Kwa nini dr. Slaa anaingia jf mara kwa mara?

Mara nyingi Dr. Slaa anapochangia hoja mbalimbali hapa jamvini kuna watu wengine wanatoa lugha za kejeli kwake na hata baadhi kumtukana. Lakini kwa nini basi haachi kuingia na kuchangia Hoja? (TUJADILI)

Binafsi naamini Slaa (PHD) ni mtu au ni kiongozi tofauti sana na viongozi wengine wa Tanzania na hasa Africa kwa ujumla, anaumia sana anapoona watu humu jamvini wanatoa hoja zinazodhihirisha kutokuelewa kwao kwa mambo ya kitaifa au tu kwa kuwa na maslahi binafsi na serikali au chama tawala.

Dr. Slaa anaumia sana kuona nchi inageuka mtaji wa watu wachache ambao unachochewa na watanzania wenyewe kutojitambua na kutotambua ni nini iliyohaki yao kutokana na rasimali za nchi yao waliyopewa na Mungu BURE.

Slaa Dr. ni mtu ninaye mhusudu, ninampenda, ninamheshimu, ninamdhamini na nitaendelea kufanya hivyo kwa nafsi yangu si kwa sababu ya chama chake, sura yake, imani yake na vitu vingine kama hivyo, ila ni roho yake ya kibinadamu, kusimamia haki, kuwa muwazi kwake binafsi, na hekima aliyopewa na MUNGU ili kutetea haki za wanyonge wana wa Taifa hili tunaoumia kwa maslahi ya watu wachache na familia zao na marafiki zao ambayo ni mazao ya msingi mbovu wa Taifa.

Hivi kweli kwa wengine (wanaojifanya miungu watu) wenye hadhi kama ya Dr. Slaa kitaifa na kimataifa wanaweza kujumuika na sisi hapa jamvini? ukizingatia wengine hapa JF ni fyatu.

Siku na Mimi Questt Nikigombea Uprezidaa Mtaniuliza swali kama Hili??? Kuwa why nakua nalog inn frequently JF??? Sr. Slaa is a JF member na ndicho kitu kinachompa Haki ya Kucontribute kwenye mada.
 
WanaJF,
Elimu haina mwisho hadi unaingia Kaburini. Ninaingia mitandao mbalimbali na siyo JF tu. Naamani ni mahali pia ninaweza kutoa mchango wangu wa mawazo licha ya kujifunza kutoka kwa wenzangu. Ningetamani kuona tunajadili hoja zenye manufaa zaidi kwa Taifa letu kuliko kutukanana na pengine kama kweli mtu haelewi kitu ni vema akaelmishwa. Ushabiki, unapoteza sana muda, na kwa bahati mbaya tunasahau kuwa muda ni fedha na sehemu ya umaskini wetu inasababishwa na kukosekana kwa umakini katika kutumia mitandao kama hii "constructively and positively". Mitandao pia ni "very informative". Kwa wale wasiojua, takriban kipindi chote cha Kampeni sikuwa ninasoma magazeti kwa kuwa sehemu nyingi ya nchi yetu au magazeti hayafiki au yanafika kwa kuchelewa sana. Lakini source yangu kubwa ya Information ilikuwa mitandao ambayo nilikuwa ninatumia. That is probably the difference tuko tunaotumia mitandao kwa Tija na wako wanaotumia mitandao destructively. I think this is where we can make the difference. The issue is who decides what is constructive and what is destructive, there are always rules of objectivity and this is what rolls the ball.

Ni kweli, Dr. uko sahihi
 
Siku na Mimi Questt Nikigombea Uprezidaa Mtaniuliza swali kama Hili??? Kuwa why nakua nalog inn frequently JF??? Sr. Slaa is a JF member na ndicho kitu kinachompa Haki ya Kucontribute kwenye mada.

Mkuu kuna watu wakipata sufuria Chungu wanakisahau!
 
Dr, karibu sana jamvini mi napenda sana jinsi unavyochangia hoja kwa mifano na ndio maana kikwete anakuogopa sana. Na kamwe hawezi kubali mdahalo na wewe. Hasta la victoria siempre.
 
wanajf,
elimu haina mwisho hadi unaingia kaburini. Ninaingia mitandao mbalimbali na siyo jf tu. Naamani ni mahali pia ninaweza kutoa mchango wangu wa mawazo licha ya kujifunza kutoka kwa wenzangu. Ningetamani kuona tunajadili hoja zenye manufaa zaidi kwa taifa letu kuliko kutukanana na pengine kama kweli mtu haelewi kitu ni vema akaelmishwa. Ushabiki, unapoteza sana muda, na kwa bahati mbaya tunasahau kuwa muda ni fedha na sehemu ya umaskini wetu inasababishwa na kukosekana kwa umakini katika kutumia mitandao kama hii "constructively and positively". Mitandao pia ni "very informative". Kwa wale wasiojua, takriban kipindi chote cha kampeni sikuwa ninasoma magazeti kwa kuwa sehemu nyingi ya nchi yetu au magazeti hayafiki au yanafika kwa kuchelewa sana. Lakini source yangu kubwa ya information ilikuwa mitandao ambayo nilikuwa ninatumia. That is probably the difference tuko tunaotumia mitandao kwa tija na wako wanaotumia mitandao destructively. I think this is where we can make the difference. The issue is who decides what is constructive and what is destructive, there are always rules of objectivity and this is what rolls the ball.

wewe ni lulu ya watanzania walio wengi kama alivyo obama kwa wamarekani walio wengi. Uongozi wako una tija na maneno yako yanatia faraja na tumaini. Ninakuunga mkono kwa kuwa unasimamia haki na unaongea kwa takwimu na data halisi. Uliwalipua list of shame, ulilipua bot, ulilipua epa, na uliweka wazi katiba mpya ni priority ili kumkomboa mtanzania. Bado una deni la kuelezea asilimia 64% zilizochakachuliwa kama vipi peleka vielelezo wikleak wamwage hadahrani. Ni kweli wana jf tumetofautiana kimtazamo lakini kwa vyovyote na kwa mzalando yeyote atakupa high rating kwa jitahada zako za kumkomboa mtanzania mnyonge -unapigania elimu na afya bure, makazi bora, maslahi bora, uwajibikaji makini wa serikali kuondekana na maadui ufisadi, ujinga, na maradhi . Sisi bado tunaamini inawezekana maisha bora kwa kila mtanzania kwa katiba mpya na kwa chadema kuitawala nchi hii. Wengi tumefarijiki mlivyotengea kirusi cha kabwe anayetumika kuleta migogoro ndani ya chadema-akizidi kuendelea apigwe chini.
 
WanaJF,
Elimu haina mwisho hadi unaingia Kaburini. Ninaingia mitandao mbalimbali na siyo JF tu. Naamani ni mahali pia ninaweza kutoa mchango wangu wa mawazo licha ya kujifunza kutoka kwa wenzangu. Ningetamani kuona tunajadili hoja zenye manufaa zaidi kwa Taifa letu kuliko kutukanana na pengine kama kweli mtu haelewi kitu ni vema akaelmishwa. Ushabiki, unapoteza sana muda, na kwa bahati mbaya tunasahau kuwa muda ni fedha na sehemu ya umaskini wetu inasababishwa na kukosekana kwa umakini katika kutumia mitandao kama hii "constructively and positively". Mitandao pia ni "very informative". Kwa wale wasiojua, takriban kipindi chote cha Kampeni sikuwa ninasoma magazeti kwa kuwa sehemu nyingi ya nchi yetu au magazeti hayafiki au yanafika kwa kuchelewa sana. Lakini source yangu kubwa ya Information ilikuwa mitandao ambayo nilikuwa ninatumia. That is probably the difference tuko tunaotumia mitandao kwa Tija na wako wanaotumia mitandao destructively. I think this is where we can make the difference. The issue is who decides what is constructive and what is destructive, there are always rules of objectivity and this is what rolls the ball.

Umeongea kwa hekima,
Umenena kwa vision,
Umeshauri kwa werevu,

Umenijenga kwa uliyotoa hapo juu.
 
Dr, karibu sana jamvini mi napenda sana jinsi unavyochangia hoja kwa mifano na ndio maana kikwete anakuogopa sana. Na kamwe hawezi kubali mdahalo na wewe. Hasta la victoria siempre.

Umenikumbusha mdahalo teh teh...
 
unashangaa watu kuponda? hujui kama watu wanalipwa na hao wanaitwa mafisadi kujibu hoja mbofumbofu kutukana watu hovyo? huoni baadhi ya members wao hupinga hata kwenye ukweli? wao ni ubishi tu. tena hawa jamaa ni wasomi wazuri tu lkn kazi yao kupindisha mambo, si wanalipwa!!
 
Mara nyingi Dr. Slaa anapochangia hoja mbalimbali hapa jamvini kuna watu wengine wanatoa lugha za kejeli kwake na hata baadhi kumtukana. Lakini kwa nini basi haachi kuingia na kuchangia Hoja? (TUJADILI)

Binafsi naamini Slaa (PHD) ni mtu au ni kiongozi tofauti sana na viongozi wengine wa Tanzania na hasa Africa kwa ujumla, anaumia sana anapoona watu humu jamvini wanatoa hoja zinazodhihirisha kutokuelewa kwao kwa mambo ya kitaifa au tu kwa kuwa na maslahi binafsi na serikali au chama tawala.

