mkwawa gabriel
Senior Member
- Apr 7, 2012
- 100
- 23
- Thread starter
- #21
Kumbe weng tunaitaji, lakin nataka kuuliza iv ni kwa sababu tatizo la ajira au ni moyo wa dhat wa kuitumikia nchi, maana ulivokua Chuo, ingawa kuna ambao wanapenda toka utoton lakin nafas iyo duuuh ndo mana wimbi la uhitaj linakua kubwa na wenyewe wanaanza kubana wanavojua wao kama umri, kwa mfano siku zote ilikua mpaka 33 kwa proffesinal, wameminya kidizn mpaka 25, afu saiz naskia tena wameminya wanataka sayance tu!
sayansi 2po lakin fursa hyo hatuipati au kuna siasa?tayari inatawala?