Kwa Nini Mnatutenda Sasa Hapa !!?????!!

waooo... umeanza vitisho sasa.... utatumia jeshi au polisi kuzuia hili kutokea!

hhahahaaa, i'll be damn if i co-sign your reply ! tishio liko wapi ? kwani mmeambiwa mara ngapi hamtoshika madaraka ? now you are acting kama hii ndio mara ya kwanza kuambiwa hamtoshika madaraka ! u know much better than that, nionyeshe basi hiyo sehemu nilipomuonyesha zitto chuki ! nasubiri.
 
"sijui kama nimesema yananichosha.. ukisoma unaweza kuelewa and probably can rephrase the question"" NAPENDA SANA HAYA MANENO, YAANI UKIWAULIZA WATU WANASHINDWA KUPOINT OUT, AU WATASEMA "duh kazi yote hiyo nikufanyie".... au watakwambia read between the lines, jamani si mpoint out tu hiyo sehemu ! huo ni uzushi sasa unakuwa !
 
muulize mdhihiri akupatie mifano... teh teh teh teh

Du! Mama unajua siri ya CUF kushuka umaarufu,,, chama kilikuwa makini wapiga ngoma/debe wakapiga vibaya eventually chama kikazama, chama changu CHADEMA ni makini at least kwa sasa lakini wapiga debe wakiwa staili ya ..., eventually malengo hayatafikiwa!
 
wa nyie kuifuta ile thread, lakini poa tu ! kama msemo wenu wa "Roma haikujengwa kwa siku moja" mnadhani unaweza ukatimia kwa kunyima watu haki zao, mnapoulizwa hamna sahihi cha kujibu, sawa !
 
Kada, kubali umekosea usiwe kama CCM kuja na maneno mengi na kulaumu kila mtu isipokuwa kujiangalia wao wenyewe.

a. Ulibandika mada hapa kuhusu mahojiano ya Zitto
b. Mada hiyo ikachangiwa kidogo halafu ikahamishwa.
c. Uliporudi hukiona badala ya kutafuta ukaanzisha mada nyingi ya kulalamika.
d. Nikakuambia tafuta utaiona
e. Ukasema umetafuta ndio maana ukaanzisha mada
f. Mwawado akakufanyia kazi (ambayo wewe hukutaka kuifanya) akakuonesha kuwa mada yako ilikuwa mahali fulani.
g. Badala ya kukubali kuwa uliboronga unataka tuamini kuwa unatetea haki ya 'mada' za Zitto humu. Ukataka Admin aje atoe jibu.
h. Admin amekuja na kukupa jibu
i. Hutaki jibu la Admin unataka kile unachotaka.

Hii sasa ni kama kawaida. Ungefanya wanachofanya wenzako, ukianzisha mada na ukirudi huioni usikurupuke kulia "JF ya chadema!" mandikie Admin message muulize "mzee mbona mada yangu siioni kulikoni". Admin atakujibu na kukuelezea na kama mkiweza kushawishiana basi mada itarudishwa au itawekwa unakotaka and wala! Hakuna mgongano wala nini. Lakini wewe hapana. You want it and you want it now, otherwise no one gets it!

Sasa badala ya kukubali uliboronga unataka mada zote za Zitto zipelekwe kule. Next time fuata taratibu nyepesi badala ya kulalamika tu. Na kuhusu mimi na JF... sina maslahi yoyote isipokuwa kulinda hadhi ya forum kuwa isitumiwe kama kijiwe cha malalamishi yasiyo na msingi. Watu tumewekewa "muziki" hata hujui imewezekana vipi, na hujui jitihada gani zimefanyika kupata muziki huo.. kuna watu wamehangaika kufanya hivyo. Matokeo yake thread ya malalamiko inaangaliwa zaidi badala ya ile ya muziki!!
 
Admin,

Unaona je, uka-delete hii thread!!! ni maroroso ninayoyaona hapa!!! content zake utafikiri magazeti ya udaku!
 
JUST CURIOUS, iweje unafanya kazi ya admn ! and i still stand for what i said kwamba mada zote za zitto zifutwe ! you stick to what you believe and i stick to what i believe ! asante mkuu !
 
Moderators.......

leo nimeingia JF na kuona baadhi ya topic ya member mmoja,lakini after few minutes naona ile MADA imefutwa.......hebu tueleze kwa nini?kumbuke leo umekuwa wewe moderators,lakini kesho na keshokutwa mola akipenda nikichaguliw mie kuwa moderators nikawa nafuta MADA zako utajisikia vizuri.

mie nahisi MADA ziachwe then wajumbe waamue ifutwe ama ipelekwe kunakohusika.naamini umenilewa mheshimiwa moderators.

invisible......

hebu twambie moderators wanakuwa ktk MADARAKA kwa muda gani?
 
