Malafyale
JF-Expert Member
- Aug 11, 2008
- 13,813
- 11,126
Me simsikilizi katibu wa chama bwa mdogo, nakupa data za muhusika mwenyewe...navyojua huyo katibu wenu wa CHADEMA hamshikilii maisha baregu na si msemaji wa baregu.
Take it from me na sijaamua kutunga, jamaa kaamua kuwa likizo mwaka mmoja...CHADEMA ni nani mpaka waongelee ajira ya BAREGU?
Its BAREGU mwenyewe ambae anaeweza kuongelea swala lake.
kama hujui kama CHADEMA ni nani hadi waongelee suala la Baregu basi naanza kuwaamini wana JF wanaodai kweli wewe ni "Semenya ambaye hueleweki-heleweki"
Sina uhakika kama Baregu akuambie wewe Semenya kama yupo kwenye likizo ya mwaka mzima bila malipo then awaambie CHADEMA vingine,na sina uhakika na sitamuelewa milele Slaa kama atajitungia tu kuwa Baregu kanyimwa mkataba mpya ili hali kumbe kamuambia Semenya kuwa yupo likizo!
Kama ni hivyo basi Slaa na CHADEMA yote ni wendawazimu hasa kwa kujitungia tu mambo yanayowahusu maafisa wao wa juu ndani ya chama!