Kwa nini sikukutana na wewe mwanzo?

We acha huyu mtoto mpaka kesho naumia roho ananiumiza dah mawasiliano ndo hivyo sijui nae alisha kufa namkumbuka vizuri alikuwa na asili ya Kinyarwanda mtoto pua imechongoka umbo namba 8 dah we acha nilivyo kuwa nakatisha nae maeneo ya Saba saba kule kusagula watu shingo feni tu nilikuwa naenda nae maeneo ya Mazimbu kula mdudu wadau mate yanawatoka tu.
Kakaaaa! Ulikuwa una-enjoy show time sio? Ulikuwa ushamjua kivilee! Utamu Wa. Mbunye usoijua+mitabia usoyajua na makiburi ya shangazi ale kingunge! Tehe tehe!
 
Je, imeshawahi kukutokea ukakutana na mtu (wa jinsia tofauti) mka click sana kiasi cha kuanza kujiuliza kwa nini hukukutana naye mwanzo kabla ya kuwa/ kukutana na mtu uliye naye sasa? Kama imewahi kukutokea hivyo, ulikabiliana vipi na hali hiyo?

Ushauri wangu ni kwamba; jifunze concept inaitwa; "Loving from the head, and not from the heart"
Maana yangu ni kwamba, Unapokutana na mtu mwingine, na ukajihisi kumpenda kuliko yule wa kwanza, Jikumbushe kuwa; ni kwanini ulimpenda huyo mpenzi wako wa kwanza... Fikiria mambo yake mazuri yanayokufanya umzimie, kisha "ji-convince" kuwa unampenda, na hauwezi kuishi bila yeye... Nakwambia, hata kama ana madhaifu, hutajutia kuwa naye!!!
 
nilivyo kuwa nakatisha nae maeneo ya Saba saba kule kusagula watu shingo feni tu nilikuwa naenda nae maeneo ya Mazimbu kula mdudu wadau mate yanawatoka tu.

Hahahaha..
Ndio yule niliyekuona nae gaza wakati wa kunji la nyakati zileeee.
Na enzi zenu za unjiwa 'love birds' mitaa ya unit 3.
Pole sana mdogo wangu,ndio maisha.
 
Kuna rafiki yangu pia hali hiyo imemtokea,ni kwamba alikutana zamani lakini hakumwambia kama anampenda na alipofunga ndoa ndio akamwambia na waka-click sasa anashindwa kuachia na ndoa yake iko mashakani.
 
Habari wanazuoni wa habari na mambo mbali mbali.Niko ndani ya jumba zuri sana,lenye mambo mengi mazuri ya kufundisha na kukuweka sawa katika nyanja nyingi za kimaisha kila kukicha.Jumba hilo ni makala ya jamii.
 

Attachments

  • PICT0001.JPG
    PICT0001.JPG
    235.6 KB · Views: 43
  • godlisten.jpg
    godlisten.jpg
    17.8 KB · Views: 48
Back
Top Bottom