Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 391
- 873
Jamani sisi office huwa tunalipia TTCL Fiber internet kwa mwezi ile unlimited 55k and speed ipo vzuri ingawa kuna muda network inazinguaga.
Basi sasa, mwezi huu hatujalipia tumeamua kukausha, izo simu sasa kila siku kutukumbusha? Why? Jamani, hii ni kodi?Mnatudai?
Sisi hatujui kwamba Internet imeisha? Lazima tulipie kila mwezi? Tuna mkataba wa kutulazimisha tulipie kila mwezi? Mnaboa.
Hata kama mnatafuta wateja sio kwa staili hii, nimeshachoka na nilishawajibu msinipigie simu kwa huo upumbavu unless kuna kitu cha muhimu.
Nikitaka internet nitalipia ila kwa muda ninaojisikia.