Kwa nini kabila la Wakurya bado wana mila za kizamani za kuwachagulia watoto wao wake/waume?

Amang'ana gaserikire; Mwisiki taatiga bungu bungu. Ila watani zangu hii tabia ni yenu hawajawasingizia. Ila navyojua hawaja m-dis huyu mdada totally ila lazima atafutiwe kaisiki toka tarime au bunda kama second wife.

Wa mjini nakubali hawafati hii mila; but have lots of people nao wajua walioolewa wake na wazazi wao vijijini na wakaishi nao. But as long as mnaona ni utamaduni bomba sioni shida; tatizo wadada mnaingia vichwa vichwa bila kuuliza. Watu wakileta uzi kuhusu kabila humu mnakimbilia kulalamika ooh ukabila.

Watu tuna data za makabila tungeweza kuwa rescue.

Umurisya ono omokangi sana mura yani no obhokangi akogamba hao..wivu tu..kurya the great tribe we are proud of being kuryans..asietupenda ajinyonge...
 
thanks ! Mkuu..kwani si ukaolewe na mchagga mwenzio? Na jf trust me,huyu dada ni mchagga tu,wakurya na wachaga ni vitu viwili tofauti sana linapokuja suala la ndoa.

Poleeee sana wewe uliye na fikra chafu na potofu!kwa taarifa yako sio mchaga!hivi karne hii jamani watu mnaongesa kuhusu makabilaaa!Mwl. Nyerere angekuwepo nahisi angewa:hatari:
Anyway, sio kosa lako. Thanks anyway
 
Amang'ana gaserikire; Mwisiki taatiga bungu bungu. Ila watani zangu hii tabia ni yenu hawajawasingizia. Ila navyojua hawaja m-dis huyu mdada totally ila lazima atafutiwe kaisiki toka tarime au bunda kama second wife.

Wa mjini nakubali hawafati hii mila; but have lots of people nao wajua walioolewa wake na wazazi wao vijijini na wakaishi nao. But as long as mnaona ni utamaduni bomba sioni shida; tatizo wadada mnaingia vichwa vichwa bila kuuliza. Watu wakileta uzi kuhusu kabila humu mnakimbilia kulalamika ooh ukabila.

Watu tuna data za makabila tungeweza kuwa rescue.

Lol, najuuuuuuuuuuuuuuta kuoana na hhuyu Mkurya na nailaani siku niliyokutana nae, lol!
 
Poleeee sana wewe uliye na fikra chafu na potofu!kwa taarifa yako sio mchaga!hivi karne hii jamani watu mnaongesa kuhusu makabilaaa!Mwl. Nyerere angekuwepo nahisi angewa:hatari:
Anyway, sio kosa lako. Thanks anyway

si uondoke hapo sasa,
 
wewe dada hujui kuheshimu mume ndio maana mnaolewa siku 2 mnaachika sasa ww umekaa na mtu miaka yote hiyo bado ulikua hujagundua kwamba hafai leo unakuja hapa kwa sentiments za tribalism...we tuache bana rudisha mtoto wetu tambaa mbele...kwanzandoa ni kati yako na mumeo, sio mama mkwe na pili wewe mwenyewe unasema kabila hili halijastarabika, sisi wakurya hatuna majungu wala uchawi, ndio maana kunatofauti ya maisha ya pwani na Mara, pale tukikosana ni tifu yanaisha nyie waswahili mpk kutoana mishipa na maneno kibao..sasa heshimu mume halafu tulia akuoe usilete hasira za kuahirishwa kwa harusi unakuja kutuandama kabila zima!!!

Mind u...Every General rule has got its exception.....

Hujui unachokiongea!Ila net time, tumia busara ktk kutoa ushauri kwa mtu. As far as I know humu JF watu wanashauriana kistaarabu. Telling me siju kuheshimu mume inahusiana nini na ushauri niliyoomba? Una uhakika sijui kumheshimu mume? Thanks for your advice anyway.
 
Jaribu kupunguza jazba, kwani ukitumia hasira ulizozibeba kwa kukataliwa na wakwezo utakaribisha mapovu mengi hapa, kwani naona umeanza hadi kutumia lugha ya matusi. Hayo yaliyokukuta ni kweli yanatokea, mie ni mkurya na ninayakubali, lakini pia pengine kuna tabia fulani umewaonesha wakwezo kutokana na kaelimu hako ulikonako na wamehisi kuwa "you are not the type of a woman they would recommend kwa kijana wao".

