Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,789
- 24,375
Vita yoyote iliyofanikiwa duniani hutokana kwa kiasi kikubwa na upangaji wa mashambulizi unaofanywa na makamanda kimedani. Marekani iliingia vita ya Vitenama ikiwa haina plani za kivita ikitegemea kupiga mabomu tu, njia ambayo pia imetumiwa na Urusi kuivamia Ukraine; mbinu hiyo huwa haifanikiwi kabisa labda kwa bahati mbaya tu. Kwenye vitaya Iraq, angalau makamanda wa jeshi la Marekani walipewa muda wa kupanga mashambulizi na kwa kiasi kikubwa sana kushinda vita hiyo hadi pale walipoamua kujiingiza klwenye siasa za kujenga demokrasi ndipo wakaelemewa na insurgents.
Kwenye vita hii ya Iran, makamnda wa jeshi la Marekani walisema kuwa hakuna plani yoyote ya maana kusababisha ushindi labda wapewe muda zaidi wa kuangalia alternatives. Hata hivyo wakati huo mkwe wa Ttrump (Kushner) alikuwa anashiriki mazungumzo ya kuizuia Iran isitengezea silaha za nyuklia na mazungumzo yalikuwa yanaendelea vizuri.
Baada ya Netanyahau kugundua kuwa kulikuwa na uwezekano Marekani kufikia makubaliano na Irani kama alivyo fanya Obana miaka yake, akatia pressure kwa Trump kuwa ni lazima Irani ishambuliwe sasa hivi kumuua kiongozi wake mkuu., Trump aliburuzwa na Netanyahu kwa vile anapenda kusifiwa lakini akijiinigiza katika vita hiyo wakati makamanda wake hawajafanyia tashtmini za kimendani. Makosa hayo yataifanya vita hii kuwa sawa kabisa na ile ya Vitenam. Uchumi wa Marekani unaweza kuathiriwa sana