Kwa nini plate number hazijirudii na zipo 3 tu?

Kwa nini plate number hazijirudii na zipo 3 tu?

Naomba kuuliza wakuu, kwa uelewa wangu ni kwamba plate number za gari hazipaswi kujirudia na ikitokea huwa ni kosa tu la kibinaadam, gari zote na pikipiki nyingi ambazo nimeshaziona mpaka sasa huwa number ni 3 mfano T 111 AGG Namba tatu ina maana ni kuanzia 100 mpaka 999 sasa inakuaje hizo namba tatu za hapo hazijirudii? Sidhani kama number ya kati ya 100 mpaka 999 ndo idadi ya gari zote tz pamoja na pikipiki. Nini huwa kinafanyika kwenye utoaji wa hizo namba naomba kufahamishwa kwa mwenye uelewa.

kasome probability,permutation na combination
 
Kumbe huwa hizo mamba tatu zinajirudia sasa hiyo Concept yako ya matrix nimeielewa ila kuhusu hizo namba kujirudia bado nadoubt unless kuna mtu anaweza akatwambuia for sure amewahi kuziona BIZO namba zinazojirudia
namba zinajirudia kwa mfano mfano mi gari yangu ni T 225 CUQ afu kuna Nadia moja niT225 CVH
 
Kumbe huwa hizo mamba tatu zinajirudia sasa hiyo Concept yako ya matrix nimeielewa ila kuhusu hizo namba kujirudia bado nadoubt unless kuna mtu anaweza akatwambuia for sure amewahi kuziona hizo namba zinazojirudia

Kutaka kujua kama hizo namba zinajirudia au la hauhitaji kuyaona hayo magari barabarani chakufanya tumia kikokotowo cha TRA ku kokotoa kodi ya motor vehicle mfano andika Assess T 784 BVN na pia andika Assess T 784 DEF utapata majibu ya kodi tofauti kulingana na mdaiwa husika,hiyo itakupa proof uelewe kuwa hizo namba zipo Ila zinawakilisha magari tofauti kwa kutofautishwa na herufi.>
 
kuna hesabu za permutations na combination then probabilities
 
Ni hivi,
Gari za mwanzo kabisa kwenye huu mfumo zitakuwa zilianza na
T 001 AAA hadi T 999 AAA
then
T 001 AAB hadi T 999 AAB
zikaendelea
T 001 AAC hadi T 999 AAC
hizo herufi zikaendelea mpaka zikafika AAZ
zilivyofika AAZ zikaanza tena kama ifuatavyo
T 001 ABA hadi T 999 ABA
T 001 ABB hadi T 999 ABB
T 001 ABC hadi T 999 ABC
.
.
.
T 001 ABZ hadi 999 ABZ

ikaanza tena
T 001 ACA hadi 999 ACA

ukiendelea na huo mtiririko baadae utakuja kufikia mahali ukute namba T 999 AZZ
ambapo itabidi gari linalofuatia lianze na namba zenye herufi zinazoanzia na B yaani
T 001 BAA.
kwa hiyo kwa hii system mpaka magari yajaze hiyo combination ya namba na herufi sio leo wa la kesho ndo maana mpaka leo magari yaliyopo Tanzania yamefikia herufi D tu
huwezi kukuta gari lenye namba kwa mfano
T 345 EAA kwa sasa ila baada ya muda yataanza kuwepo.

Wewe ndio ulie muelewesha huyo ndg kiufasaha, ninaimani km atasoma hii ameshaelimika
 
Hapo ni hesabu za probability kwenye permutation and combination... pia itambulike kwamba kwenye zile herufi hamna I na O. Hivyo sio 26 ni 24.. formula nimesahau kidogo ya permutation

Mkuu nashukuru, umenikumbusha jinsi zilivonipa tabu hizi mambo za PERMUTATION na COMBINATION!
 
Swali zuri ..,..mm nafikiri pia hzo herufi huwa zinatumika kutofautisha no. Mfano gari A inaweza ikawa na no.ya usajili T 111 AGG na gari B ikawa na no.ya usajili T 111 ABG.

Hivyo no na herufi hutumika kufanya uwepo utofauti kati ya Magari

Hamna majibu mengi
 
mbona zimejirudia mara nyingi tu ila utofauti ni herufi, au heruf kujirudia no tofaut...
 
Kumbe huwa hizo mamba tatu zinajirudia sasa hiyo Concept yako ya matrix nimeielewa ila kuhusu hizo namba kujirudia bado nadoubt unless kuna mtu anaweza akatwambuia for sure amewahi kuziona hizo namba zinazojirudia

mkuu unaishi wapi kwanza??
 
