Kwa nini Marekani Itaanguka Vibaya Sana Kwenye Vita ya Iran

Vita yoyote iliyofanikiwa duniani hutokana kwa kiasi kikubwa na upangaji wa mashambulizi unaofanywa na makamanda kimedani. Marekani iliingia vita ya Vitenama ikiwa haina plani za kivita ikitegemea kupiga mabomu tu, njia ambayo pia imetumiwa na Urusi kuivamia Ukraine; mbinu hiyo huwa haifanikiwi kabisa labda kwa bahati mbaya tu. Kwenye vitaya Iraq, angalau makamanda wa jeshi la Marekani walipewa muda wa kupanga mashambulizi na kwa kiasi kikubwa sana kushinda vita hiyo hadi pale walipoamua kujiingiza klwenye siasa za kujenga demokrasi ndipo wakaelemewa na insurgents.

Kwenye vita hii ya Iran, makamnda wa jeshi la Marekani walisema kuwa hakuna plani yoyote ya maana kusababisha ushindi labda wapewe muda zaidi wa kuangalia alternatives. Hata hivyo wakati huo mkwe wa Ttrump (Kushner) alikuwa anashiriki mazungumzo ya kuizuia Iran isitengezea silaha za nyuklia na mazungumzo yalikuwa yanaendelea vizuri.

Baada ya Netanyahau kugundua kuwa kulikuwa na uwezekano Marekani kufikia makubaliano na Irani kama alivyo fanya Obana miaka yake, akatia pressure kwa Trump kuwa ni lazima Irani ishambuliwe sasa hivi kumuua kiongozi wake mkuu., Trump aliburuzwa na Netanyahu kwa vile anapenda kusifiwa lakini akijiinigiza katika vita hiyo wakati makamanda wake hawajafanyia tashtmini za kimendani. Makosa hayo yataifanya vita hii kuwa sawa kabisa na ile ya Vitenam. Uchumi wa Marekani unaweza kuathiriwa sana
Hakuna
 
Point of correction kwa URUSI.
Urusi imeshashinda kwa kuchukua 30% ya nchi ya Ukraine tena Ukraine ambayo ilikua inapata msaada full toka NATO.

Tofauti na Marekani hajfanikiwa dhumuni lolote na anapigana na nchi inayosimama yenyewe.
 
Marekani hatafuti ushindi kwa looser, anachofanya anaondoa hatari ya magaidi kupata access ya silaha za nyuklia toka kwa kichaa anayegawa silaha hovyo kwa kila anayemuunga mkono, na kafanikiwa tayari, kutafsiri ni ushindi au kushindwa anawaachia weusi wanaona vita ni kama mpira wa yanga na simba. By the way Iran hatarudisha uwezo wake in our lifetime, ajipange tu upya au aamue kuwa gaidi kama wengine, but will never reorganize at least in 50-70 years
Inamaana wewe unajua kuliko maseneta wa USA?
Kumuua Khamenei kumepelekea Iran kutaka kuunda nuke. Na walishafanya jaribio la kwanza.
Tegemea hii vita ikiisha wajitangaze wazi kuwa ni nuclear power state.
Hao unaowaita machiz hawakuwahi kuvamia nchi yeyote kuliko mabaladhuli unaowashabikia US ambao wamehusika na umwagaji mwinhgi wa damu duniani. Hapo Congo tu wanafadhili waasi kwaajili ya madini.
 
Iran ishakua shithole waumin labda waanze kujilipua tu sasa siongelei mambo ya dini mie naongelea strategy na tactics
 
Point of correction kwa URUSI.
Urusi imeshashinda kwa kuchukua 30% ya nchi ya Ukraine tena Ukraine ambayo ilikua inapata msaada full toka NATO.

Tofauti na Marekani hajfanikiwa dhumuni lolote na anapigana na nchi inayosimama yenyewe.
Nadhani hufuatilii habari za dunia sawasawa. Sehemu kubwa ini ile iliytekwa kuanzia mwaka 2014 na mwaka 2022 wakati Ukraine haijaimarika kijeshi. Baada ya hapo, Urusi imebaki stagant, na hadi sasa wanalindwa zaidi ya landmines walizotega wakati huo. Mwezi huu wa tatu tu, Ukraine imeshakomboa zaidi ya km za mraba 400. Vile vile kati ya October mwaka jana hadi March mwaka huu imeshakamata mateka zaidi ya 4000. Idadi ya vifo na majeraha ni ziadi ya milioni moja na laki mbili. Urusi inafaidika na kuwa na askari wengi sana kuwa wanaouliwa na kutekwa wanaonekana kuwa ni namba ndogo ukulingana na askari waliaoandikshwa jeshini, ikiwamo na wale wanajeshi wa kukodiwa,
 
Iran ishakua shithole waumin labda waanze kujilipua tu sasa siongelei mambo ya dini mie naongelea strategy na tactics
Bado huwezi kusema Iran ni shithole ilhali kiuchumi hakuna taifa linaloifikia Iran hapa Afrika.
Huwezi kuiita Iran shithole ilhali hadi sasa ameshikilia mfereji muhimu kiuchumi wa mafuta.
Pia huwezi kuiita Iran shithole ilhali serikali yake bado ipo functional.
Unless haujui maana ya shithole.
 
Nadhani hufuatilii habari za dunia sawasawa. Sehemu kubwa ini ile iliytekwa kuanzia mwaka 2014 na mwaka 2022 wakati Ukraine haijaimarika kijeshi. Baada ya hapo, Urusi imebaki stagant, na hadi sasa wanalindwa zaidi ya landmines walizotega wakati huo. Mwezi huu wa tatu tu, Ukraine imeshakomboa zaidi ya km za mraba 400. Vile vile kati ya October mwaka jana hadi March mwaka huu imeshakamata mateka zaidi ya 4000. Idadi ya vifo na majeraha ni ziadi ya milioni moja na laki mbili. Urusi inafaidika na kuwa na askari wengi sana kuwa wanaouliwa na kutekwa wanaonekana kuwa ni namba ndogo ukulingana na askari waliaoandikshwa jeshini, ikiwamo na wale wanajeshi wa kukodiwa,
Wacha kusikiliza mapropaganda ya Western.
Nafuatilia habari kuliko hata wewe.
Urusi ukiiondoa Crimea ambayo iliiteka 2018 ambayo ni sawa tu na 5%,25% iliyobaki ni kutoka Ukraine tangu 2022. Na HAKUNA ENEO AMBALO UKRAINE WAMEKOMBOA baki Urusi inazidi kubeba maeneo zaidi. Mwezi January tu wameuteka defence city of Provorsk,wewe unasema eti Ukraine anakomboa maeneo.
Jeshi la Ukraine liko DISMANTLED kiasi wanakamata hadi WAZEE road wawaingize jeshini,vijana asilimia kubwa wanakimbia. Hilo jeshi la kukomboa hizo kilometa mraba wanalitoa wapi!?
 
Nadhani wewe ndiye unyesikiliza propaganda kutoka kwenye state media za Urusi, hasa unawsikiliza akina Margarita Simonyan wa RT na Vladmir Solovyov wa Russia -1. Vyombo vingi vya habari vya west ni private na huru kabisa. Vina waandishi ambao wake embedded kwenye vita hiyo.

Donbas na Luhanski ilikuwa inakaliwa na Urusi tangu mwaka 2014zikijifanya kuwa ni nchi independent kutokana na kuwa aliyekuwa Rais wa Ukraine aliyepinduliwa alikuwa ametokea eneo hilo. Ni wakati huo huo pia ndipo pia Urusi ilipovamia Krimea kwa vile alikuwa akitegemea kuwa uongozi mpya wa Ukraine ungekletaa kurenew mkataba wa Sevastopol, sehemu iliyokuwa na kituo cha jeshi la maji la Urusi. Sehemu zote hizo tatu zilikuwa ni 7% ya ardhi yote ya Ukraine. Kuanzia 2022 ndipo aliongeza sehemu kufikia asilimia 27% lakini sasa hivi wana asilimia 20 ikiwa na maana kuwa Special Military Operation mpaka sasa hivi imekamata ardhi ya asilimia 13% tu, nyingi zikiwa ni mashamba ya wazi.
 
Kila unapoongea unadhihirisha ufinyu wako wa taarifa.
Kwanza umekubali kuwa Ukraine hajagomboa eneo lolote na Urusi inazidi kusonga mbele!??

Donbas na Luhansk zilichukuliwa percentage ya settlements sio miji yote mizima.
Pigia hesabu ya Zaporhizia,Donetsk,Kherson,Provorsk,Sumy. Na maeneo ya Luhansk na Donbas ambayo yameongezeka ni asilimia ngapi.
Kama Aljazeera,BBC na CNN wanaandika propaganda sawa.
 
Wewe una ufinyu mkubwa sana; nadhani ni Mrusi wa Kinondoni Moscow ambaye umezibwa na giza totor la propaganda. Urusi ilipovamia Ukraine kabla haijajipanga, ilichukua jumla ya asilimia 27 na leo wana asilkimia 20 ambapo asiilimia 7 ni zile walizochukua mwaka 2014 wakati Ukraine haina jeshi. Percentage hiyo unayosema ndio kwa pamoija na Crimea ilikuwa 7%. Sasa hivi zaidi ya miaka 4 wamepata asilimia 13 ambayo sasa hivi inamngonyolewa kidogo kigogo

Elewa kuwa jeshi la sasa la Ukraine limeanzishwa baada ya mwaka 2014, kwani kabla ya hapo lilikuwa ni kama jeshi la mgambo tu. Ukraine walikuwa na imani kuwa Budapest Memorandum ya 1994 ilikuwa inawalinda; Signatories wa Memorandum ile walikuwa ni Urusi yenyewe, Uingereza, Marekani na Ukraine. La ajabu ni kuwa Urusi hiyo hiyo ndiyo ikavunja makubaliano hayo na kuivamia Ukraine, hivyo ikawa ni lazima Ukraine ijianzishie jeshi lake la Ulinzi ambalo limefundishiwa Western Europe: Uingereza, Ufaransa, Germany na Marekani.