Kada, kubali umekosea usiwe kama CCM kuja na maneno mengi na kulaumu kila mtu isipokuwa kujiangalia wao wenyewe.

a. Ulibandika mada hapa kuhusu mahojiano ya Zitto
b. Mada hiyo ikachangiwa kidogo halafu ikahamishwa.
c. Uliporudi hukiona badala ya kutafuta ukaanzisha mada nyingi ya kulalamika.
d. Nikakuambia tafuta utaiona
e. Ukasema umetafuta ndio maana ukaanzisha mada
f. Mwawado akakufanyia kazi (ambayo wewe hukutaka kuifanya) akakuonesha kuwa mada yako ilikuwa mahali fulani.
g. Badala ya kukubali kuwa uliboronga unataka tuamini kuwa unatetea haki ya 'mada' za Zitto humu. Ukataka Admin aje atoe jibu.
h. Admin amekuja na kukupa jibu
i. Hutaki jibu la Admin unataka kile unachotaka.

Hii sasa ni kama kawaida. Ungefanya wanachofanya wenzako, ukianzisha mada na ukirudi huioni usikurupuke kulia "JF ya chadema!" mandikie Admin message muulize "mzee mbona mada yangu siioni kulikoni". Admin atakujibu na kukuelezea na kama mkiweza kushawishiana basi mada itarudishwa au itawekwa unakotaka and wala! Hakuna mgongano wala nini. Lakini wewe hapana. You want it and you want it now, otherwise no one gets it!

Sasa badala ya kukubali uliboronga unataka mada zote za Zitto zipelekwe kule. Next time fuata taratibu nyepesi badala ya kulalamika tu. Na kuhusu mimi na JF... sina maslahi yoyote isipokuwa kulinda hadhi ya forum kuwa isitumiwe kama kijiwe cha malalamishi yasiyo na msingi. Watu tumewekewa "muziki" hata hujui imewezekana vipi, na hujui jitihada gani zimefanyika kupata muziki huo.. kuna watu wamehangaika kufanya hivyo. Matokeo yake thread ya malalamiko inaangaliwa zaidi badala ya ile ya muziki!!

whats this got to do na malalamiko yangu ?
 
malalamiko yako yamepoteza muda muhimu wa kujadili mambo muhimu badala ya kukaa kulalamikia mada ambayo ipo imehamishwa tu. I'm out! Next time jaribu kutafuta kidogo na kuwasiliana na Mod kabla ya kuanza kulalamika. Ni wazo tu mkuu!
 
Moderators.......

leo nimeingia JF na kuona baadhi ya topic ya member mmoja,lakini after few minutes naona ile MADA imefutwa.......hebu tueleze kwa nini?kumbuke leo umekuwa wewe moderators,lakini kesho na keshokutwa mola akipenda nikichaguliw mie kuwa moderators nikawa nafuta MADA zako utajisikia vizuri.

mie nahisi MADA ziachwe then wajumbe waamue ifutwe ama ipelekwe kunakohusika.naamini umenilewa mheshimiwa moderators.

invisible......

hebu twambie moderators wanakuwa ktk MADARAKA kwa muda gani?

Kaka una heshima zako kubwa sana!

Unaweza kuthibitisha mada gani IMEFUTWA kadiri ulivyoandika au nawe unapelekwa na wale wanaotaka kuharibu hoja za ufisadi zisijadiliwe kwa kuleta habari za udaku kwenye siasa?

Angalia kama kuna TOPIC IMEFUTWA vinginevyo nakuomba uombe radhi kwa kutoa taarifa zisizo sahihi.

JF sio siasa tu, udaku pia umo na hata nyepesi nyepesi zisizo na uthibitisho zimo. Naomba topic za namna hii ZIKOME mara moja kufunguliwa eneo la Siasa kwani ni kupoteza ladha ya mijadala. Endapo mtu atashindwa ku-search topic basi akae kimya kuliko lawama changa namna hii. Naomba muwaheshimu wengine wanaohitaji muda wa kutafakari masuala muhimu kwa taifa letu.

Alichokuwa akifanya KadaMpinzani si jambo la kuigwa hata chembe na kama kuna mwanachama anatarajia kuiga staili ile namshauri aniwie radhi nitaonekana mbaya kwake.

Mwisho: Moderators HAWACHAGULIWI na watakoma wakifa! Unahitaji kuwa Moderator? Uko tayari kubeba lawama kama hizi unazowatwisha wenzio?

Watu bwana!
 
Invisible iunganishe hii na ile ya Kada maana ndugu zetu hawataki hata kutafuta ila kuja na tuhuma juu ya tuhuma...
 
Back
Top Bottom