Dr. Slaa anaumia sana kuona nchi inageuka mtaji wa watu wachache ambao unachochewa na watanzania wenyewe kutojitambua na kutotambua ni nini iliyohaki yao kutokana na rasimali za nchi yao waliyopewa na Mungu BURE.

Slaa Dr. ni mtu ninaye mhusudu, ninampenda, ninamheshimu, ninamdhamini na nitaendelea kufanya hivyo kwa nafsi yangu si kwa sababu ya chama chake, sura yake, imani yake na vitu vingine kama hivyo, ila ni roho yake ya kibinadamu, kusimamia haki, kuwa muwazi kwake binafsi, na hekima aliyopewa na MUNGU ili kutetea haki za wanyonge wana wa Taifa hili tunaoumia kwa maslahi ya watu wachache na familia zao na marafiki zao ambayo ni mazao ya msingi mbovu wa Taifa.

Hivi kweli kwa wengine (wanaojifanya miungu watu) wenye hadhi kama ya Dr. Slaa kitaifa na kimataifa wanaweza kujumuika na sisi hapa jamvini? ukizingatia wengine hapa JF ni fyatu.
Ni swali zuri lakini nadhani ungemuuliza kwa Pm kuliko kuprovoke watu wamjadili rais, sorry if nimekukwaza
 
unashangaa watu kuponda? hujui kama watu wanalipwa na hao wanaitwa mafisadi kujibu hoja mbofumbofu kutukana watu hovyo? huoni baadhi ya members wao hupinga hata kwenye ukweli? wao ni ubishi tu. tena hawa jamaa ni wasomi wazuri tu lkn kazi yao kupindisha mambo, si wanalipwa!!

Biashara zingine bwana, mtu unalipwa kwa kutukana wengine?
Ni kweli tunahitaji mabadiliko na yatakuja pale tu tutakapokubali kubadilika kwanza.
 
Ni swali zuri lakini nadhani ungemuuliza kwa Pm kuliko kuprovoke watu wamjadili rais, sorry if nimekukwaza
Hujanikwaza na wala hujawahi kunikwaza Acid, naheshimu sana michango yako na pia naheshimu michango ya kila mtu humu ndani. Nimekupata mkuu, ila nilijaribu kuelezea hizia zangu juu ya Dr. Slaa ndio sababu sikuongelea vyama
 
WanaJF,
Elimu haina mwisho hadi unaingia Kaburini. Ninaingia mitandao mbalimbali na siyo JF tu. Naamani ni mahali pia ninaweza kutoa mchango wangu wa mawazo licha ya kujifunza kutoka kwa wenzangu. Ningetamani kuona tunajadili hoja zenye manufaa zaidi kwa Taifa letu kuliko kutukanana na pengine kama kweli mtu haelewi kitu ni vema akaelmishwa. Ushabiki, unapoteza sana muda, na kwa bahati mbaya tunasahau kuwa muda ni fedha na sehemu ya umaskini wetu inasababishwa na kukosekana kwa umakini katika kutumia mitandao kama hii "constructively and positively". Mitandao pia ni "very informative". Kwa wale wasiojua, takriban kipindi chote cha Kampeni sikuwa ninasoma magazeti kwa kuwa sehemu nyingi ya nchi yetu au magazeti hayafiki au yanafika kwa kuchelewa sana. Lakini source yangu kubwa ya Information ilikuwa mitandao ambayo nilikuwa ninatumia. That is probably the difference tuko tunaotumia mitandao kwa Tija na wako wanaotumia mitandao destructively. I think this is where we can make the difference. The issue is who decides what is constructive and what is destructive, there are always rules of objectivity and this is what rolls the ball.

Ndugu yangu na mzee wetu Dr Slaa,

Uwezo wa kutambua hayo ndio unakufanya wewe uwe tofauti na viongozi wetu wengi. Kwani wao wanaamini kuwa wana hati miliki ya kila kitu ikiwa ni pamoja na akili na maarifa yetu. Hawaamini kwamba hata mtoto mdogo anaweza kutoa msaada mkubwa wa kimawazo akipewa nafasi.

Hata hivyo sioni tatizo la watu kutumia mitandao kama hii kwa njia wanayoitaka kwani inatupatia sisi watumiaji uhuru wa kuchagua kile tunachokitaka na kutupilia mbali pumba.
 
Hujanikwaza na wala hujawahi kunikwaza Acid, naheshimu sana michango yako na pia naheshimu michango ya kila mtu humu ndani. Nimekupata mkuu, ila nilijaribu kuelezea hizia zangu juu ya Dr. Slaa ndio sababu sikuongelea vyama
Thanks Mabel...

