Kwa nini tukinunua betri jipya mafundi huunganisha kwanza betri la zamani au used kuwasha gari halafu ndio wanaweka jipya ?

watu kibao

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
466
Reaction score
1,645
1749833396258.png

Mara kadhaa nimeona hili, mtu akinunua battery, fundi anaenda kutafuta battery lingine aje kuwashia gari,

gari likiwaka anachomoa battery, akichomoa battery bado gari linaendelea kufanya kazi ndipo anaweka battery jipya.

kwanini huwa hawaweki moja kwa moja battery jipya ?
 
alternator ndio unafanya kazi ya kucharge battery gari ikiwa umewaka, labda battery jipya linakua hakuna umeme wa kutosha kwa ajili ya kuwasha gari.
Nimejibu kwa uelewa wangu ngoja wataalamu wake maana Kuna aina nyingi za battery
 
Ni nadharia iliyopo kwa watu wengi... Kwamba ukiwashia betri mpya.. Haitodumu itawahi kufa..
 
Aisee. Nimezoea kubadili betri mwenyewe. Nachukua kuukuu naenda nayo nabadilisha nakuja na mpya naweka ngoma inawaka miaka mitatu - mitano mbele huko ngoma bado inapiga kazi. Hii ya kubadilisha betri gari ikiwa inaunguruma ndiyo naisikia leo 😳
 
View attachment 3367155

Mara kadhaa nimeona hili, mtu akinunua battery, fundi anaenda kutafuta battery lingine aje kuwashia gari,

gari likiwaka anachomoa battery, akichomo battery bado gari linaendelea kufanya kazi ndipo anaweka battery jipya.

kwanini huwa hawaweki moja kwa moja battery jipya ?
Sio lazima na wala sio professional
 
Battery za maji mara nyingi ndo hufanywa hivyo, na sababu ni kuwa inakuwa inajichaji pale, ukinunua battery ya maji unatakiwa uipeleke kwanza kwenye chaji ndo uitumie au uwashe gari likae silence ndo uliweke lakini kwa battery za dry ni jino moja tu
 
Aisee. Nimezoea kubadili betri mwenyewe. Nachukua kuukuu naenda nayo nabadilisha nakuja na mpya naweka ngoma inawaka miaka mitatu - mitano mbele huko ngoma bado inapiga kazi. Hii ya kubadilisha betri gari ikiwa inaunguruma ndiyo naisikia leo 😳
betri gani hiyo inadumu miaka mitano mimi hazivuki miwili
 
View attachment 3367155

Mara kadhaa nimeona hili, mtu akinunua battery, fundi anaenda kutafuta battery lingine aje kuwashia gari,

gari likiwaka anachomoa battery, akichomoa battery bado gari linaendelea kufanya kazi ndipo anaweka battery jipya.

kwanini huwa hawaweki moja kwa moja battery jipya ?
Jibu huwa halina charge ya kutosha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom