Kwa nini kina dada hamsitiri maungo yenu?

c428c7d52231b97f681c5ce4d022c3e8.jpg
340cfcd38289425e68cd67cf0937d168.jpg
37533b805ba256152a2412c7cf39e3e1.jpg
62a69bd1663ea89e64b285926d61b96d.jpg
Hiyo picha ya mwisho, daah kyupi inalalamika kwa ujazo wa ukweli
 
Hahaaa HuweZi wala
siwezi nini sasa? sema poo, mi tulishawahi kutana na wewe na huwa unajifanya haujulikani ila mimi nakufahamu personally. nina maana tulishawahi kukutana kimwili na sio mara moja na wewe hapo.
 
Nawakubali sana wale wenzetu wa upande wa pili kwa kua wanajua kujisitiri na kuficha toka nywele mpaka unyayoni hili linapunguza mwanaume usimtamani ovyo ovyo
Mwanaume ni mtu anaesisimka haraka sana aonapo maungo ya mwanamke hivi hawa madem wanaovaa mishanga rundoooo alafu huifuniki hivi mnategemea nini? Shanga nyingi ni uchafu uliopitiliza...
Wanavaa hivyo kimkakati zaidi maana wanaujua udhaifu wenu wanaume!
 
Ukivaa hayo mnayaita mashanga kwangu kabla ya game utayavua aisee!Upuuzi sana ule
 
Unafikiri kama msingekuwa hampendi kutoka moyoni wangekuwa wanavaa hivyo kweli?? Tuweni waungwana wanaume ndo kichokoo cha wao kuvaa hivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom