Mwanamayu JF-Expert Member May 7, 2010 11,349 6,476 May 2, 2022 #1 Sinema ya Taifa inaitwa 'Royal Tour'. Kwa nini sinema hii imepewa jina hilo? Maana ya 'royal' hapa ni ipi?
Sinema ya Taifa inaitwa 'Royal Tour'. Kwa nini sinema hii imepewa jina hilo? Maana ya 'royal' hapa ni ipi?
Simchezo JF-Expert Member Apr 10, 2012 445 345 May 2, 2022 #2 Nimegundua uelewa wa Watz wengi ni mdogo sana...
Mamndenyi JF-Expert Member Apr 11, 2011 40,602 52,305 May 2, 2022 #4 Inategemea mwandaaji, Pia wasimamizi hawakuwa na muda wa kuwaza kukitangaza kiswahili chetu. Hata ingeitwa TANZANIA YETU lingekuwa jina bora zaidi.
Inategemea mwandaaji, Pia wasimamizi hawakuwa na muda wa kuwaza kukitangaza kiswahili chetu. Hata ingeitwa TANZANIA YETU lingekuwa jina bora zaidi.
Lord denning JF-Expert Member Jun 3, 2015 13,226 26,048 May 2, 2022 #5 Simchezo said: Nimegundua uelewa wa Watz wengi ni mdogo sana... Click to expand... Ni tatizo kubwa zaidi ya tunavyodhani! Uelewa na ufahamu wa mambo ya dunia huko kwa Watanzania wengi ni mdogo kiasi hadi linakuwa janga! Huwezi kudhani mtu wa siku nyingi humu kama Mamndenyi atakoment utopolo wa kiwango hicho 👆
Simchezo said: Nimegundua uelewa wa Watz wengi ni mdogo sana... Click to expand... Ni tatizo kubwa zaidi ya tunavyodhani! Uelewa na ufahamu wa mambo ya dunia huko kwa Watanzania wengi ni mdogo kiasi hadi linakuwa janga! Huwezi kudhani mtu wa siku nyingi humu kama Mamndenyi atakoment utopolo wa kiwango hicho 👆