Ni hivi,
Gari za mwanzo kabisa kwenye huu mfumo zitakuwa zilianza na
T 001 AAA hadi T 999 AAA
then
T 001 AAB hadi T 999 AAB
zikaendelea
T 001 AAC hadi T 999 AAC
hizo herufi zikaendelea mpaka zikafika AAZ
zilivyofika AAZ zikaanza tena kama ifuatavyo
T 001 ABA hadi T 999 ABA
T 001 ABB hadi T 999 ABB
T 001 ABC hadi T 999 ABC
.
.
.
T 001 ABZ hadi 999 ABZ

ikaanza tena
T 001 ACA hadi 999 ACA

ukiendelea na huo mtiririko baadae utakuja kufikia mahali ukute namba T 999 AZZ
ambapo itabidi gari linalofuatia lianze na namba zenye herufi zinazoanzia na B yaani
T 001 BAA.
kwa hiyo kwa hii system mpaka magari yajaze hiyo combination ya namba na herufi sio leo wa la kesho ndo maana mpaka leo magari yaliyopo Tanzania yamefikia herufi D tu
huwezi kukuta gari lenye namba kwa mfano
T 345 EAA kwa sasa ila baada ya muda yataanza kuwepo.

Best teacher.
 
Hili swali limesaidia kuona jinsi gani watanzania wengi wanakariri masomo na sio kuelewa, kila mtu kakaa tu kusema mara probability mara permutations alafu kusolve zero, swali rahisi tu hata bila kusoma hizo hesabu unaweza jiongeza tu na kupata majibu.

T 111 AAA
Hapo kwenye namba 111 kuna uwezekano wa kua na namba 0-9 maana yake jumla unaweza kua na namba
Code:
9x10x10= 900
sababu namba zinajirudia alafu note nimeanza na 9 kwa assumption kua namba hazianzii zero, kama zinaweza anzia zero itakua 10x10x10, hapo mbele kwenye AAA kwa kua herufi zipo 26, kuna uwezekano wa kuwepo
Code:
26x26x26 = 17,576.
Jumla ya uwezekano wa namba zote ni
Code:
900x17576 = 15,818,400.

Kwa hiyo kuna uwezekano wa magari milioni 15 kupewa namba unique. Sidhani kama Tanzania kuna magari mengi kiasi hicho.
 
Hesabu za AP na GP o level hizo tarakimu tatu yani 111 zinaweza toa number nyingi sana tumia ukitumia AP utajua number ngap bado alfabet tatu tena . ni number nyingi saaaana itachukua miaka mingi hizi number kuisha

Muongo🙄😡😡🙄😡
 
Kumbe huwa hizo mamba tatu zinajirudia sasa hiyo Concept yako ya matrix nimeielewa ila kuhusu hizo namba kujirudia bado nadoubt unless kuna mtu anaweza akatwambuia for sure amewahi kuziona hizo namba zinazojirudia

Mi nimeshazishuhudia tena si mara moja.

Gari ya kazini ni T908 CN_
Na gari ya shangazi yangu ni T908 CX_

Bado una swali?
 
Ujue A mpaka Z hapo utahesabu herufi 26. Ili kujua magari mangapi yanaweza sajiliwa ni kama ifuatavyo....
999-99=900 sababu 100 ni inclusive yaani inatumika..
Kwa sababu namba za usajili zina herufi 3 mfano AGB
Issue za probability inafuata
26x26x26x900=15,818,400.
Hiyo ndio idadi ya magari yatayoweza sajiliwa

Ok safi je kwa ulichokizungumza je ngari ya misho kabisa itakuwa na no gani?
 
Ni hivi,
Gari za mwanzo kabisa kwenye huu mfumo zitakuwa zilianza na
T 001 AAA hadi T 999 AAA
then
T 001 AAB hadi T 999 AAB
zikaendelea
T 001 AAC hadi T 999 AAC
hizo herufi zikaendelea mpaka zikafika AAZ
zilivyofika AAZ zikaanza tena kama ifuatavyo
T 001 ABA hadi T 999 ABA
T 001 ABB hadi T 999 ABB
T 001 ABC hadi T 999 ABC
.
.
.
T 001 ABZ hadi 999 ABZ

ikaanza tena
T 001 ACA hadi 999 ACA

ukiendelea na huo mtiririko baadae utakuja kufikia mahali ukute namba T 999 AZZ
ambapo itabidi gari linalofuatia lianze na namba zenye herufi zinazoanzia na B yaani
T 001 BAA.
kwa hiyo kwa hii system mpaka magari yajaze hiyo combination ya namba na herufi sio leo wa la kesho ndo maana mpaka leo magari yaliyopo Tanzania yamefikia herufi D tu
huwezi kukuta gari lenye namba kwa mfano
T 345 EAA kwa sasa ila baada ya muda yataanza kuwepo.

Ualimu unakufaa sana. Kuna subreddit ambayo isingekuwa tofauti ya lugha ningekusahuri uipost explanation yako pale.

https://www.reddit.com/r/explainlikeimfive/
 
Ok safi je kwa ulichokizungumza je ngari ya misho kabisa itakuwa na no gani?

Ngoja tufikie huko kwanza

Simple question to asking kwann namba za sim hazijirudii?
 
Back
Top Bottom