Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,216
- 113,519
- Thread starter
- #21
Pole NN Inatokea sana ila unatakiwa haraka sana ujirudi na kujitahidi kumsahau huyu mpya kabla hujaingia MAJARIBUNI.
Jamani kwa nini mnadhania ni mimi? Hii hali inaweza kumkuta yeyote yule.