So ungeomba ushauri jinsi gani uweze kudeal nao ili hatimaye ukubalike tungekusaidia, rather umeanza kwa kulitukana kabila zima, na zigo lako baki nalo.

Asante sana kwa ushauri wako!!!!!Ila kwa hizi comments zenu napata picture fulani nzuri sana. Thanks
 
Naombeni ushauri wana jammii. Nimeishi na mwanaume wa kikurya kwa miaka saba sasa na tuna mtoto mmoa. Familia ya mwanaume huyu ni ya ajabu sijawahi kuona!Ndugu na wazazi wake ni watu wa ajabu kiasi kwamba nashindwa kuelezea!Kilichonisikitisha ni kitendo cha kuzuia harusi iliyokuwa ifanyike mwisho wa mwaka huu, sababu eti kwanza mie msomi, pili kijana wao akinioa (sio mkurya mwenzie) basi wao watampoteza mtoto wao na hawatapata tena msaada toka kwake. Jamani hebi nipeni mawazo yenu, nifanyeje?[/QU Thibitisha kwa kufanya against na wanachohofia
 
Walimweuzi,
Kwanza pole kwa yaliyokukuta. Mimi ni Mkurya na nimeona Uchagani. Ninachoweza kukwambia ni kwamba katika familia yoyote na kabila lolote lile mtu unapopeleka taarifa ya kuoa mara nyingi wanandugu wanakuuliza umempenda huyo unaetaka kumuoa? Wengine watakushauri uoe kabila lako lakini uamuzi wa mwisho anao mwanaume mwenyewe kama ataoa huyo anaetaka kuoa au kuoa kabila lake.

So ninachotaka kusema hapa ni kuwa huyo Kaka yangu anaetaka kukuoa ndiye mwenye matatizo na siyo ndugu zake wala kabila letu. Kama tayari mmeshaishi nae na tayari mmezaa hakuna wa kuwazuia. Huyo Kaka yangu hana nia ya dhati ya kukuoa maaana ilipaswa asimamie msimamo wake.
 
pole,naona wamekuja kukushambulia....waluga luga tu hao mie nawajua vizuri,ila na wewe ulikosea ulitakiwa ufuate A B C.... kumjua huyo mwanaume,kujitambulisha kwao ndio uishi naye lastly uzae nae,wewe umeanza na kuishi naye na kuzaa naye,hujafuata mlolongo unavyotakiwa imekula kwako....hata hivyo bora umemuepuka mwanaume wa kikurya wanaongoza kwa kuwa na nyumba ndogo na nyumba za mitala na ni wanyanyasaji wa wanawake hata kama wamesoma vipi.......

Wewe dada huwa nakuheshimu ila leo umevua nguo zote ukatupa mbele za watu!!! siamini kama wewe ndio unaropoka mambo ya hovyo hivi..hivi wazinzi wote hapa Afrika ni wakurya hata Clinton alipokua na Monica nae ni mkurya!!! shame on you!!! you better speak things your sure of, not from the lines of hatred and sentimentalism...wewe naropoka kama umemwagiwa maji ya moto toa ushahidi usihukumu watu tu unheard...dont be bias...unless sema una chuki na wakurya sasa unaongea pumba tu...

Sisi tupo ni wakurya wala hatuna wasiwasi nyie wenye viroho vya wivu mnapoteza mda kutujadili...small minders always speak about other peoples life...
 
Hujui unachokiongea!Ila net time, tumia busara ktk kutoa ushauri kwa mtu. As far as I know humu JF watu wanashauriana kistaarabu. Telling me siju kuheshimu mume inahusiana nini na ushauri niliyoomba? Una uhakika sijui kumheshimu mume? Thanks for your advice anyway.

