Kwa nini nimoea mwanamke wa kizungu..

Kwa nini nimoea mwanamke wa kizungu..

Ushamba na ulimbukeni ni gharama jamani nyie acheni tu lol
 
Possible reasons you may have married a mzungu:Fear: 1.1. You fear having the same African woman who is strong and challenges you intellectually. You would rather be challenged by a white and you consider OK, the opposite you consider "WHITEISM" which signifies inferiority complex2. Irresponsibility: You don’t want to incur any expense and offer weak arguments that wazungu don’t ask for any. Even in Africanism , men are considered the sole providers thus you are also acting like anti –Africanist. You fear being a man and want to be supported . 3. Make Up Misconseptions: Research says that more whites use make ups than any other population. You may be just lazy to seek for information but you can refer to some citations,“In 2009 over half a million women in the UK were in a car accident when applying make-up”The scariest beauty tutorial: Artist creates shocking video to warn women about the dangers of applying make-up when driving | Mail Online I have seen quite a number of African ladies who don’t wear make-up, again you could be lazy to seek them or rather approach them and instead prefer white ladies who are mostly desperate for men due to age and stress. And talking of make up: what defines a make up? Is powder make up? Because even masai have some powder material . Is cream a make up? Cause we have african made creams? Are hair extensions make up? Cause even masai wear hair extensions4. Looking at your arguments I them FAKE ideas unless you prove them otherwise.You fear having the same african woman who is strong and challenges you intelectually. You would rather be challenged by a white and you consider OK, the opposite you consider "WHITEISM" which signifies inferiority complex
and ze topic is closed!
 
DUUH!!!! Hii topic naona imekuwa sensitive sana-mpaka jamaa mmoja kasema kwamba Likud anawaogopa waafrika sababu watam challenge intellectually-well i never knew this
 
Wanawake wa Tandale utawajua tu, Anyways, MADAME B, MALKIA KHADIJA KOPA kwangu mimi ni bora niwe na huyo mbibi wa kizungu kuliko kuwa nyie kuku wa kienyeji ambao mnaishi huko Tandale kusiko kuwa na maji ya kuoga...
 
na ninaamini hata ukiweka picha ya huyo kitimoto wako hapa itakua kituko! Maana umeogopa gharama za wigi tu bila kuangalia upande wa pili.
 
Mwanazuoni gani hujui kuandika kitu kikaeleweka au kutumia kanuni za uandishi? Pia, mwanazuoni wa kweli hawezi kupita akijinadi kuwa yeye ni mwanazuoni kwa sababu kufanya hivyo ni kupingana na dhana nzima ya uanazuoni

Huwezi ukawa na neno "wote" ikisha ukawa na neno "hususan", kama ni wote basi ni wote kwa jumla hakuna atokae humo, na kama ni hususan wanawake fulani basi sio wote

Fikra na mawazo ya mwanamke wa Kiafrika ni yepi? Mwanamke wa Kiafrika anaongea vipi na wa Kimagharibi anaongea vipi? Na mwondoko jee?
Unataka kutuambia wewe unatembea na kaniki au rubega barabarani au wewe kuvaa mavazi ya kimagharibi ni ruhsa ila akifanya mwanamke ni mwao?

Sio usingeweza, sema usingetaka. Kwa sabababu hakuna chochote kinachoongoa uwezo wako huo, zaidi ya utashi na matakwa yako.

Umewafanyia utafiti wanawake wangapi ukajua kuwa hawalipi bills? Kuna wanaume wanatunzwa na wanawake kabisa itakuwa kulipa bill?

Aliyekwambia Wazungu hawavai wigs au kuweka extensions kakudanganya. Wanabandika nywele kwa sababu Wazungu wengi wananywele kidogo kichwani hawapendi.

Mtu asiyeweza hata kuunga sentensi mbili bila ya vidoto na asiyeweza hata kuelewa kanuni za uandishi, si mwandishi

Jamaa mtazamo wake ni mzuri, ila namna anavyo present ndiyo tatizo.
Ila nimeipenda sana critism yako, ipo very constructive and analytical, hiyo ndiyo maana ya kubomoa hoja ili ujenge ya kwako.
 
Wanawake wa Tandale utawajua tu, Anyways, MADAME B, MALKIA KHADIJA KOPA kwangu mimi ni bora niwe na huyo mbibi wa kizungu kuliko kuwa nyie kuku wa kienyeji ambao mnaishi huko Tandale kusiko kuwa na maji ya kuoga...

Ndio waafrika wenyewe hao.......teh
Kwani Tandale uzunguni?
 
Mimi ni mwana "uma-jumuhi " wa kiafrika, ninaipenda Afrika, na ninautukuza sana uafrika wangu. Hata hivyo ninasikitika kuwataarifu wananzuoni wenzangu wa kiafrika, kwamba nimeoa mwanamke wa kizungu na sitakaa nioe mwanamke wa kiafrika ( hususani hawa wanao toka katika ukanda huu wa kusini mwa jangwa la sahara/ the saharans )...Kwa nini ? Fuatana nami:

1. Wanawake wa kiafrika hawapatikani tena C Ngoja niiweke kwa kiingereza ili upate kunielewa zaidi )

" African women are no longer existing ". Wanasichana wote wa kiafrika ( hsusuani wale ambao wamekwenda shule ) ni kama wazungu kama sio wazungu kabisa..Tazama nguo wanazo vaa, jinsi wanavyo ongea, namna wanavyo tembea, vyakula wanavyokula, mitindo yao ya nguo, nywele n.k. fikra zao, mawazo yao nakadhalika, vyote kwa pamoja ni akisi ya yale yanayo fanywa na wanawake wa nchi za kimagharibi..Hivyo basi mimi kuoa mwanamke wa kiafrika, haitakuwa na mantiki wala maana yoyote kama mwanamke mwenyewe atakuwa na hulka za kizungu ).

2. Kwa kiwango changu cha elimu, nisingeweza kuoa mwanamke ambaye kiwango chake cha elimu ni chini ya elimu ya chuo kikuu, na tulivyoona hapo juu kwamba wanawake wengi wa kiafrika waliosoma wanajifanya wazungu kabisa, so hoja hii inaunga mkono hoja yangu ya kwanza.

3. NINA PENDA VITU ORIGINAL NA SIO FAKE : Kama ningeoa mwanamke wa kiafrika, ningekuwa nimeoa mwanamke wa kizungu ambaye ni " feki " lakini kwa sababu ninapenda kuwa na vitu original nimeoa mwanamke wa kizungu kabisa ili ijulikane moja kwamba nimeoa mwanamke wa kizungu.

4. Nimepunguza gharama za kulipia MAWIGI. Mke wangu ni mzungu, kwa hiyo haitaji kuvaa mawigi ya kazi gani sasa...

Hizi ni sababu chache tu, but zipo faida nyingi sana kwa kijana wa kitanzania ama wa kiafrika kuoa mwanamke wa kizungu...Utazisoma katika kitabu changu ambacho nitakitoa mwezi Aprili 2013..Katika kitabu hiki nimeelezea experience yangu pamoja na more 20 friends wa kitanzania ambao wameoa wazungu.
You have to be in love and attracted to her or him.Mimi ni muke wa muzungu nilichanganyikiwa siku ya kwanza nilivyomuona mume wangu.penzi kwanza,Sasa mbona vijijini wapo original .Tanzanian woman are devil in the bed and wild your missing .But it's true it's expensive to date or marry a Tanzania .You can't afford
 
DUUH!!!! Hii topic naona imekuwa sensitive sana-mpaka jamaa mmoja kasema kwamba Likud anawaogopa waafrika sababu watam challenge intellectually-well i never knew this

He can't afford period .Tanzanian women are hot sexy and wild .we are too expensive
 
Wanawake wa Tandale utawajua tu, Anyways, MADAME B, MALKIA KHADIJA KOPA kwangu mimi ni bora niwe na huyo mbibi wa kizungu kuliko kuwa nyie kuku wa kienyeji ambao mnaishi huko Tandale kusiko kuwa na maji ya kuoga...

LIKUD,jenga hoja acha dharau na sehemu za watu wanapoishi.kama umeishiwa vyema ukakaa kimya!
 
Last edited by a moderator:
Wanawake wa Tandale utawajua tu, Anyways, MADAME B, MALKIA KHADIJA KOPA kwangu mimi ni bora niwe na huyo mbibi wa kizungu kuliko kuwa nyie kuku wa kienyeji ambao mnaishi huko Tandale kusiko kuwa na maji ya kuoga...

Heheeeeeeeeeeeeeeee, Halooooooooooooooooooooooooo...............
Wapi Kitimoto wa Mbwiga LIKUD,
Na bado, mwaka wako huuuuuuuuuuuuu..............
Eti Tandale..............., au kwa kuwa Unaishi kwa Mtogole????
Kwa Taarifa yako Mwanaume RIJALI huwa hajisifu kwa vitu vya Kipumbavu kama vyako Njomba,
Labda uwe Una 'KASORO'
Mwanaume wa Kweli hujisifia Ku-draw na Ku-deposit Pesa Bank, sio wewe mpaka usubiri chenchi za Kitimoto wako.
Halooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo..................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
UKIONA UNATUTAJA TAJA, UJUE UMETUKUBALIIIIIIIIIIIII,
Na Bado,
Utapalilia sana na kukuna nazi mwaka huu.
USHAMBA MZIGO, HASA UKIIJUA MBUNYE UKUBWANI, Kama Mshamba WEWE hapo LIKUD.
hubby.jpeg
 
You have to be in love and attracted to her or him.Mimi ni muke wa muzungu nilichanganyikiwa siku ya kwanza nilivyomuona mume wangu.penzi kwanza,Sasa mbona vijijini wapo original .Tanzanian woman are devil in the bed and wild your missing .But it's true it's expensive to date or marry a Tanzania .You can't afford
mwambie shoping yako ya xmas ilitumia billion moja ya ktz
 
He can't afford period .Tanzanian women are hot sexy and wild .we are too expensive
Too loud,too mean,too argumentative could start an argument in an empty room,too needy,too materialistic and too moody-sijui attributes hizi ni za mzungu au ni za a woman south of the sahara
 
Too loud,too mean,too argumentative could start an argument in an empty room,too needy,too materialistic and too moody-sijui attributes hizi ni za mzungu au ni za a woman south of the sahara

Haya kumekucha sasa.

Leteni makashfa 😀
 
ulikuwa una taka ushauri au ulikuwa unatupa taarifa sijakuelewa kaka
 
Wanawake wa Tandale
utawajua tu, Anyways, MADAME B, MALKIA KHADIJA KOPA kwangu mimi
ni bora niwe na huyo mbibi wa kizungu kuliko kuwa nyie kuku
wa kienyeji ambao mnaishi huko Tandale kusiko kuwa na maji ya
kuoga...

Poor you! Pengine wazazi wako wako huko kintinku wewe unatambia ukweni.
 
Back
Top Bottom