mzibua chemba
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 476
- 412
Nawakubali sana wale wenzetu wa upande wa pili kwa kua wanajua kujisitiri na kuficha toka nywele mpaka unyayoni hili linapunguza mwanaume usimtamani ovyo ovyo
Mwanaume ni mtu anaesisimka haraka sana aonapo maungo ya mwanamke hivi hawa madem wanaovaa mishanga rundoooo alafu huifuniki hivi mnategemea nini? Shanga nyingi ni uchafu uliopitiliza...