Kwa Nini Marekani Duniani?

Kwa Nini Marekani Duniani?

FALSAFA

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
293
Reaction score
58
Kwanini Marekani ! Kila Kichwa Cha Mtu Duniani Anasema Yake Kwa Amerika Ivi Nchi Ya Marekani Wanategemea Nini Haswa Kwa Ubabe Wake Ambacho Ukikipata Hicho Umemuua Mwamerika

Ni Nini Icho Na Kinawezekana Kukipata Au Kukiangamiza Kabsa Kisiwepo Ulimwenguni? Na Nani Atamfunga Paka Kengere? Na Wasalisha Kwenu Wana JamiiForums KWA MJADALA WA KINA ZAIDI.
 
Nafikiri ukisema wana roho mbaya ndio utakua sahihi kuliko kutumia neno wivu. Wanachukiana hadi wao wenyewe.
Respect bredrin. Thanks for your constructive corrections. Those people are diabolical and are committing despicable atrocities.
 
America is an empire.Empires exploit and destroy conquered lands
 
Marekani is deeply regreting the Second Irak war. Vita ile haikwenda jinsi ilivyopangwa na imeigarimu mabilioni ya dola mpaka sasa. Ni kovu kubwa maana haikuwa na faida na wamarekani wengi wanajutia sana.
 
Respect bredrin. Thanks for your constructive corrections. Those people are diabolical and are committing despicable atrocities.
I think problem is their religion

Hawa watu walikua wanaishi kwa amani na wengine kabla yule jamaa hajaja,alipokuja na cult yake akaharibu kila kitu

Kuna baadhi naishi nao peace kabisa lakini akianza tu kuifuata dini yake jua hapo amani inakwenda kuisha na urafiki unaisha

Their religion turns people to monsters and vampire who drinks human blood
 
Respect bredrin. Thanks for your constructive corrections. Those people are diabolical and are committing despicable atrocities.
Ishmael they are very satanic philosophical and psychological they never believe in the real inner voice of humanity
 
Last edited by a moderator:
Sasa hili linahusianaje na mada?

Mtoa mada anaongelea Marekani, hilo moja. Mtoa mada anataja ubabe wa marekani, namba mbili. Tatu anasema nani atamfunga paka kengele. sasa mimi nachangia hoja kwa kubase kwa Marekani, moja. Nimechukua vita ya pili ya Irak kuelezea ubabe wa Marekani. Tatu nataja wamarekani wenyewe ambavyo hawakuona umuhimu wa vita hii na hizo weapons za mass destruction hazikupatikana. Wamarekani wenyewe watajifunga kengele.The change will come from within Period

Kuchambua mada si lazima uangalie upande mmoja. Kuna approches nyingi.
 
Vita ya pili dhidi ya Iraq ilikuwa na lengo la kumng'oa Sadam Hussein ambaye alikuwa mfadhili mkuu kwa kila familia ya wapelestina ambayo ilitoa au alitokea kijana wa kipalestina aliyejitoa mhanga kujilipua katikati ya wayahudi. Inasemekana Sadam Hussein alitoa US dola 25,000 kwa kila familia iliyopotelewa na kijana wao aliyejitoa mhanga.

Baada ya kummaliza Sadam Hussein visa vya vijana wa kipalestina kujitoa mhanga imepungua sana.

Pamoja na ukweli huo,Israel pia imeimarisha sana mbinu na teknolojia ya kujilinda na wanaojitoa mhanga.
 
I think problem is their religion

Hawa watu walikua wanaishi kwa amani na wengine kabla yule jamaa hajaja,alipokuja na cult yake akaharibu kila kitu

Kuna baadhi naishi nao peace kabisa lakini akianza tu kuifuata dini yake jua hapo amani inakwenda kuisha na urafiki unaisha

Their religion turns people to monsters and vampire who drinks human blood
Mtumishi, umelenga penyewe kabisa kwenye line yako ya mwisho. That old serpent/Satan, is the father of jibril's religion. The despicable atrocities committed by these grandsons of Allah are pure fiendish and diabolical and only Satan can do that.

Truly, this cult causes mental illness to these followers or middle eastern illiterate prophet.
 
Ishmael they are very satanic philosophical and psychological they never believe in the real inner voice of humanity
In fact, the father of this religion is Satan. Just compare the attributes of Satan and Allah!!! They are the same, to wit
 
Kwanini Marekani ! Kila Kichwa Cha Mtu Duniani Anasema Yake Kwa Amerika Ivi Nchi Ya Marekani Wanategemea Nini Haswa Kwa Ubabe Wake Ambacho Ukikipata Hicho Umemuua Mwamerika

Ni Nini Icho Na Kinawezekana Kukipata Au Kukiangamiza Kabsa Kisiwepo Ulimwenguni? Na Nani Atamfunga Paka Kengere? Na Wasalisha Kwenu Wana JamiiForums KWA MJADALA WA KINA ZAIDI.

Wajapan walijaribu kumfunga paka kengele nenda kawaulize watakupa majibu yake.
 
Always to fall 4 one empire is 2 rise 4 nother!. Tangu kuanguka kwa dola la rumi, hakuna taifa lilipata kujiinua kama Marekani. Rumi waliitawala hii dunia kwa karibu miaka 300, wakati huo kukiwa na technologia ya kizamani, kulikuwa hamna magari, bali farasi. Majeshi ya rumi yalikuwa hayana bunduki, tanks, missiles, ndege nk, wao walitumia panga, jambia rungu na mawe, lakini walishinda vita nyingi.

Marekani kwa sasa ndio taifa kubwa kabisa linapokuja swala la uchumi, technologia, jeshi, na ushawishi. Mataifa/nchi zote duniani zinataka kufanya biashara na hawa jamaa. Pesa yao ndio kila kitu. Unapofanya biashara ya kimataifa inakuwa intems of dollar.

Nani wa kumfunga paka kengele. Europian Union. France, German, Italy England kwa pamoja ndio wanaongoza kwa kuwa na uchumi, technolog na ushawishi linapokuja mambo yanayohusu EU. Lakini tayari wana mahaba na marekani. Mimi naamini Labda China itakuja kuweza.
 
Back
Top Bottom