je, ni kwa sababu wamebweteka na wingi wao bungeni? Je, wamesahau kuwa wametumwa kuwakilisha wananchi wao kuwasemea mambo yanayowasibu ili kuwaletea maendeleo? Au wamechoka na wamelewa madaraka? Ni kwa nini hasa?

Ushahidi wa picha mojawapo, ntaleta zingine kama mtahitaji zaidi
View attachment 125085

Duh! Uzi mwembamba umelifunga na kulining'iza bonge la zeee....!! Kudadadeki zake!!!
 
Asilimia kubwa ya wabunge wa CCM wanaongoza kwa kusinzia bungeni. Nitatoa ushahidi wa picha. Swali ni kwa nini? Je, ni kwa sababu wamebweteka na wingi wao bungeni? Je, wamesahau kuwa wametumwa kuwakilisha wananchi wao kuwasemea mambo yanayowasibu ili kuwaletea maendeleo? Au wamechoka na wamelewa madaraka? Ni kwa nini hasa?

Ushahidi wa picha mojawapo, ntaleta zingine kama mtahitaji zaidi
View attachment 125085

Kipindi BUnge lilivyokuwa kama kilabu ya chang`aa,wabunga wa CCM wakinunua malaya kila mahali...Kipindi Chadema walipokuwa hawapo bungeni CCM walikuwa hawana kazi
 
Hahaha Hahaha hahaha hahaha tupieni ile picha ya komba akisinzia
 
Asilimia kubwa ya wabunge wa CCM wanaongoza kwa kusinzia bungeni. Nitatoa ushahidi wa picha. Swali ni kwa nini? Je, ni kwa sababu wamebweteka na wingi wao bungeni? Je, wamesahau kuwa wametumwa kuwakilisha wananchi wao kuwasemea mambo yanayowasibu ili kuwaletea maendeleo? Au wamechoka na wamelewa madaraka? Ni kwa nini hasa?

Ushahidi wa picha mojawapo, ntaleta zingine kama mtahitaji zaidi
View attachment 125085

Watu kama wewe tunawaita great thinker!
 
Watu kama wewe tunawaita great thinker! Una akili sana kamanda.
 
imekuzwa mno hii habari, ama badu tujadili ya Mandela (OOPS AMESHAKUFA) Katiba etc
 
Ni kwa sababu wengi wao hukesha wakifanya Ngono Zembe. Kumbuka ya Kapuya. Kumbuka ya Malima na Changudoa Morogoro hotelini.

Hii ndio sifa kuu ya kwanza kuwa mwana Ccm.lazima uwe mtaalamu wa Ngono.km inayofanyika kwenye mikesha ya Mwenge.
 
Wananchi waliwapa KULA na sasa wamekula hadi wamenona na wamelemewa na mafuta miilini mwao na wanasinziasinzia. Wakati mwingine wakishtuka kutoka katika usingizi wanasema tu NDIYOOOOO! hata kwa hoja iliyokuwa inahitaji mjadala wa kina. Wapinzani waliwapa wabunge wao KURA ili wakawakilishe hoja zenye maslahi na taifa lao na wapo makini sana. Hawana muda wa kusinzia labda tu Mzee Lyatonga!
 
Hahaha Hahaha hahaha hahaha tupieni ile picha ya komba akisinzia
komba-auchapa-3.jpg
 
Back
Top Bottom