Kwa nini JKT wanafanya hivi?

Kwa nini JKT wanafanya hivi?

mkwawa gabriel

Senior Member
Joined
Apr 7, 2012
Posts
100
Reaction score
23
Great thnker michango yenu ni muhimu xana juu ya hili suala
Nikwanin hiki chombo kwa upande wakujitolea wanachukua wazalendo wenye miaka 18-23 tu wakati watanzania wengne wenye umri wa kuanzi miaka 23-28 ndo wanamaliza vyuo mbali na wanania ya kujiunga nao pia?je hawafai na kwann?hawachukuliw kwa kujitolea?
swala la mujibu wa sheria linawahusu 4m six na vyuo vya ualimu na ni mda mfupi
Jeshi hli halioni umuhmu wa kuongeza umri kutoka miaka 18-23 walau kufikia 28 ili vijana wenye elmu ya juu nao wapate kujitolea nakujifunza mengi huko na lawama za ukosefu wa ajira nchini zikapungua kwan wataweza kujiajiri kwa ujuzi walio upata huko
Nawasilisa kwenu wana jamvi maon chanya ni muhimu kuliko hasi!
 
Mazoezi na mafunzo ni magumu kwa over age!

Sio sababu hii, mtu wa miaka 28 ana uzee gani wa kushindwa mazoezi na ni mazoezi gani hayo unayomaanisha? Mbona umri wa officer cadet ya jwtz ni hadi miaka 33. Ipo sababu zingine (za kitabia zaidi) na si uwezo wa kimwili.
 
aiseee babayangu kwa ninavyo jua kama unaelimu kwanzia digree na kwendelea wanachukuwa kwanzia 18 mpaka 32 ila lazima ununue fomu wanaitwa baba kani2ma lakini ukipitia mkoan lazima uwe na umir wa miaka 18 mpaka 24
 
dah,we mpaka ununue fomu tena mbona chombo hki ni kisafi hakiusian na mambo ya pesa inavyo semekana mie nahitaji hyo fomu kama itawezekana
 
Kumbe weng tunaitaji, lakin nataka kuuliza iv ni kwa sababu tatizo la ajira au ni moyo wa dhat wa kuitumikia nchi, maana ulivokua Chuo, ingawa kuna ambao wanapenda toka utoton lakin nafas iyo duuuh ndo mana wimbi la uhitaj linakua kubwa na wenyewe wanaanza kubana wanavojua wao kama umri, kwa mfano siku zote ilikua mpaka 33 kwa proffesinal, wameminya kidizn mpaka 25, afu saiz naskia tena wameminya wanataka sayance tu!
 
Huko kwenye officers cadet wanaoenda ni wanajeshi, so it means hao tayari wana mafunzo ya kutosha na hata akienda akiwa na umri wa miaka 30 anaweza kumudu hayo mafunzo!!!! ila otherwise kwa watu ambao ni form four entry age ya jeshini ni 23 maximum!!!!
 
Officer cadet hata raia wanakwenda bwana.
 
Magereza mbona wamefanya fair na wamepambanua vzr 18-23 wasio na ujuz na 18-28 kwa wenye taaluma kwa nn chombo hk hakifanyi ivyo kwa nn?mpambanuo wa kwa nn na wenye mashko unahtajika ili wa2 2elewe 2sifanye siasa za kusikia real thnkng is need
 
Huko kwenye officers cadet wanaoenda ni wanajeshi, so it means hao tayari wana mafunzo ya kutosha na hata akienda akiwa na umri wa miaka 30 anaweza kumudu hayo mafunzo!!!! ila otherwise kwa watu ambao ni form four entry age ya jeshini ni 23 maximum!!!!

haya kwa form 4 entry 23 ina maana ambao ni above entry ya 4m 4 umri wao ni up?ndo swali lilipo na kwa nn hawachukui above dat?
 
aiseee babayangu kwa ninavyo jua kama unaelimu kwanzia digree na kwendelea wanachukuwa kwanzia 18 mpaka 32 ila lazima ununue fomu wanaitwa baba kani2ma lakini ukipitia mkoan lazima uwe na umir wa miaka 18 mpaka 24

iyo fomu inauzwa sh ngapi?
 
Back
Top Bottom