Kwa Nini Mnatutenda Sasa Hapa !!?????!!

Moderators.......

leo nimeingia JF na kuona baadhi ya topic ya member mmoja,lakini after few minutes naona ile MADA imefutwa.......hebu tueleze kwa nini?kumbuke leo umekuwa wewe moderators,lakini kesho na keshokutwa mola akipenda nikichaguliw mie kuwa moderators nikawa nafuta MADA zako utajisikia vizuri.

mie nahisi MADA ziachwe then wajumbe waamue ifutwe ama ipelekwe kunakohusika.naamini umenilewa mheshimiwa moderators.

invisible......

hebu twambie moderators wanakuwa ktk MADARAKA kwa muda gani?

mie sisemi !
 
Invisible iunganishe hii na ile ya Kada maana ndugu zetu hawataki hata kutafuta ila kuja na tuhuma juu ya tuhuma...

no, acha iwe peke yake ! mie sina kundi hapa JF ! so kama mtanilaumu i'll the whole bag of blame with me ! lakini isiunganishwe !
 
Kila chombo kina sera zake, zile za kutangaza nje! na zile za ndani ndani zisizosemwa!!! kwa hiyo usishangae!!!
 
Invisible iunganishe hii na ile ya Kada maana ndugu zetu hawataki hata kutafuta ila kuja na tuhuma juu ya tuhuma...

Hapana Mwanakijiji, nashukuru kwa ushauri wako lakini nishazisoma minds hizi. Kuna masuala yanatakiwa yasijadiliwe hata chembe na ikibidi watu wata-spoil ili azma itimie.

Namshangaa ndugu yangu Kada... I never expected him to be of this type. Ndio maana alipokuja yule CHADEMA advertiser anajiita nadhani Gemina nilimmaliza taratibu akashindwa kumalizia kampeni zake za namna ile.

Kuna mtu atanichukia kwa maamuzi mabaya ambayo daima huwa nayachukua bila kupenda ila mikono inalazimika kufanya vile.

Why did we put the search button?
 
Kaka una heshima zako kubwa sana!

Unaweza kuthibitisha mada gani IMEFUTWA kadiri ulivyoandika au nawe unapelekwa na wale wanaotaka kuharibu hoja za ufisadi zisijadiliwe kwa kuleta habari za udaku kwenye siasa?

Angalia kama kuna TOPIC IMEFUTWA vinginevyo nakuomba uombe radhi kwa kutoa taarifa zisizo sahihi.

JF sio siasa tu, udaku pia umo na hata nyepesi nyepesi zisizo na uthibitisho zimo. Naomba topic za namna hii ZIKOME mara moja kufunguliwa eneo la Siasa kwani ni kupoteza ladha ya mijadala. Endapo mtu atashindwa ku-search topic basi akae kimya kuliko lawama changa namna hii. Naomba muwaheshimu wengine wanaohitaji muda wa kutafakari masuala muhimu kwa taifa letu.

Alichokuwa akifanya KadaMpinzani si jambo la kuigwa hata chembe na kama kuna mwanachama anatarajia kuiga staili ile namshauri aniwie radhi nitaonekana mbaya kwake.

Mwisho: Moderators HAWACHAGULIWI na watakoma wakifa! Unahitaji kuwa Moderator? Uko tayari kubeba lawama kama hizi unazowatwisha wenzio?

Watu bwana!

now i understand why thread yangu ilifutwa !
walifikiri nimeileta ile interview ili kuvuruga hoja za ufisadi ( zilizotolewa na chadema ) zisiongelewe, which is ABSOLUTELY ABSURD, WRONG to me especially kama unanijua ! ile haikuwa nia yangu, na kama nia yangu ilikuwa kuvuruga maongezi ya ufisadi nisingeogopa kusema hapa tena wazi ! ningesema kwani mngeniua ? basi, am done tumeelewana !

Invicible mkuu, heshima kwako, sina ubaya na mtu yoyote ! Naombeni tuendelee na ishus nyingine !
 
Hapana Mwanakijiji, nashukuru kwa ushauri wako lakini nishazisoma minds hizi. Kuna masuala yanatakiwa yasijadiliwe hata chembe na ikibidi watu wata-spoil ili azma itimie.

Namshangaa ndugu yangu Kada... I never expected him to be of this type. Ndio maana alipokuja yule CHADEMA advertiser anajiita nadhani Gemina nilimmaliza taratibu akashindwa kumalizia kampeni zake za namna ile.

Kuna mtu atanichukia kwa maamuzi mabaya ambayo daima huwa nayachukua bila kupenda ila mikono inalazimika kufanya vile.

Why did we put the search button?

Invicible usinishangae, ndio mambo hayo !

Lakini sina ubaya na mtu yoyote, simshangai mtu yoyote na ninaangalia both ways naweza nikawa wrong au wright !

Wengine najua hamkujua nipoje, na hivyo mtakisia kwamba KadaMpinzani yupo hivi na hivi na vile, lakini its ok with me !
 
Watanzania bwana!

Invisible, heshima yako mkuu.

Samahani kwa kuingilia attacks zenu, lakini ningekuomba urejebishe kidogo hiyo quote hapo juu. Treat a person as an individual and not as a group. to me this is unfair and not acceptable in the world of diversity.

Samahani kwa hilo mkuu.
 
Invicible mkuu, heshima kwako, sina ubaya na mtu yoyote ! Naombeni tuendelee na ishus nyingine !

Oh, am Invisible... Invincible is of another type bro.

Ila kaka ukiri ulilikoroga pale uliposhindwa kukumbuka kuwa topic uliyoanzisha ILIKUWA IPO ndani ya JF na ukaanzisha topic iliyo ndani ya nyingine. Si rahisi kwako kukiri? Mara ngapi nachemka na kuomba radhi bayana?

Umenifanya nikutilie shaka kitu ambacho sikuwahi kuwa nacho tangu awali. Why uwa-generalize watanzania wote kuwa CHADEMA (wale wanaoonekana kuwa tofauti na wewe kimtizamo)?

Kaka mi mwelewa na mwepesi kusamehe; ungekutana na wasio na simile kuna uwezekano mkubwa kwakuwa ulikuwa ukiwaomba ban wangekuzawadia. Huwa sipendi maamuzi ya namna hiyo.

Mwisho: Sijafuta topic yako na mchango wako bado unaonekana wazi pale chini KABRASHA na endapo ukitaka topic irejee kwakuwa umepata hoja zaidi basi inaweza kurudi lakini sio kwa njia za namna hii... Naziita njia mbaya!

OK: Hata hii itoke Siasa maana sio siasa
 
Wakuu imetosha turudi kwenye ishus, aliyesikia amesikia na ambaye hakusikia hakusikia,

Where we dare kumkoma nyani mchana kweupe!
 
Oh, am Invisible... Invincible is of another type bro.

Ila kaka ukiri ulilikoroga pale uliposhindwa kukumbuka kuwa topic uliyoanzisha ILIKUWA IPO ndani ya JF na ukaanzisha topic iliyo ndani ya nyingine. Si rahisi kwako kukiri? Mara ngapi nachemka na kuomba radhi bayana?

Umenifanya nikutilie shaka kitu ambacho sikuwahi kuwa nacho tangu awali. Why uwa-generalize watanzania wote kuwa CHADEMA (wale wanaoonekana kuwa tofauti na wewe kimtizamo)?

Kaka mi mwelewa na mwepesi kusamehe; ungekutana na wasio na simile kuna uwezekano mkubwa kwakuwa ulikuwa ukiwaomba ban wangekuzawadia. Huwa sipendi maamuzi ya namna hiyo.

Mwisho: Sijafuta topic yako na mchango wako bado unaonekana wazi pale chini KABRASHA na endapo ukitaka topic irejee kwakuwa umepata hoja zaidi basi inaweza kurudi lakini sio kwa njia za namna hii... Naziita njia mbaya!

OK: Hata hii itoke Siasa maana sio siasa

ok ! kama utaniamini sawa, hautoniamini sawa. i have nothing to say ! Good-Luck in your job as the JF admn.

(maneno ya bold: nadhani hiyo sasa ni kazi yako na siyo yangu, naamini una mamlaka ya kufanya chochote unapotaka, hivyo i wouldnt suggest anything Mkuu kwa heshima yako, kama kuifuta kwa sababu sio siasa au la tumia vigezo unavyotakiwa kufanya kama admn. wa JF maana naamini unajua unachokifanya ndio maana ukawa Admn. )

Shukrani !
 
yaani leo hatujawa productive mimi wa kwanza... kuna muziki tumewekewa badala ya kuanza kucheza tumeanza mambo mengine...
 
mheshimiwa INVISIBLE ............

naomba utusaidie kwa hili,kumekuwa na kufutwa kwa MADA pasina sababu za msingi,binafsi jana niliandika MADA moja lkn haipo,jee kwa sababu gani?au server imekuwa na matatizo?nimeamua kukuandikia thru ukumbi ili kila mtu aone,najua naweza kuwasiliana na wewe ktk PM lakini hili suala limeniudhi sana upande wangu,naamini utakuja na majibu muafaka tu ili utuize donge langu la roho.

NAKUOMBEA UBARIKIWE kwa mola kwa kazi yako nzuri pamoja na wana JF wote.
 
Mhandisi kulikoni ndg yangu,umefumba sana ,ni vema ukawa wazi ili jamii itambue kama kuna hujuma au la!

"The only thing we have to fear is fear itself." – FDR
 
Mhandisi,

Hii ni siasa? Ikihamishwa itakuwa imefutwa? Haya endelea kulalamika kama huoni search button.

Karibu
 
Labda haelewi ilikohamishiwa ni budi apewe tuu elimu,japo ni mhandisi si ajabu ni yule aliyesoma enzi zangu .

Kinakilishi kinaweza kuwa kigumu kwake kutumia.
 
Labda haelewi ilikohamishiwa ni budi apewe tuu elimu,japo ni mhandisi si ajabu ni yule aliyesoma enzi zangu .

Kinakilishi kinaweza kuwa kigumu kwake kutumia.

Mkuu nimeonelea niziunganishe ili usome ilikoanzia na uone majibu waliyopewa wawili hawa. Natumaini utaelewa namaanisha nini!
 
Mhandisi kulikoni ndg yangu,umefumba sana ,ni vema ukawa wazi ili jamii itambue kama kuna hujuma au la!

"The only thing we have to fear is fear itself." – FDR

FDR Jr....sio hivyo ndugu unajua tena mambo ya SWAUM.

invisible......asante ndugu kwa maelezo yako muafaka.lakini mkuu waswahili wanasema KUULIZA SIO UJINGA au nimekosea kukuuliza mkuu?kama nimekosea samahani mkuu.
tuendelee kumkomalia NYANI.

mpaka kieleweke.....asante mkuu kwa majibu mazuri,kweli kabisa ndio tumo ktk jitihada za kusoma mkuusi unajua asubuhi tunaenda kibaruani jioni tunakata shule ONE DAY YES mkuu na sisi tutafuta ujinga na kuwa werevu.
 
Back
Top Bottom