- Thread starter
- #41
sifa tupewe na nani? nilikua napoke elfu 67 na ushee nikajituma weee, yakanishinda... bila kuiba au kudokoa hata kakorolla ka 95 tulishindwa kununua
Kwa 67 lazima uchemshe, na pia hii inachangiwa pale unapoona wenzio wenye qualifications sawa na wewe wako tafauti na wewe kimapato na kutokana na kazi zao. Na hapa ndipo ukweli wa equity & expectancy theory of work motivation unapoonekana