Kwa Nini Marekani Duniani?

Kwa Nini Marekani Duniani?

Cjui kwanini hwa nakafir wana chuki na uislam.

MAKAFIR hawatupend wanachuki ndani ya mioyo yao ambayo ni mikubwa zaidi kulikon wanayodhihirisha.kama ya mioyon ni mikubwa ikoje?afu twajifanya twawapenda sana wao hawatupendi.
 
MAKAFIR hawatupend wanachuki ndani ya mioyo yao ambayo ni mikubwa zaidi kulikon wanayodhihirisha.kama ya mioyon ni mikubwa ikoje?afu twajifanya twawapenda sana wao hawatupendi.
siumiz kichwa juu ya makafir maana quran yangu imeshanijuuza kua hawatokua radhi mayahudi na manasara mpaka tufuate wanayoyataka ,mengi wametuletea ila waislam tumeyapinga na ndio maana juu ya kukamilisha ajenda yao wakaona bora wautie doa uislam kwa kifadhili vikundi tofauti na kusingizia kua ni jihad ili uislam uchukiwe na watu wahisi kua ni dini ya mauaji .kiukweli jamaa hawatokua radhi mpka waone uislam umetoweka
 
Kwanini Marekani ! Kila Kichwa Cha Mtu Duniani Anasema Yake Kwa Amerika Ivi Nchi Ya Marekani Wanategemea Nini Haswa Kwa Ubabe Wake Ambacho Ukikipata Hicho Umemuua Mwamerika

Ni Nini Icho Na Kinawezekana Kukipata Au Kukiangamiza Kabsa Kisiwepo Ulimwenguni? Na Nani Atamfunga Paka Kengere? Na Wasalisha Kwenu Wana JamiiForums KWA MJADALA WA KINA ZAIDI.
yani kafiri akimuelezea muislam lazima atamuelezea kwa sifa ya gaidi ,yani wamelishwa matango pori mpaka yamewavimbisha kiasi kwamba hawataki kufaham upande wa pili yupo nani anaeyatengeneza haya masuala ya ugaidi na washirika wake yani hakuna tofauti na walivyoaminishwa kua ati muafrica si lolote si chochote kumbe sivyo kiukweli ndugu zetu tunakuombeni mtambue ku nyuma ya pazia yupo nani anaeshadidia kutia dosari kwenye ukweli na uhalisisa.huku ndo kwenye ukweli mdo maana unatiwa dosari usifuatwe
 
Haya wafukua makaburi,ile ni muunganiko wa mataifa na kuwa,kama utawala mmoja hivyo kila wanachofanya wako stable kuna kila race za binadamu kule mpka wanyakyusa.
 
I think problem is their religion

Hawa watu walikua wanaishi kwa amani na wengine kabla yule jamaa hajaja,alipokuja na cult yake akaharibu kila kitu

Kuna baadhi naishi nao peace kabisa lakini akianza tu kuifuata dini yake jua hapo amani inakwenda kuisha na urafiki unaisha

Their religion turns people to monsters and vampire who drinks human blood
Sawa mkuu kuna kitu pengine nimekipata hapa, ingawa uislam na ugaidi ni vitu viwili tofauti, na uislam sio ugaidi wala ugaidi sio uislam ila kuna mstari mdogo sana unatenganisha hivi vitu viwili. Hivyo mbali na mambo mengine ila chuki ya waarabu na wamarekani ni ukrisu na uislam.
 
Back
Top Bottom