Unanikumbusha sana rafiki yangu mmoja mzimbabwe alikua anaitwa Mabel torongo, sijui yuko wapi siku hizi tulifanya nae kazi enzi zile za kutafuta sifa kwa serikali zetu

To answer your question, nadhani kiongozi yoyote bora anatakiwa atumie hii golden opportunity ambayo haikuwepo zamani ili kupata direct audience na raia wenzake na hata watu wengine ili aongeze ujuzi, maarifa na utambuzi, kikubwa zaidi... forums na blogs ni very educative and can even get a real PhD (sio zile za zawadi) kwa kuibua hoja, kujadili na kupendekeza solution... sample ipo humu nk. ni methodology tu ndio itasumbua

Slaa's presence in the forum lifts it up and i hope one day mawaziri wote wa JK na JK wmenyewe atajoin with his real name ili tumpe ukweli wa mambo

Hata akina obama wana social forums wanazowasiliana na watu directly bila kutumia press secretary au speech writers
 
Nashukuru Mr. Acid kwa majibu yako.
Uwezekano wa JK na mawaziri wake kujumuika hapa nafikiri itakuwa ngumu kidogo, Makamba hatawaruhusu, kwani anawafahamu vizuri watu wake.

Umenifurahisha sana, kufanya kazi ya kutafuta sifa kwa serikali, na je mlipata hizo sifa?
 
LOL... umenikumbusha ya mdahalo; lakini CCM wako very interesting, yaani kuna maprofessor wa kila aina, wafilosofia, wasaikolojia na mainjinia wa kumwaga, achilia mbali degree za wizi... ati wanamsikiliza makamba, mwalimu mkuu na mpiga domo mkuu wanaacha rational thinking and decision, kisha wanamfaya tido... allegedly... LOL
Umenifurahisha sana, kufanya kazi ya kutafuta sifa kwa serikali, na je mlipata hizo sifa?
sifa tupewe na nani? nilikua napoke elfu 67 na ushee nikajituma weee, yakanishinda... bila kuiba au kudokoa hata kakorolla ka 95 tulishindwa kununua
 
nna mashaka na muanzisha mada

huenda ameanzisha makusudi kumjenga au huenda huyu ni Dr slaa amejianzishia mada kwa jina jengine
 
usishangae Malaria Sugu akawa ndiye Mkwere wetu. Hah hah

Mfamaji umenifanya nimecheka sana, Unamaanisha President wa NEC JK amekula ban JF?? What a shame. Inamaanisha hajui kufikiri zaidi ya kutoa lugha chafu.

Anyway, ukweli usiopingika ni kuwa JF is a golden opportunity to grasp. Na PhD analijua hilo.

Sifa kuu kwake ni kuweza kupokea changamoto (ikiwamo ya kutukanwa na kina MS na wengineo) na bado akaendelea kuwa positive minded person.

Big Up prezo!!!!
 
WanaJF,
Elimu haina mwisho hadi unaingia Kaburini. Ninaingia mitandao mbalimbali na siyo JF tu. Naamani ni mahali pia ninaweza kutoa mchango wangu wa mawazo licha ya kujifunza kutoka kwa wenzangu. Ningetamani kuona tunajadili hoja zenye manufaa zaidi kwa Taifa letu kuliko kutukanana na pengine kama kweli mtu haelewi kitu ni vema akaelmishwa. Ushabiki, unapoteza sana muda, na kwa bahati mbaya tunasahau kuwa muda ni fedha na sehemu ya umaskini wetu inasababishwa na kukosekana kwa umakini katika kutumia mitandao kama hii "constructively and positively". Mitandao pia ni "very informative". Kwa wale wasiojua, takriban kipindi chote cha Kampeni sikuwa ninasoma magazeti kwa kuwa sehemu nyingi ya nchi yetu au magazeti hayafiki au yanafika kwa kuchelewa sana. Lakini source yangu kubwa ya Information ilikuwa mitandao ambayo nilikuwa ninatumia. That is probably the difference tuko tunaotumia mitandao kwa Tija na wako wanaotumia mitandao destructively. I think this is where we can make the difference. The issue is who decides what is constructive and what is destructive, there are always rules of objectivity and this is what rolls the ball.

Duh!
kwa jinsi unavyojenga hoja, it seems ni Dr. WS mwenyewe!. tht being the case, all I can say for now is thanks and keep it up! ila kama kuna mtu anatumia jina lako it is too bad for you are a States Man siyo just another tom and harry. you know what I mean.
 
Nyantella huyu ndo Dr Slaa wa ukweli mtu mwenye hekima na upeo wa juu hiyo ndo login yake na huyu ndo presedaa wangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom