Kwa nini kina dada hamsitiri maungo yenu?

Machizi watakusaidia kumchizisha shemeji, wakati ukiona uchafu hebu imagine ndivyo Shem aonavyo?
Kwani house girl huwa ni msafi sana zaidi ya mama mwenye nyumba!?
Chizika,Chizisha,Chizishana,.....
Ha ha ha mkuu sivai hizo kitu wamchizishe tu mi lengo maendeleo yangu na familia
 
sishawishiki. ..yani shanga neh
endelea kuishi unachokiamini mkuu...
niliambiwaga na dada mmoja eti shanga zina maana zake
1.nyekundu
2.blue
3.njano
4.nyeusi...
akivaa nyekundu mume anajua leo NO...(she is found in biological event)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom