Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Obviously hakubaliani na mengi yanayoendelea ndani ya chama tawala na kutokana na kauli zake za public na private inaonekana hana interest na CCM na ni wazi anatekeleza ilani ya CHADEMA.
Sasa kama kweli anapiga sana vita ufisadi (assuming naye si fisadi), kwa nini asihamie CHADEMA once and for all kama wenzie ili kujua moja?
Maana huwezi kusema CCM chama cha mafisadi halafu ukawa bado unaishi kwa pesa za hao hao mafisadi unless Sitta anatufanya sisi wajinga.
au wenzangu mna maoni gani?