Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,261
Mwacheni aendelee 'kujigamba' hukohuko maana ana nyodo sana. Labda arudi ccjee
sasa mbona haishi kuwawakia wenzie?
Bado kidogo, kina mambo anayaweka sawa.:becky:
Mlimdanganya Mpendazoe hivyo hivyo akajimaliza mwenyewe !
Kwangu mie RACHEL ni mapacha Watatu "A" na Mapacha Watatu "B" means: Sitta, Mwakyembe na Nape (Waanzilishi wa Wapinga Mafisadi na Founder members wa CCJ). hahahaaa......!
hivi huyu hana tuhuma zozote zile za ufisadi?
Is he as clean as he's portraying himself au bas tuu?
Je akihamia chadema watampokea (assuming kama atakuwa na track record ya ufisadi)?
Ilikuwaje Ofisi ya spiker isijengwe Dodoma ambapo bunge lipo,ikajengwe Urambo, huo ndio tunaita ubinafsi,na kukosa vision(maono).
Sasa leo hii hiyo ofisi nani yupo huko? Huyu jamaa hafai kuaminiwa kabisa. Tujikumbushe jinsi alivyozima hoja za kamati ya bunge kuibana serikali itekeleze maamuzi ya kuwawajibisha waliohusika na mkataba wa richmond. Yeye kama mwanaccm wa siku nyingi anajua ccm haiwezi safishika.