Wewe unapata taarifa zako wapi? Dunia ya leo watu wanapata habari kutoka souces mbalimbali na kuziunganisha, ila wewe kama unapata habari zako kutoka Russia Todaya tu, basi uko uninformed kabisa Mimi huwa pia natafuta habari zinazotangazwa na RT na kuzinganisha na zile zinazotoka kwenye sources mbalimbali. Kuna vyombo kadhaa vya India, Uzbekistani, Azerbaijan ambavyo viansaidia sana kuchambua uongo na ukweli. Mpaka nakwambia kuwa Marekani ana wakati mgumu katika vita ya Iran, ni kwa sababu ninapata sources za uhakika, siyo kuwa nashabikia nchi yoyote, pamoja na kwamba mwenyewe naishi Marekani.
 
Nasubiri zikianza zile za pray for Iran, stop war in Iran, ceasefire nk muda muda muda
Umesikia Trump anaomba msaada China, Japan, South Korea,. UK, na France?
Ukiona unashabikia vita, ujue una tatizo la afaya ya akili. Ushindi wa vita siyo uharibufu wa miundo mbinu ya nchi moja bali ni kukamilisha malengo yako kivita. Marekani iliivuruga sana Vitenam na North Korea kwa mabomu lakini hawakushinda vita.
 
Ceasefire, pray for Iran, stop war in Iran, hizi ndio kelele zinazofuatia
 
Bado huwezi kusema Iran ni shithole ilhali kiuchumi hakuna taifa linaloifikia Iran hapa Afrika.
Huwezi kuiita Iran shithole ilhali hadi sasa ameshikilia mfereji muhimu kiuchumi wa mafuta.
Pia huwezi kuiita Iran shithole ilhali serikali yake bado ipo functional.
Unless haujui maana ya shithole.

Muda utaongea, kumbe shithole zingine za serikali zake hazipo functional? Am out
 
Wewe una ufinyu mkubwa sana; nadhani ni Mrusi wa Kinondoni Moscow ambaye umezibwa na giza totor la propaganda. Urusi ilipovamia Ukraine kabla haijajipanga, ilichukua jumla ya asilimia 27 na leo wana asilkimia 20 ambapo asiilimia 7 ni zile walizochukua mwaka 2014 wakati Ukraine haina jeshi. Percentage hiyo unayosema ndio kwa pamoija na Crimea ilikuwa 7%. Sasa hivi zaidi ya miaka 4 wamepata asilimia 13 ambayo sasa hivi inamngonyolewa kidogo kigogo

Elewa kuwa jeshi la sasa la Ukraine limeanzishwa baada ya mwaka 2014, kwani kabla ya hapo lilikuwa ni kama jeshi la mgambo tu. Ukraine walikuwa na imani kuwa Budapest Memorandum ya 1994 ilikuwa inawalinda; Signatories wa Memorandum ile walikuwa ni Urusi yenyewe, Uingereza, Marekani na Ukraine. La ajabu ni kuwa Urusi hiyo hiyo ndiyo ikavunja makubaliano hayo na kuivamia Ukraine, hivyo ikawa ni lazima Ukraine ijianzishie jeshi lake la Ulinzi ambalo limefundishiwa Western Europe: Uingereza, Ufaransa, Germany na Marekani.

Wewe unapata taarifa zako wapi? Dunia ya leo watu wanapata habari kutoka souces mbalimbali na kuziunganisha, ila wewe kama unapata habari zako kutoka Russia Todaya tu, basi uko uninformed kabisa Mimi huwa pia natafuta habari zinazotangazwa na RT na kuzinganisha na zile zinazotoka kwenye sources mbalimbali. Kuna vyombo kadhaa vya India, Uzbekistani, Azerbaijan ambavyo viansaidia sana kuchambua uongo na ukweli. Mpaka nakwambia kuwa Marekani ana wakati mgumu katika vita ya Iran, ni kwa sababu ninapata sources za uhakika, siyo kuwa nashabikia nchi yoyote, pamoja na kwamba mwenyewe naishi Marekani.
Mie sina haja ya kusoma maelezo yako yasiokua na UHALISIA WOWOTE.
Nenda make google your friend urusi imezidi kuchukua maeneo hadi sasa ishachukua 30% ya ardhi ya Ukraien.
Wacha kutudanganya aiseee unaongea na watu wanaojielewa.
Hizo asilimia unazosemea ilikua kabla ya Urusi kubeba Sumy ma Provorsk.
UNAONGEA UTUMBO TU HAPA MAELEZO KIBAO KUMBE UFALA MTUPU.
UNATUDANGANYA ETI UKRAINE INAKOMBOA MAENEO ILHALI JANUARY MWAKA HUU IMEPOKONYWA ENEO.
 
Muda utaongea, kumbe shithole zingine za serikali zake hazipo functional? Am out
Utasemaje serikali shithole ilhali ina function!?
Haiti ni mfano wa shithole country kaitizame kama serikali yake ni functional.
 
Back
Top Bottom