Unajikweza kwamba umesoma hivi siku hizi kuna hayo mambo ya usomi kwenye ndoa?!! wewe hujaona yule mama alikua Makamu wa Rais wa Uganda alikua anapeleka umakamu wake wa Rais nyumbani eti hataki kupikia mume kisa makamu, mzee akampa tifu la hatari..kaenda kwa Mseveni ana makovu kuulizwa kulikoni kasema mume kanipiga nimemweka ndani..katimuliwa kazi ya Umakamu wa Rais!!!

kisa hapo ni kutumia mamlaka yake yawe ya elimu ama nafasi ya kazi mpaka nyumbani...hilo haliwezekani hata ungeolewa na Mhaya bado hatakubali uppuuzi, wewe chukua nafasi yako kama mke sio kusema umesoma watu wasesoma wanaluba tu mtaani wewe unasema nini hapa!!! nyie vipi bana...mnachuki na wivu tu....
 
Unajikweza kwamba umesoma hivi siku hizi kuna hayo mambo ya usomi kwenye ndoa?!! wewe hujaona yule mama alikua Makamu wa Rais wa Uganda alikua anapeleka umakamu wake wa Rais nyumbani eti hataki kupikia mume kisa makamu, mzee akampa tifu la hatari..kaenda kwa Mseveni ana makovu kuulizwa kulikoni kasema mume kanipiga nimemweka ndani..katimuliwa kazi ya Umakamu wa Rais!!!

kisa hapo ni kutumia mamlaka yake yawe ya elimu ama nafasi ya kazi mpaka nyumbani...hilo haliwezekani hata ungeolewa na Mhaya bado hatakubali uppuuzi, wewe chukua nafasi yako kama mke sio kusema umesoma watu wasesoma wanaluba tu mtaani wewe unasema nini hapa!!! nyie vipi bana...mnachuki na wivu tu...

Tatizo lako unakurupuka bila kujua wala kufahamu what actually is a problem! Tatizo sio mimi kujikweza kwa sababu ya elimu na I have never boasted myself kwa elimu yangu!Thanks anyway kwa maoni yako
 
Wewe dada huwa nakuheshimu ila leo umevua nguo zote ukatupa mbele za watu!!! siamini kama wewe ndio unaropoka mambo ya hovyo hivi..hivi wazinzi wote hapa Afrika ni wakurya hata Clinton alipokua na Monica nae ni mkurya!!! shame on you!!! you better speak things your sure of, not from the lines of hatred and sentimentalism...wewe naropoka kama umemwagiwa maji ya moto toa ushahidi usihukumu watu tu unheard...dont be bias...unless sema una chuki na wakurya sasa unaongea pumba tu...

Sisi tupo ni wakurya wala hatuna wasiwasi nyie wenye viroho vya wivu mnapoteza mda kutujadili...small minders always speak about other peoples life...

Makubwa!!!!
 
Walimweuzi,
Kwanza pole kwa yaliyokukuta. Mimi ni Mkurya na nimeona Uchagani. Ninachoweza kukwambia ni kwamba katika familia yoyote na kabila lolote lile mtu unapopeleka taarifa ya kuoa mara nyingi wanandugu wanakuuliza umempenda huyo unaetaka kumuoa? Wengine watakushauri uoe kabila lako lakini uamuzi wa mwisho anao mwanaume mwenyewe kama ataoa huyo anaetaka kuoa au kuoa kabila lake.

So ninachotaka kusema hapa ni kuwa huyo Kaka yangu anaetaka kukuoa ndiye mwenye matatizo na siyo ndugu zake wala kabila letu. Kama tayari mmeshaishi nae na tayari mmezaa hakuna wa kuwazuia. Huyo Kaka yangu hana nia ya dhati ya kukuoa maaana ilipaswa asimamie msimamo wake.

Thanks kwa busara zako kaka. Unachosema ni kweli, lakini naomba nikwambie kuwa mimi ni mwanamke wa nne kukataliwa na wazazi wake!Na si yeye tu ila hata kaka na wadogo zake watatu pia wamefanyiwa mchezo huu huu. kATIKA HILO NAOMBA UTAMBUE KUWA TATIZO KUBWA NI WAZAZI WAKE.Tatizo jingine ni kwamba huyu mpenzi wangu ni mtoto wa pekee ambae ni tegemeo kwa familia yake na ndo mana wanaogopa asioe. walimwambia waziwazi kuwa ukioa sie hatutapata msaada toka kwakO. Hawajui kuwa miaka yote hiyo tuloishi tuliona tusifunge ndoa ili awasaidie kwanza ndugu na wazazi wake, and to be honest mafanikio mengi sana ya kwao nimeyafanikisha mimi. Hata kuishi na ndugu zake mimi ndiye niliyeshauri afanye ivyo ingawa yeye alikuwa against kuishi nao. Ni mengi mno yapo humo ila one thing I believe, no matter what happens, God loves me and he is going to do something in this.
Thanks for your encouraging words!
 
Naombeni ushauri wana jammii. Nimeishi na mwanaume wa kikurya kwa miaka saba sasa na tuna mtoto mmoa. Familia ya mwanaume huyu ni ya ajabu sijawahi kuona!Ndugu na wazazi wake ni watu wa ajabu kiasi kwamba nashindwa kuelezea!Kilichonisikitisha ni kitendo cha kuzuia harusi iliyokuwa ifanyike mwisho wa mwaka huu, sababu eti kwanza mie msomi, pili kijana wao akinioa (sio mkurya mwenzie) basi wao watampoteza mtoto wao na hawatapata tena msaada toka kwake. Jamani hebi nipeni mawazo yenu, nifanyeje?[/QU
Thibitisha kwa kufanya against na wanachohofia
Nimeshafanya ivyo so many times!Nilishaenda nae kwao na tukajenga nyumba ambayo kwa sasa wanaishi!I have done a lot in this family ila sijui whats the matter!One thing I am worried ni my baby!Nafikiria sana future yake!For me naweza ku sacriifice my love for the guy ila tu mtoto wangu namppenda sana na ninafikiria kuhusu future yake.
Thanks.
 
bhuyo mbo bhohene,let them say whatever they wish,pamoja na elimu yangu kubwa kiasi,i will neva break up my traditions eti kwa vile nimesoma,by the way this woman has not been forced to get married wit mkurya,haina haja ya kuanzisha uzi ili atoe masimango yake dhidi ya kabila letu imara hapa

Hapo mwanzo sikukuelewa, sory for that. Then im sory kama nimelisimanga kabila lenu ila laiti kama ungejua the whole story kamwe usingetoa comment uloitoa. By the way im not forced kuolewa na mkurya!I can leave the guy and live my life!One thing i am considering ni mtoto!I can get married to someone else na he too!Fikiria huyu mtoto atakuwa ni member wa familia gani?Kwa mtu mwenye maadili na anayemjua Mungu daima atajenga na sio kubomoa. Thanks kwa mawazo yako mwana JF
 
Acha kung'ang'ania ku generalize,me mkurya na hakuna hata mmoja wa kaka zangu watano aliyeoa mkurya,nasi karibu wasichana nane hakuna aliyeolewa na mkurya,zaidi dada yangu ameolewa na mtu wa tanga mama mkwe wake nae alikuwa anataka mwanae aoe kwao tanga ila uzuri shemeji akawa na msimamo
Hakuna binti katailiwa kwetu na this ,hii ni kwa ukoo na close family.
So na wewe ombea huyo mwenzio awe na msimamo

Thanks, Ila sijui background yaa familia yenu!Sentensi yako ya mwisho nimeipenda.
 
Nahisi ndicho kitakukosesha mume
Una majivuno, majigambo na kiburi cha elimu, kitu ambacho kwa mwanamke "Wife material" ni rare.
So usipojirekebisha katika hili hakuna familia itakayokukubali uingie kwao
U will end up married by your ****in education and money
na Nina wasiwasi kama elimu yako kweli imekuelimisha
.

Lol, usilolijua ni kama usiku wa giza!Anyway uhuru wa kuongea unao!
Thanks
 
Acha kung'ang'ania ku generalize,me mkurya na hakuna hata mmoja wa kaka zangu watano aliyeoa mkurya,nasi karibu wasichana nane hakuna aliyeolewa na mkurya,zaidi dada yangu ameolewa na mtu wa tanga mama mkwe wake nae alikuwa anataka mwanae aoe kwao tanga ila uzuri shemeji akawa na msimamo
Hakuna binti katailiwa kwetu na this ,hii ni kwa ukoo na close family.
So na wewe ombea huyo mwenzio awe na msimamo

Thanks, Ila sijui background yaa familia yenu!Sentensi yako ya mwisho nimeipenda.

Pole kwa matatizo yako,but hadi sasa nadhani umeshaelewa kwenye kesi yako tatizo si kabila bali ni wakwe zako na mtarajiwa wako
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom